Hili ni jina la kijita acha kama haujui majina ya malabila yote Tanzania. Mkikuyu mkikuyu ama ulipenda awe ametokea kwenu ndo ungefurahia ili ujione kuwa kwenu ni wajanja.Ni majina ya kikikuyu hayo
Angekuwa mwanaume ukuryani anaitwa Wambura yaani Wa mvua ,Bora umeweka wasifu wake hapa kwa sababu kulikuwa na baadhi ya wapumbavu wa CCM hapa walishaanza kuzusha kuhusu uraia na asili yake.
Watakuwa wanataka kuweka mtu atayetoa majibu ya uongo wanayotaka wao. Hii nchi ina vituko siyo kidogo. Mbona tuhuma za wenye vyeti fake akina bashite na madokta wenye PhD fake hawachunguzwi.Wameunda kamati kufuatilia mwenendo wa hiyo maabara, lakini wameshafanya damage kwenye hiyo maabara kwamba haiaminiki na inaweza isipate sampuli za kutoka nje au kuwa accredited na WHO kama reference lab.....mambo mengine yanasikitisha sana...
Naamanisha ni mkurya na sio mjita. Na hiyo moremi ni mrimi ama moremi kwa mana ya mkulima. Mkulima ukuryani tunaita murimi ama moremi kutokana na lahaja za lugha yetu ama diversity inayoleta tofauti kidogo ya pronunciationHili ni jina la kijita acha kama haujui majina ya malabila yote Tanzania. Mkikuyu mkikuyu ama ulipenda awe ametokea kwenu ndo ungefurahia ili ujione kuwa kwenu ni wajanja.
Prof Muhongo naye haumuoni? Naye ni mkenya. Elimu sio kuwa watu Fulani ndo wamebarikiwa kuipata
Huyu kichwa watu washachukujua jiko mapema sio kama nyie madungaembe
Anamzidi kila kitu Ummy, kuanzia elimu, uzoefu wa kazi, uzuri, exposure labda kitu pekee Ummy anachomzidi ni Umri
Kumbuka lugha za kibantu zinaelekeana. Unajua wakisii na wakurya ni kabila moja kabla mmasai kuwashambulia na kuwasambaratisha mnamo karne ya 16? Kuna muethiopia mmoja nilikutana naye unaitwa Chacha ambalo wakurya tunalitumia kama icon kijina la kiume. Likiwa na mana ya zimekuja muda ambao wakurya walileta ngombe tokea kabila zingine kimabavu. Ndo wanaamka wanazikuta wanasema kuwa zimekuja ngombe zao.Kibisaaa! My grandma and Dada yangu wanaitwa Nyambura a common name among Kikuyu Women.
Na Juzuu.Anamzidi kila kitu Ummy, kuanzia elimu, uzoefu wa kazi, uzuri, exposure labda kitu pekee Ummy anachomzidi ni Umri
Manungaembe maana yake nini?Huyu kichwa watu washachukujua jiko mapema sio kama nyie madungaembe
Aiseeee!Anamzidi kila kitu Ummy, kuanzia elimu, uzoefu wa kazi, uzuri, exposure labda kitu pekee Ummy anachomzidi ni Umri
Naona unampapasa Mzee wa ChatoVipi ile mikorosho ina citations ngapi ResearchGate?
R.I.P Ben Saanane
Huyu sina tatizo naye ni World Class Intellectual muda wowote tutamskia kala shavu kama hawa mabedui hawata dhulumu haki yake ya kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeHuyu kichwa watu washachukujua jiko mapema sio kama nyie madungaembe
Connection na cheo/uwaziri usisahau hivyoAnamzidi kila kitu Ummy, kuanzia elimu, uzoefu wa kazi, uzuri, exposure labda kitu pekee Ummy anachomzidi ni Umri
Kingine Umny anamzidi "UNAFIKI NA KUMTUKUZA MFALME".Anamzidi kila kitu Ummy, kuanzia elimu, uzoefu wa kazi, uzuri, exposure labda kitu pekee Ummy anachomzidi ni Umri