residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,056
- 14,629
Atakuwa Mkenya kwa sababu Watanzania ni vilaza,hamna uwezo,hamtambuliki au mnaoneana wivu!!??Atakuwa mkenya huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa Mkenya kwa sababu Watanzania ni vilaza,hamna uwezo,hamtambuliki au mnaoneana wivu!!??Atakuwa mkenya huyo
Wamkomoe kwa lipi?.Sidhani kama uko kwa wenzetu wana mawazo yakishamba badala yakuangalia uwezo wa mtu.
Huyu ni binti mzaliwa wa Mkoa wa Mara Tanzania.Atakuwa mkenya huyo
Sio shida kabisa, ila kwa systems zetu huku nikama zali hapo alipokua amefikiaKwako unaona ni shida sana mwenye umri mdogo kuwa na cheo kikubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Beberu si msamiati mpya, ulikuwepo tangu kaleSawa mkuu, hawa jamaa hua sio washamba ila wanafanya kile wanachoona kina maslahi kwao.
Miongoni mwa hayo mambo ni kukufanya ukose uungwaji mkono ili ajenda zao zisonge mbele.
Mkuu hadi sasa hayuko pamoja nso kwenye mambo mengi ikiwepo kuwatetemekea na kuwanyeyekea, ameenda mbali hadi kuwaita mabeberu ( msamiati mpya)
Ummy mkali wewe! Tazama 'nundu' ya huyu Msomi wa Maabara na Ile ya Boss wake.....Anamzidi kila kitu Ummy, kuanzia elimu, uzoefu wa kazi, uzuri, exposure labda kitu pekee Ummy anachomzidi ni Umri
Haha sawa mkuu naona watu mpo deep mno,
Ni kweli ndo maana papai likakutwa na Covid-19Tatizo lake kuu ni kuwa mkweli na kukataa kuchakachua vipimo vya corona
Dah umenena mkuuTatizo la mtukufu ni kumiliki washauri wabaya mfano kutegemea ushauri wa Naibu Rais Daud Bashite huku Daud Bashite yeye akiwategemea Le mutuz kubwa jinga na cyprian Musiba kunako ushauri mkubwa, kwa mfumo huu wa ushauri usitegemee kubadilika
Dr. Mwele alikiuka protocol ambazo zinaongoza kwenye utangazaji/utoaji taarifa ya magonjwa ambayo ni pandemic.Kama mwele
Jamani hata huko Marekani mashine za kupimia Covid-19 zimerekodi positive katika matunda. Huyu Binti Msomi asidumbuliwe kabisa kuna fault katika mashine zenyewe...wanatafuta mtu wa kumtoa kafara.
..ila kwa taaluma na kiwango chake cha elimu, Dr.Moremi hawezi kukaa benchi muda mrefu.
..kuna taasisi nyingi nje ya Tz zinahitaji wataalamu wa kiwango cha Dr.Moremi.
Na UmbumbumbuAnamzidi kila kitu Ummy, kuanzia elimu, uzoefu wa kazi, uzuri, exposure labda kitu pekee Ummy anachomzidi ni Umri
Dhambi ya ubaguzi inawaangamiza watetezi wa maamuzi mabovu juu ya hatua tunazochukua kukabiliana na changamoto zinazojitokeza.Kila jambo baya likifanywa na watawala wetu hawakosi waandaa logic za kitoto kutetea na kukashifu whistle blowers.Ni majina ya kikikuyu hayo