Nyota ya Dr Nyambura Moremi itang'aa Kimataifa

Dr Nyambura Moremi is a distinguished scientist and researcher with over 10,000 reads and over 200 citations on ResearchGate and listed on Google Scholar

Nchi na serikali ithamini wanasayansi na tuache siasa kwenye taaluma
#IStandWithHer
#ChangeTanzania Maria Sarungi Tsehai on Twitter

Jiwe walilokataa waashi linaenda kuwa jiwe kuu la Pembeni. Tukumbuke ya Dr Mwele Malecela.View attachment 1439695View attachment 1439696View attachment 1439697
Muunganishe na mabeberu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ishu sio elimu. Jamaa anataka madaktari wajitafakari elimu zao Na wajimwambafy kizalendo sio kupelekwapelekwa Na mabeberu.
 
Dr Nyambura Moremi is a distinguished scientist and researcher with over 10,000 reads and over 200 citations on ResearchGate and listed on Google Scholar

Nchi na serikali ithamini wanasayansi na tuache siasa kwenye taaluma
#IStandWithHer
#ChangeTanzania Maria Sarungi Tsehai on Twitter

Jiwe walilokataa waashi linaenda kuwa jiwe kuu la Pembeni. Tukumbuke ya Dr Mwele Malecela.View attachment 1439695View attachment 1439696View attachment 1439697
Refer to Dr. Wouter Basson (born 6 July 1950) a South African cardiologist and former head of the country's secret chemical and biological warfare project, Project Coast, during the apartheid era.[1] Nicknamed "Dr. Death" by the press for his alleged actions in apartheid South Africa.
He had a lot of publication and he is a very renowned scientist - lakini kazi yake ilikuwa inalenga kuangamiza wananchi wa nchi yake! Hivyo kama kazi zako hazinufaishi taifa lako (yaani ukikosa uzalendo ukanufaisha mabeberu) hauna maana kwa taifa! Usitishwe na publications na citations - does the work realy solve the problems facing our community? If not mmmmm!
 
Dr Nyambura Moremi is a distinguished scientist and researcher with over 10,000 reads and over 200 citations on ResearchGate and listed on Google Scholar

Nchi na serikali ithamini wanasayansi na tuache siasa kwenye taaluma
#IStandWithHer
#ChangeTanzania Maria Sarungi Tsehai on Twitter

Jiwe walilokataa waashi linaenda kuwa jiwe kuu la Pembeni. Tukumbuke ya Dr Mwele Malecela.View attachment 1439695View attachment 1439696View attachment 1439697
Huyu Mkurya yupo vizuri
 
Ni kweli kabisa wanatafuta mtu wa kumtoa kafara, wanafanya kila njia kuleta propaganda na shutuma za kijinga kwenye taaluma za watu. Mara test kits zina fault, mara matokeo yote ya tests ni positive, mara kuna hujuma zinafanywa maabara, mara mabeberu wanaihujumu Tanzania. Yaani wanatumia kila sababu za kijinga kuepuka jukumu lao la kupima watu dhidi ya corona. Wewe mpaka leo hii kwa Tanzania nzima wamepima watu 652 tu? Tumeshindwa hata na Rwanda waliopima watu 34,350 mpaka hivi sasa.
Mkulu anasema tulipoona kila wakipima ni positive positive positive positive....tukaamua tufanye yetu

Yaani kwa kifupi yeye haamini kama kuna watu wako positive kwa kiwango hicho.

Anatamani iwe kama anavyotaka yeye. Yaani wakipima wakute negative negative negative negative negative negative. Anakwambia hii ni vita ya kiuchumi.

Hapa unajiuliza, hii vita imeulenga uchumi upi wa Tanzania ambao ni tishio kwa dunia?? Uko wapi? Tuna compete na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom