Nyota wa mchezo wa MO29 na D9

Nyota wa mchezo wa MO29 na D9

Nilicheka Chief of Staff JWTZ alipigiwa simu na Habil kwanza akaulizwa naongea na fulani akajibu ndio, alipoambiwa tunaandamana D9 na kupewa masharti yale ukichanganya na English ya jamaa, mwishoni akasema nitafikisha ujumbe kwa mwenyewe🤣🤣
Na sauti ya chief of staff unaijua,aliongea lini hadharani ukaisikia?
 
Huyu kabil anajua kuwachota misukule yake eti anasema internet ikifungwa atawasha yake
Issue ya Habil inatoa funzo kubwa sana kama taifa.

Ila kwakuwa CCM na TISS wamejaa mapunguani hawajaona tatizo.

Vijana watanzania wako Tayari kumsikiliza mtu yoyote atakaye wapa matumaini na kuwaelezea mabaya ya Serikali, kama TAIFA hili jambo ni hatari sana ..
 
Nilicheka Chief of Staff JWTZ alipigiwa simu na Habil kwanza akaulizwa naongea na fulani akajibu ndio, alipoambiwa tunaandamana D9 na kupewa masharti yale ukichanganya na English ya jamaa, mwishoni akasema nitafikisha ujumbe kwa mwenyewe🤣🤣
Hahahaha😂😂😂
 
Maji ni kitu chenye nguvu sana! Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake maana hutayaweza na ukijaribu yatakusababishia madhara makubwa!
Ni wakati wa mabadiliko... Hayazuiliki! Na kujaribu kufanya hivyo ni kujitafutia shida za kujitakia
Nyota waliohamasisha na kufanikisha maandamano ya kudai haki na mengineyo ya October 29 walikuwa kwa sehemu kubwa ni jinsia pinzani ya kiume
Kumbuka nazungumzia nyota, kwa maana ya kwamba walioshiriki ni wengi lakini ambao walitamba zaidi ndio nawaongelea hapa
Mange Kimambi
Maria Sarungi
Rachel Danga
Halafu wakawepo kina kaka
Sativa
Pastor Dickson
Nuru Vazi
Pole pole
Gwajima nk

Kazi waliyofanya ilionekana na ndio imezaa maandamano sehemu ya pili ya D9

Kabla ya October 29.. Pole pole naye alijizolea umaarufu wake kea kutoa data ambazo chanzo chake kilikuwa ni yeye mwenyewe na kwakweli watanganyika wakamuona anawabagaza kisawasawa, akifuatiwa na Mange ambaye yeye alikuwa anapenyezewa!

Maandamo yale yakatawaliwa na ukatili mkubwa ulioteketeza maelfu ya roho zisizo na hatia huku kukiwa na majeruhi, makovu na ulemavu wa kila aina!
Pamoja na hayo yote.. Matakwa yale ya MO 29 hayakutekezwa hivyo kupelekea maandalizi part 2 ya maandamano ya D9 siku ya uhuru wa Tanganyika

Haya maandalizi ya maandamano ya D9 pamoja na wale nyota wa MO29, yamemuibua mwingine mgeni kabisa lakini mahiri zaidi na hatari zaidi
Huyu mtu ni kama jeshi la mtu mmoja ambaye yuko full loaded na kila aina yq silaha! Kubwa na ndogo. Za masafa marefu na mafupi
Na huyu si mwingine bali ni Habil Kabil.. Bingwa wa mipango na mifumo mwenye ushawishi wa ajabu
Ni mdukuzi hatari na anayoyadukua kila moja kwa udogo ama ukubwa wake ni silaha muhimu kuelekea D9..lakini pia ni pigo baya zaidi na zaidi.. Kwasasa ndiye mtu anayesikilizwa zaidi Tanganyika kwenye live talks mitandaoni

Ana kila aina ya ufahamu kwa kila jambo.. Ana mikakati na mipango anayoielezea kwa lugha nyepesi
Ana namna yake ya kipekee ya kuwasiliana na wahanga wake
Kwanza email
Pili barua/fax
Tatu simu
Nne kwenye live talks mitqndaoni
Yaani anahakikisha haachi upenyo wa "excuse' Na kwenye yote hayo atakupq muda ujibu ama ujitafakari na kuchukua maamuzi anbayo ameshakupa ' options' ambazo mara zote ni mbili tu A au B

Kila analoibuka nalo linatisha na kuumiza kuliko lingine.. Kwasasa kuna watu hawalali kwakuwa hawajui 'who is next' na watapewa 'ultimatum' gani wajichagulie kwa raha zao

Wengi watamani wasahauliwe mpaka D9 ifike.. Lakini kwa hali ilivyo hakuna atakayebakishwa na kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake!
Jana ukiachana na taasisi aliyefikiwa kwa sehemu tuu ni bwana subwoofer na kashfa ya kughushi.. Na kapewa ultimatum ya siku 7 za kujitafakari na kujibu
Je kesho ni nani?
policcm kwa upeo wao wanampakazia sio mtu ni mashine ya AI.
Katoa picha yake mtandaoni kukanusha hilo. Ni kijana GenZ wa bongo aliekulia nje na kukoza rafuzi ya kibongo, ila ni Mtanzania wa kuzaliwa bongo. Sasa nasikia mbwa mteule anaanza kuamisha magori, eti kuna mataifa wananyemelea utajiri wetu. Wahuni hawawaoni? najiuliza
 
Nyota imeibuka baada ya Mo29.
Kuna nyota 5 zitaibuka kila moja kwa wakati wake muafaka. Heabu kuanzia sasa. Unaweza kuita steringi kibongobongo.

Kabla ya Mo29 ziliibuka wakazizima, sasa hizi zijazo hazizimiki. Zitaamsha hizo zilizozima.
Zoezi hili ni YEYE mwenywe anasimamia.
 
Ccm wameona opotion ya kuuwa na kuteka ndio itawasaidia kubaki madarakan,ona sasa wameingizwa chaka na mange kimambi wamejikuta wameuwa maelfu ya vijana bila ya sababu ya msingi,damu za waliouliwa bila ya hatia na ccm zitawaalani maisha yao yote.
 
policcm kwa upeo wao wanampakazia sio mtu ni mashine ya AI.
Katoa picha yake mtandaoni kukanusha hilo. Ni kijana GenZ wa bongo aliekulia nje na kukoza rafuzi ya kibongo, ila ni Mtanzania wa kuzaliwa bongo. Sasa nasikia mbwa mteule anaanza kuamisha magori, eti kuna mataifa wananyemelea utajiri wetu. Wahuni hawawaoni? najiuliza
Amezaliwa na vimelea vya ujasusi achana na ule wa kufunzwa ukiwa ushapata akili mana kwa umri huo na uwezo huo ni mtu hatari sana si wa kupuuzia ni kuwa nae makini na kwa mataifa yenye kuelewa watu kama hawa ni asset.
 
Maji ni kitu chenye nguvu sana!
Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa!

Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu kufanya hivyo ni kujitafutia shida za kujitakia.

Nyota waliohamasisha na kufanikisha maandamano ya kudai haki ya October 29, kwa sehemu kubwa, walikuwa ni watu wa jinsia pinzani ya kiume.
Ninaposema nyota, namaanisha kwamba wapo wengi waliohusika, lakini ninaowataja hapa ni wale waliotamba zaidi.

Kutoka upande wa wanawake:
  • Mange Kimambi
  • Maria Sarungi
  • Rachel Danga
Kutoka upande wa wanaume:
  • Sativa
  • Pastor Dickson
  • Nuru Vazi
  • Pole Pole
  • Gwajima, n.k.
Kazi waliyoifanya ilionekana, na ndiyo imezaa maandamano ya awamu ya pili ya D9.

Kabla ya MO29, Pole Pole alijizolea umaarufu kutokana na kutoa data ambazo chanzo chake kilikuwa yeye mwenyewe. Watanganyika wengi waliona anawachana kisawasawa.
Mange naye akawa anapewa taarifa za ndani, na akawa anazipenyeza bila woga.

Lakini pamoja na nguvu yote hiyo, maandamano yale yakatawaliwa na kiwango kikubwa cha ukatili ulioteketeza maelfu ya roho zisizo na hatia — pamoja na majeruhi, makovu na ulemavu wa kila aina.

Hata hivyo, matakwa ya MO29 hayakutekelezwa.
Hii ikapelekea maandalizi ya maandamano ya D9, siku ya Uhuru wa Tanganyika.

Maandalizi ya D9, pamoja na wale nyota wa MO29, yamemuibua mtu mpya kabisa mahiri, mwenye nguvu, na hatari zaidi.

Huyu mtu ni kama jeshi la mtu mmoja, aliye full loaded kwa kila aina ya silaha kubwa na ndogo, za masafa marefu na mafupi.
Na huyu si mwingine bali ni:

Habil Kabil
  • Bingwa wa mipango na mifumo
  • Mtu mwenye ushawishi wa ajabu
  • Mdukuzi hatari
  • Anayedukua kila kitu, kidogo au kikubwa — na kila alichonacho ni silaha kuelekea D9
  • Kwa sasa, ndiye mtu anayesikilizwa zaidi Tanganyika kwenye live talks mitandaoni
Ana ufahamu wa kila jambo na huwasilisha mikakati yake kwa lugha nyepesi.
Ana mbinu za kipekee za kuwasiliana na wale wanaowekwa kwenye rada yake:
  1. Email
  2. Barua/Fax
  3. Simu
  4. Live talks mitandaoni
Kwa kila njia, anahakikisha hakuna nafasi ya visingizio.
Na mara zote anakupa chaguzi mbili tu: A au B.

Kila analoibuka nalo linatisha kuliko lililotangulia. Kwa sasa, watu hawalali hawajui nani ndiye anayefuata na atawekewa ultimatum gani.

Wengi wangetamani wasahauliwe mpaka D9 ifike… lakini kwa hali ilivyo sasa, inaonekana hakuna atakayebaki. Kila mmoja ataandikiwa wakati wake.

Jana, mbali na taasisi iliyoguswa kwa sehemu, ni Bwana Subwoofer aliyeibuliwa na kashfa ya kughushi na amepewa ultimatum ya siku 7 ajitafakari na kujibu.
HABILI KATAPELI KENGINE HAKANA DATA KAMA ANAVYOJISIFU
 
Mjamaa ametaja jina lake halisi kabisa peke zake kwa raha zake kila mtu amjue kwa raha zake siku ya leyo
 
Back
Top Bottom