beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,253
- 2,232
Aliwakemea wapi? Tupac alikuwa chini ya Deathrow, Deathrow ilikuwa na distribution deal na Interscope. Nani anamiliki Interscope? Wazungu.Zipo nyingi! Sema unahitaji kutuliza akili! 2pac alikuwa ni miongoni mwa watu wenye akili kali sana! Ndiyo maana nyimbo zake zilitumika kufundishia mpaka Vyuo vikuu!
Si kila aimbaye ni mwanaharakati! Nadhani inategemeana na anachoimba! Wazungu wengi hawakumpenda! Aliwakemea
Naomba usikilize japo "Changes" ukiweza tafuta lyrics zakeAliwakemea wapi? Tupac alikuwa chini ya Deathrow, Deathrow ilikuwa na distribution deal na Interscope. Nani anamiliki Interscope? Wazungu.
Mwanaharakati na vitu gani, labda kujipodoa na kubadilisha suraMichael pia alikuwa activist... Na alijizolea sifa kwa Hilo! Tazama Ngoma zake!
Ha ha haaaa.....we jamaaa ni fara sana.Mleta mada acha kuchukulia mazingira yako ya Temeke halafu uka conclude Dunia nzima. Nani anmkumbuka Tupac na Marley zaidi ya wavuta Bangi wenzao?
We katoto kweli! Yaani hujui kabisa uanarakati wa 2Pac?Tupac alikuwa ana uanaharakati gani?
Mimi sio katoto. Zitaje hizo nyimbo.We katoto kweli! Yaani hujui kabisa uanarakati wa 2Pac?
Mbona anazo nyimbo nyingi za kiuharakati
Nyimbo Nyingi za MJ pia zinaongelea reality Earth, you are not alone, they don't care about us, black and white etc na MJ ni Global superstar wakati 2Pac na ni relevant kwa community za watu weusi.Ushawishi kwenye jamii kingine walikua wanaongelea mambo reality kabisa ambayo yanatokea kwenye jamii kila siku tofauti na MJ
Huo wimbo naujua sana. What is so unique about it? Rappers kibao wana nyimbo zenye message kama hiyo.Naomba usikilize japo "Changes" ukiweza tafuta lyrics zake
Earth Moja ya nyimbo kali kushinda zote za MJ, mtu anaefikiri Nyimbo za MJ ni za kuburudisha 100% hajasikiliza hata nusu ya huyu jamaa.Wakuu nyimbo za Michael Jackson mnazijua au mnaongea tu? Nendeni mkasikilize, They don't care about us.
Earth Moja ya nyimbo kali kushinda zote za MJ, mtu anaefikiri Nyimbo za MJ ni za kuburudisha 100% hajasikiliza hata nusu ya huyu jamaa.
'Keep ya head up/Changes/don't cry etc.Mimi sio katoto. Zitaje hizo nyimbo.
Ukiambiwa utaje nyimbo duniani zenye ushawishi wa kusaidia Jamii, utaacha kuzitaja Heal the world & we are the world ???...Nitajie hizo nyimbo nyingine za MJ zenye ushawishi kwenye jamii ukitoa mapenzi na burudani
Na mangweaaaMichael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Kama unaita hizo nyimbo ni za harakati basi hujui maana ya harakati. Kuna mamia ya nyimbo zenye meseji kama hizo nyimbo, walioimba wote ni wanaharakati? Mnachanganya inspiration na activism.'Keep ya head up/Changes/don't cry etc.
Haya mwanaharakati (ujuaye harakati). Msalimie mwanaharakati mwenzako Michael Jackson.Kama unaita hizo nyimbo ni za harakati basi hujui maana ya harakati. Kuna mamia ya nyimbo zenye meseji kama hizo nyimbo, walioimba wote ni wanaharakati? Mnachanganya inspiration na activism.
Wapi nimesema MJ alikuwa mwanaharakati?Haya mwanaharakati (ujuaye harakati). Msalimie mwanaharakati mwenzako Michael Jackson.
True mastarUshawishi kwenye jamii kingine walikua wanaongelea mambo reality kabisa ambayo yanatokea kwenye jamii kila siku tofauti na MJ