secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,652
Hivyo ambavyo wazungu wanataka visome +Tatizo lake kuu ni kuwa mkweli na kukataa kuchakachua vipimo vya corona
Hivyo ambavyo wazungu wanataka visome +Tatizo lake kuu ni kuwa mkweli na kukataa kuchakachua vipimo vya corona
Wakenya bhana kwa hio this distinguished Tz scientist Ni mkenyaKibisaaa! My grandma and Dada yangu wanaitwa Nyambura a common name among Kikuyu Women.
Hizi ndio njemba zilizokuwa brainwashed....Ni kweli kabisa wanatafuta mtu wa kumtoa kafara, wanafanya kila njia kuleta propaganda na shutuma za kijinga kwenye taaluma za watu. Mara test kits zina fault, mara matokeo yote ya tests ni positive, mara kuna hujuma zinafanywa maabara, mara mabeberu wanaihujumu Tanzania. Yaani wanatumia kila sababu za kijinga kuepuka jukumu lao la kupima watu dhidi ya corona. Wewe mpaka leo hii kwa Tanzania nzima wamepima watu 652 tu? Tumeshindwa hata na Rwanda waliopima watu 34,350 mpaka hivi sasa.
Hii ni kujipigia kampeni au nini?Dr Nyambura Moremi is a distinguished scientist and researcher with over 10,000 reads and over 200 citations on ResearchGate and listed on Google Scholar
Nchi na serikali ithamini wanasayansi na tuache siasa kwenye taaluma.
Jiwe walilokataa waashi linaenda kuwa jiwe kuu la Pembeni. Tukumbuke ya Dr Mwele Malecela.
View attachment 1439695View attachment 1439696View attachment 1439697
umesoma shule yoyote mkuu ? yaani wazungu wahangaike na nchi duni kama Tanzania !Hivyo ambavyo wazungu wanataka visome +
Nimekanyaga madarasa kukuzidi.umesoma shule yoyote mkuu ? yaani wazungu wahangaike na nchi duni kama Tanzania !
Hebu ukamtie moyo mwenzioIli Dhahabu ing'ae lazima ipite kwenye moto. Hata hili dada litapita. Sasa wataanza kuchunguza ulipataje hiyo position. Ila utatoka tu. Hapa watabadili Mkurugenzi ila wewe endelea kufanya sayansi. Najua upo hapa JF. Halafu nimeshangaa kumbe wewe ni rafiki yangu facebook.
This Woman is Very Brilliant and Confident enough..Dr Nyambura Moremi is a distinguished scientist and researcher with over 10,000 reads and over 200 citations on ResearchGate and listed on Google Scholar
Nchi na serikali ithamini wanasayansi na tuache siasa kwenye taaluma.
Jiwe walilokataa waashi linaenda kuwa jiwe kuu la Pembeni. Tukumbuke ya Dr Mwele Malecela.
View attachment 1439695View attachment 1439696View attachment 1439697
Nina uhakika tangu hotuba itoke, watumishi hawana nguvu ya kuendelea na vipimoWameunda kamati kufuatilia mwenendo wa hiyo maabara, lakini wameshafanya damage kwenye hiyo maabara kwamba haiaminiki na inaweza isipate sampuli za kutoka nje au kuwa accredited na WHO kama reference lab.....mambo mengine yanasikitisha sana...
Ummy mwalimu kamuonea wivu kaamua kumtoa kafara kwa njia za kishetani, kiuhalisia wa kufukuzwa kazi alikuwa ni ummy mwalimu mwenyewe lakini kaachwa kiajabu ajabu hiviDr Nyambura Moremi is a distinguished scientist and researcher with over 10,000 reads and over 200 citations on ResearchGate and listed on Google Scholar
Nchi na serikali ithamini wanasayansi na tuache siasa kwenye taaluma.
Jiwe walilokataa waashi linaenda kuwa jiwe kuu la Pembeni. Tukumbuke ya Dr Mwele Malecela.
View attachment 1439695View attachment 1439696View attachment 1439697
Weee jidanganye ameivua si unajua mitambo mitambo iyo ya maabaraNimechunguzaaa mkono wa kushoto naona vidole havionekani vizuri! [emoji2] [emoji2]
Jipe moyo dada Duniani tuna mapito!
Mungu hameachi mwenye haki.
Nyambura wengi ni WakenyaHuyu ni Mkenya ama Mtanzania?
ccm ya sasa ni ccm ya uzushi kuzusha kutengeneza propaganda zisizo na tija yeyoteBora umeweka wasifu wake hapa kwa sababu kulikuwa na baadhi ya wapumbavu wa CCM hapa walishaanza kuzusha kuhusu uraia na asili yake.
Sema Weledi sio WerediKuna taaluma halafu kuna weredi!
Hapana siyo kweliNyambura wengi ni Wakenya
Umenena Ukweli mtupu hongera kwa hiloJiwe anapenda vilaza ili awapelekeshe
Acha ufala wewe uyo ni MD and PhD holder na she is very smart huwezi mbabaisha kwa rushwa za ngono ili apate ulaji...labda iwe vice versa