Nyuma ya pazia Bunge live

Nyuma ya pazia Bunge live

Mh. Magufuli hufanya vitu ambavyo wanainchi wanyonge wanavitaka,,

Na hili limeonekana kua wanainchi wanyonge pia wanalitaka,,

Raisi wetu au mamlaka zingine tuombe tunataka kwa jinsi unavyotumbua waovu hadharani tunaomba na sisi mtuonyeshe hadharani hawa wabunge majipu ili tuendeleee kuyaona itakapofika 2020 na sisi tuyatumbue bila kutilia shaka
 
wewe always una post pumba hapa tuu" kwani bunge likiwa live wewe inakukera nini haswa?Acha ulimbukeni wamiaka 300 BC

Likiwa live halinikeri na lisipokuwa live ndiyo halinikeri kabisa na ninafurahi sana kwani watu wataenda kufanya kazi badala ya kutazama tv.
 
mawazo mgando hayo!ntashangaa mtu aache kwenda kazini kwa maelezo eti anataka kuona bunge live walio makazini waende kuchapa wengine wenye nafasi waangalie ni haki ya kikatiba
 
okay,si bora ukasusa kuliko kubaki ukiwa kwenye hiyo hali hapo chini,
images
View attachment 341640
images
Umesikia leo wamesusa tena
Weekend mapemaa kitimoto na bia hela ya posho ya leo inakava kila kitu
 
Hii ni Sawa na mficha maradhi kifo humuumbua aliowapa strategy hii kawapeleka choo cha kike waoem muda utatuambia
 
mawazo mgando hayo!ntashangaa mtu aache kwenda kazini kwa maelezo eti anataka kuona bunge live walio makazini waende kuchapa wengine wenye nafasi waangalie ni haki ya kikatiba

Wengine asubuhi wana viwanda vipindi vyao walivyovizowea na si bunge.

Hatutaki live. Mkitaka live nendeni bungeni.
 
Mahitaji na shauku za binadamu hubadilika, leo watanzania wengi wanashauku ya kuona mafisadi wote wanatumbuliwa. Je, shauku hii haitaisha? Ikitokea mafisadi wote wametumbuliwa na kufia gerezani watanzania watakaa kusherekea miaka yote? jibu HAPANA watadai maisha bora. Baada ya maisha bora watadai uhuru! Kuna nchi watu wake walilipiwa hata gharama ya harusi zao na serikali yake lakini walipokosa uhuru kilichotokea wote tunakijua. Mtu yeyote anayefikiri binadamu anahitaji maisha bora bila uhuru atakuwa anakosea!
 
Hawawezi kukuelewa ndugu,kwao kila kisemwacho na wanaojaza matumbo yao ndio muongozo,its a shame
 
Mahitaji na shauku za binadamu hubadilika, leo watanzania wengi wanashauku ya kuona mafisadi wote wanatumbuliwa. Je, shauku hii haitaisha? Ikitokea mafisadi wote wametumbuliwa na kufia gerezani watanzania watakaa kusherekea miaka yote? jibu HAPANA watadai maisha bora. Baada ya maisha bora watadai uhuru! Kuna nchi watu wake walilipiwa hata gharama ya harusi zao na serikali yake lakini walipokosa uhuru kilichotokea wote tunakijua. Mtu yeyote anayefikiri binadamu anahitaji maisha bora bila uhuru atakuwa anakosea!
Hawataki kukosolewa
 
Kwa hili la kuendelea kupuuza hoja ya Bunge kutangazwa Live, JPM ameonyesha udhaifu mkubwa. Sasa ni wazi kwamba hata 'Katiba ya Waroba' kwa huyu bwana ni ndoto. Hii 'kutumbua majipu' ni mnyororo au chambo cha kwanasa wananchi kwenye nyavu zao muda wa uchaguzi ujao. Ndiyo sababu ya mameya wa UKAWA kufanyiwa mizengwe. Tunakoelekea sasa ni kubaya, kama JPM hatakubali kuheshimu misingi ya UTAWALA BORA:
1. UCHAGUZI HURU,
2. UKWELI NA UWAZI,
3. HAKI ZA BINADAMU,
4. DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI BUNGENI.
Namuombea kwa Mwenyezi Mungu amwangazie aendako ili asiingize nchi shimoni.
 
Anajaribu kuwaridhisha wananchi na hapo hapo anajaribu kukiridhisha chama chake
 
Shame on me? No, shame on u brother, kwani hakuna namna nyingine ya sisi kujulishwa kilichokuwa kikiendelea Bungeni iwe na Wabunge wetu au hizo Media, badala ya watu kukaa mwanzo mwisho wanaangalia live, nyinyi hamna kazi za kufanya?
We kweli pumba...alokwambia watu wote wanafanya kazi asubuhi nani?
 
Sisi ndio wa ajiri wao kuanzia serikalini,mahakama na bunge!sasa unapoamua kumficha muajiri wako taarifa ya kinachoendelea na kinacho jadiliwa na wawakilishi wao bungeni?niukosefu wa busara wa hali ya juu, haya maajabu yanatokea TZ tu
 
Wametuona wajinga na malofa
 
Back
Top Bottom