Nyota wa mchezo wa MO29 na D9

Nyota wa mchezo wa MO29 na D9

Hivi mnajua mnachezewa saikolojia na hamtaki kuamini
Je Yale yote anayowaeleza hyo pungasese wenu lipi lililoleta impact chanya katika jamii kuachana na huo umbea wa vijiweni
Siku Moja mwambieni a test hyo mifumo yake ili muhakikishe kile anachowaeleza
Anawalisha matangopoli na nyie mnaamimin et mmepata mtu wa kuwatetea
Tumien vizuri akili vinginevyo ataendelea kuwaona mazwazwa
MlimaSayuni kwenye comment namba 24 amefafanua vizuri sana hata mtoto mdogo anaelewa.
 
Hivi mnajua mnachezewa saikolojia na hamtaki kuamini
Je Yale yote anayowaeleza hyo pungasese wenu lipi lililoleta impact chanya katika jamii kuachana na huo umbea wa vijiweni
Siku Moja mwambieni a test hyo mifumo yake ili muhakikishe kile anachowaeleza
Anawalisha matangopoli na nyie mnaamimin et mmepata mtu wa kuwatetea
Tumien vizuri akili vinginevyo ataendelea kuwaona mazwazwa
Mtumie namba za mke wako tuone kama anaweza dukua penzi
 
Wabongo bwana kwa kuchotwa akili.. nimemsikiliza shujaa wao Habili akizungumzia NATO na pengine uwezekano wa wao kuingilia hali hii. Nikagundua mshikaji ameamua kuwachota mburula. Ajabu ni kwamba mburula wa kiTZ wanamkubali Ile mbaya!
Nb. Ukitoka hiyo siku aga vizuri kwenu.
Hata oktoba29 mlii idharau mkapapaswa matako na kuruka fuuuuu
 
Overall
1. Mange
2. Sativa
3. Maria
4. Polepole
5. Conrad kibigumila (pastor)
6. Gwajiboy
7. Nuruvazi
8. Rachel Dangwa Mjapan

Tunapoelekea
1.Mange
2.Habil/kabil
3.Maria
4.summerciff00
5.sativa
6.Mbunge wa Taifa

Halafu wengine watafuata
 
Maji ni kitu chenye nguvu sana!
Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa!

Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu kufanya hivyo ni kujitafutia shida za kujitakia.

Nyota waliohamasisha na kufanikisha maandamano ya kudai haki ya October 29, kwa sehemu kubwa, walikuwa ni watu wa jinsia pinzani ya kiume.
Ninaposema nyota, namaanisha kwamba wapo wengi waliohusika, lakini ninaowataja hapa ni wale waliotamba zaidi.

Kutoka upande wa wanawake:
  • Mange Kimambi
  • Maria Sarungi
  • Rachel Danga
Kutoka upande wa wanaume:
  • Sativa
  • Pastor Dickson
  • Nuru Vazi
  • Pole Pole
  • Gwajima, n.k.
Kazi waliyoifanya ilionekana, na ndiyo imezaa maandamano ya awamu ya pili ya D9.

Kabla ya MO29, Pole Pole alijizolea umaarufu kutokana na kutoa data ambazo chanzo chake kilikuwa yeye mwenyewe. Watanganyika wengi waliona anawachana kisawasawa.
Mange naye akawa anapewa taarifa za ndani, na akawa anazipenyeza bila woga.

Lakini pamoja na nguvu yote hiyo, maandamano yale yakatawaliwa na kiwango kikubwa cha ukatili ulioteketeza maelfu ya roho zisizo na hatia — pamoja na majeruhi, makovu na ulemavu wa kila aina.

Hata hivyo, matakwa ya MO29 hayakutekelezwa.
Hii ikapelekea maandalizi ya maandamano ya D9, siku ya Uhuru wa Tanganyika.

Maandalizi ya D9, pamoja na wale nyota wa MO29, yamemuibua mtu mpya kabisa mahiri, mwenye nguvu, na hatari zaidi.

Huyu mtu ni kama jeshi la mtu mmoja, aliye full loaded kwa kila aina ya silaha kubwa na ndogo, za masafa marefu na mafupi.
Na huyu si mwingine bali ni:

Habil Kabil
  • Bingwa wa mipango na mifumo
  • Mtu mwenye ushawishi wa ajabu
  • Mdukuzi hatari
  • Anayedukua kila kitu, kidogo au kikubwa — na kila alichonacho ni silaha kuelekea D9
  • Kwa sasa, ndiye mtu anayesikilizwa zaidi Tanganyika kwenye live talks mitandaoni
Ana ufahamu wa kila jambo na huwasilisha mikakati yake kwa lugha nyepesi.
Ana mbinu za kipekee za kuwasiliana na wale wanaowekwa kwenye rada yake:
  1. Email
  2. Barua/Fax
  3. Simu
  4. Live talks mitandaoni
Kwa kila njia, anahakikisha hakuna nafasi ya visingizio.
Na mara zote anakupa chaguzi mbili tu: A au B.

Kila analoibuka nalo linatisha kuliko lililotangulia. Kwa sasa, watu hawalali hawajui nani ndiye anayefuata na atawekewa ultimatum gani.

Wengi wangetamani wasahauliwe mpaka D9 ifike… lakini kwa hali ilivyo sasa, inaonekana hakuna atakayebaki. Kila mmoja ataandikiwa wakati wake.

Jana, mbali na taasisi iliyoguswa kwa sehemu, ni Bwana Subwoofer aliyeibuliwa na kashfa ya kughushi na amepewa ultimatum ya siku 7 ajitafakari na kujibu.
Mhana unamuamini Habil kuwa kweli kadukua? mbona yule lapangwa tu kuleta taharuki yaaani udukue mifumo kirahisi rahisi hivyo?
 
Kwanini watu sio waadilifu katika uandishi ? Hivi kwa maana ipi au kwa sababu ipi mnayaita yale ya October 29 ni maandamano ?

Kingine, kwa sababu ipi na kwa maana ipi watu wahamasishaji juu ya vurugu na uasi mnawaita nyota ya mchezo au watu mahiri, na kuacha kuwaita kwa majina yao stahiki kama vile Mafatani, Wazandiki, Magaidi, Wahaini na mfano wa hayo ?

Kwanini hamjipambi na sifa ya ukweli pamoja na uadilifu ?

Kwetu sisi kiimani, tunasema lazima mtaulizwa, na lazima mtalipwa stahiki zenu mbele ya Mola mlezi.
mtu akijitokeza leo kuponda mchezo mchafu wa sa100 tumuite gaidi?
Camon acha uchawa
 
Hanil Kabil alitakiwa ahack mitandao siku ya maandamano ili washindwe kuzima.

Pia tungeweza atusaidie ku hack Tanesco ili umeme uwake uswahilini uzime Mbweni, Mbezi beach, kawe, Mikocheni, Masaki, Oysterbay, Upanga, Kisutu, Kariakoo.

Tukimaliza awawashie waone kazi.
Uzime mbweni kwanini
 
mtu akijotokeza leo kuponga mchezo mchafu wa sa100 tumuite gaidi?
Camon acha uchawa

Wangapi wanauponda na hawaitwi Magaidi ila Hawa ? Tuliza akili uelewe nilicho kiandika.

Shida yoyote anaye kuwa dhidi yenu mnamuita chawa, maana yake vijana hampo kwa ajili ya ukweli zaidi ya kufurahisha nafasi zenu.
 
Overall
1. Mange
2. Sativa
3. Maria
4. Polepole
5. Conrad kibigumila (pastor)
6. Gwajiboy
7. Nuruvazi

Tunapoelekea
1.Mange
2.Habil/kabil

Halafu wengine watafuata
Wapi Rachel Dangwa cha matusi Kuna siku alisema bi mkubwa ni mjamzito😄😄
 
Back
Top Bottom