Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
Ni wivu tu
Hili la dini futilia mbali, imetokea tu waziri na muhusika ni watu tofauti, na si kwamba Dr amehukumiwa kwa utendaji mbovu, bali kupisha Uchukuzi, in fact hoja mojawapo ni uwezo wa machine na sio lazima iwe competence za warembo wetu,
Kwani yeye ndo alikuwa mtangazaji wa takwimu za wagonjwa kwa Public ??Tatizo lake kuu ni kuwa mkweli na kukataa kuchakachua vipimo vya corona
OlderAcha ufala wewe uyo ni MD and PhD older na she is very smart huwezi mbabaisha kwa rushwa za ngono ili apate ulaji...labda iwe vice versa
mambo ya hovyo kweli yaniMkulu anasema tulipoona kila wakipima ni positive positive positive positive....tukaamua tufanye yetu
Yaani kwa kifupi yeye haamini kama kuna watu wako positive kwa kiwango hicho.
Anatamani iwe kama anavyotaka yeye. Yaani wakipima wakute negative negative negative negative negative negative. Anakwambia hii ni vita ya kiuchumi.
Hapa unajiuliza, hii vita imeulenga uchumi upi wa Tanzania ambao ni tishio kwa dunia?? Uko wapi? Tuna compete na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamkomoe kwa lipi?.Sidhani kama uko kwa wenzetu wana mawazo yakishamba badala yakuangalia uwezo wa mtu.Na Mabeberu wasivyo na hiyana, watamchukua mithili ya mwewe anavyonyakua kifaranga kumkomoa mzee mzima.
Kwani kuacha kazi maabara ya taifa atakosa mafao?Anafikiria hatma ya mafao yake tu.
Hayo ndio mambo yanayowatesa watu wa serikalini.
Tanzania hatuna taasisi inayoitwa TFDAMagufuli amegusa maeneo ambayo huwa mara zote nayaweka kwenye maombi kwani yanahitaji watu wazalendo hasa na yakiwa compromised ni janga.
Kuna maeneo kama TFDA, TBS and the likes , ni sensitive.
nimejaribu kuzuuum piaNimechunguzaaa mkono wa kushoto naona vidole havionekani vizuri! 😃 😃
Jipe moyo dada Duniani tuna mapito!
Mungu hameachi mwenye haki.
Kwako unaona ni shida sana mwenye umri mdogo kuwa na cheo kikubwa.Dada mdogo sana.....alikulaje hicho cheo kikubwa hivyo?
Simple shule na. bidiiDada mdogo sana.....alikulaje hicho cheo kikubwa hivyo?
Inaitwa Beauty with Brain...Ila Mungu kamjaalia uzuri!!