Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
- Thread starter
- #81
Asante sana mkuu kwa maelezo yako,Pole kwa ndoto Jimena! Ndoto ni maono kamili kutoka kwa Mungu, kila ndoto inamaana changamoto ni kupata tafsiri yake. Nianze kwa kusema wewe ni (Jina lako halisi) wala si nyoka, kama kuna kisasi umekiweka ndani ya MOYO wako juu wa mtu/watu fulani acha hicho kisasi na usamehe.
Na kama sina kisasi na mtu je? Hii inaweza kuwa nini?
Maana hakuna mtu ambae nna kisasi nae