macjay
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 371
- 409
Mkuu unafikiria kama mimi...........isije kuwa mambo ya kusamanisha mizigoUnaweza kuta chanzo cha ugomvi na mkuru ni kitu cha kipumbavu tuu wala hakihusiani na corona wala kazi ya huyu director.
Mtoto mzuri kama huyu ni tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app