Kasomea nini?Mtanzania,kazaliwa jawe hapo kaishi hspo kabla hahaenda nje
Kwenye elimu hapo ndo tumenyoosha mikono
Ndo nimejua kumbe kuna wasomi na huko kwa wenzetu kuna teknolojia na pia uchumi yuko vzr kifupi unajua mambo mengi

Mmh ht sijui maana km ndo IT basi huku kwetu bado snKasomea nini?
Funzo lingine ni hawa wanaotuma kuteka na kuua wajue wataishia kuua Watanzania wote sasa. Ukimuua Mange, Polepole, Lema, Lissu, Soka wanaibuka wengine 1000. Ni vyema kuwa na thick skin, kusikiliza mawazo ya wengine pia. Na sio kukimbilia kuua.Issue ya Habil inatoa funzo kubwa sana kama taifa.
Ila kwakuwa CCM na TISS wamejaa mapunguani hawajaona tatizo.
Vijana watanzania wako Tayari kumsikiliza mtu yoyote atakaye wapa matumaini na kuwaelezea mabaya ya Serikali, kama TAIFA hili jambo ni hatari sana ..