ahaha! pia nasikia kuwa kuna imani kwa baadhi ya world views,kuwa ukifa unazaliwa kama kiumbe kingine mahali pengine,sasa wewe ukifa utazaliwa nyoka somewhere.Hivi inawezekana eeh![]()
![]()
Habari za mda huu wana JF
Siku ya leo mapema tuu mchana kwenye saa saba wakati napitia posts mbali mbali hapa jamvini nilijikuta nimepitiwa na usingizi wa ghafla.
Na kujikuta nipo mazingira ambayo sijawahi kuyaona, na nilikuwa katika umbo la nyoka kimwili na mawazo pia, hilo halikunishangaza sana kwa sababu nilijiona kuwa mimi ni nyoka na niliona hayo ndio maisha yangu ya siku zote kama nyoka wengine,
Lakini ghafla kulitokea na njiwa wawili waliotua mbele yangu juu ya mti ulio mfano wa miti ile ya Crismass, nami nikaanza kuupanda ule mti kwa taratibu na busara kwa lengo la kuwakamata wale njiwa ili niwale...
Cha ajabu nilipofika juu na kuwakaribia nikagundua kuwa wale sio njiwa ila ni kunguru, na mimi kama nyoka nilikuwa sina tabia ya kula kunguru hivyo niliamua kushuka chini bila kuwabugudhi niendelee na mambo mengine lakini nilipofika chini na kutazama tena juu ya ule mti niliwaona kuwa ni njiwa na wala si kunguru kama nilivyofikiri hapo mwanzo, kwa mara ya pili niliamua kurudi tena juu ya mti ili niwakamate, ila nilipofika juu niliwaona ni kunguru na wala sio njiwa, hichi kitu kilinishangaza sana, maana nikiwa chini nawaona kama njiwa lakini nikiwa juu nawaona kama kunguru...
Wakati nipo katika dimbi la mawazo nisijue nini cha kufanya mara ghafla chini ya ule mti alipita sungura...
Hapo sasa nikaachana na habari ya wale njiwa/kunguru na kuanza kumfukuza yule sungura,
Ghafla nikashituka maana nilikuwa naamshwa ili nile chakula cha mchana na nilipongalia saa ilikuwa ni saa saba na dakika ishirini na tano mchana
Shida yangu hapa sio tu kutaka kujua hii ndoto inamaanisha nini Ila nikukutaka kujua mimi ni nani?
Je mimi ni binadamu ambaye nawaza/kuota kuwa nyoka au ni nyoka ambaye anawaza/kuota kuwa binadamu???
Na je maisha yangu na ufahamu wangu kwa sasa upo wapi?
Ni kwa nyoka au binadamu?
Na ni yapi ni maisha yangu ya kweli ninayoishi sasa kati ya nyoka au binadamu?
Cc Appolo Annael Bennie 369 Mkuu wa chuo aretasludovick pamoja na wengine wote ambao mna ufahamu kuhusu haya maswala naomba ufafanuzi wenu maana naona muda unapita bila mimi kupata ufumbuzi kwenye hili
Mmmh kuzaliwa tena kama nyoka hiyo ni ngumu kumezaahaha! pia nasikia kuwa kuna imani kwa baadhi ya world views,kuwa ukifa unazaliwa kama kiumbe kingine mahali pengine,sasa wewe ukifa utazaliwa nyoka somewhere.
ahaha! pia nasikia kuwa kuna imani kwa baadhi ya world views,kuwa ukifa unazaliwa kama kiumbe kingine mahali pengine,sasa wewe ukifa utazaliwa nyoka somewhere.
hahaha,hyo nilikuwa sijui,ila nikiconnect ndoto yake na imani hyo,hayo ndo majibu ninayoyapata.kuhusu uzuri wa roho yake anajua mwenyewe.huenda hyo ndoto ni kama anaonywa abadilike mapema.Kwani ana roho mbaya kiwango hicho? Maana kuna imani kwamba ikiwa ulikuwa kiumbe safi duniani ukifa nafsi yako huzaliwa katika kiumbe kingine hai mfano mtoto mdogo kisha kufutwa kumbu kumbu zote za kupata kuishi kabla ila kama ulikuwa na roho ya kibandidu ukifa nafsi yako huzaliwa katika kiumbe kisichokuwa binadamu bila kufutwa kumbu kumbu...so unajikuta wewe ni nyoka unaishi kwenye shimo karibu na iliyokuwa nyumba yako ama unajikuta ni paka ama mbwa kwenye yaliyokuwa makazi yako!
nilivyo elewa mimi ni kwamba akiwa juu ya mti anaona ni kunguru lakini akiwa chini anaona ni njiwa... na ni kama mara mbili hivi alihakiki hivyo...Kosa lako ni kutohakiki kama kweli wale ni kunguru ama njiwa ulivyofika kwenye mtu..inawezekana kabisa wakawa ni njiwa wenye genes za Kunguru!
Kwahiyo mimi ni nani?Kwani ana roho mbaya kiwango hicho? Maana kuna imani kwamba ikiwa ulikuwa kiumbe safi duniani ukifa nafsi yako huzaliwa katika kiumbe kingine hai mfano mtoto mdogo kisha kufutwa kumbu kumbu zote za kupata kuishi kabla ila kama ulikuwa na roho ya kibandidu ukifa nafsi yako huzaliwa katika kiumbe kisichokuwa binadamu bila kufutwa kumbu kumbu...so unajikuta wewe ni nyoka unaishi kwenye shimo karibu na iliyokuwa nyumba yako ama unajikuta ni paka ama mbwa kwenye yaliyokuwa makazi yako!
hahaha,hyo nilikuwa sijui,ila nikiconnect ndoto yake na imani hyo,hayo ndo majibu ninayoyapata.kuhusu uzuri wa roho yake anajua mwenyewe.huenda hyo ndoto ni kama anaonywa abadilike mapema.
Thank you.Em acha kupoteza muda na kuwaza maduduwasha kama hayo. Focus on what is really important, haya mambo ya ndoto ni ndoto tu, hakuna maana yoyote ile kwenye ndoto, najua hupendi kusikia hili ila ndio ukweli, ni brain tu inaplay tricks.


Lazima itakuwa alihusisha, ndoto ya nyoka ni uadui, ila sasa kunguru wakawa wanamsaidia, kwa sababu angejua tangu chini wale ni kunguru asingepanda juu,lakini walikuwa wanaonekana njiwa, akipanda wanakuwa kunguru, ndio ikawa heri kwakeAsante sana
Na kama ni mfanya biashara kweli ila biashara haikuhusisha kabisa hayo maswala ya waganga au mambo kama hayo inaweza kuwa ni tatizo gani na nini kifanyike?