Nyoka wa ajabu

Nyoka wa ajabu

mkuu hii ndoto ina maana kubwa sana. kwanza kabisa kimira na ndoto nzuri kwa upade mwingine ni mbaya
 
Bila shaka wewe ni mtoto wa dawa ulipatikana kwa waganga wa kienyeji
 
Kwa ufahamu wangu nyoka ni tafsiri ya shetani, jini, mzimu (Ant christ)
Hawa nao wanaweza kua maumbo ya binadamu na waka act kama watu na waka join jf
Naanza kupata picha unajaribu kutuelezea wew ni nani
 
Unamfuata njiwa mzuri kwa chakula......huenda kuna mkaka unampenda ambaye unaona anakufaa. Lakini Mungu na wewe mnajua kabisa ukimpata utamuangamiza (financially., socially, spiritually). Hivyo Mungu anaamua kumgeuza ili asipendeze machoni mwako (nyoka/evil spirit); then unaacha kumfuata. Wewe the mortal you huna kisasi na mtu lakini the evil spirit (nyoka) in you is there to steal, kill and destroy. Bado chunguza uhusiano wako na Mungu. Any contrary and familiar spirit in you should chased out in The Name of Jesus.
hahahaa.... duh?!
 
Ndio ila unaweza kuwa walienda kwa mganga wa kienyeji ndio ukapatikana yani hadi hapo najua kabisa who are you ni pm nyakuambia
Sema tu hapa hapa wala hakuna tatizo,

Kwanza mi sio mtoto wa kwanza kuzaliwa na wala hakukuwa na tatizo la uzazi hivyo ulichokisema hakina ukweli

Funguka tu mkuu nakufatilia kwa umakini sana
 
Hebu nipe mfano wa hayo wa hayo mambo ya kishetani?
Mambo yote ambayo yanamchukiza muumba kwa mfano wewe unaenda msikitini au kanisani kwa ajili tu umeambiwa na mshirikina uende kwenye nyumba za ibada ili mambo yako yanyooke hapo umeenda si kwa ajili ya mungu ila kwa ajili unashida fulani hapo utakuwa mshirikina Ingawa unaingia kwenye nyumba ya ibada
 
cc: mshana jr

Yaweza kuwa ulisinzia kuelekea kaskazini ya chumba ulichokuwepo.... wataalam wanasema ikiwa hivyo utaota ndoto za mang'am ng'am.

Wewe ni mtu wa wapi? Kwenu mna mizimu?
Kuna mkoba (uchawi) kwenye familia na haujakabidhiwa mtu?

Jina unalotumia ni la kurithi kutoka kwa bibi au shangazi au .....? Huyo mwenye jina asili alikuwa na mambo ya matambiko? Kama huna basi kuna roho inakutafuta. .....

La itakuwa malaria inakaribia kupanda kichwani wapi hospital.

La ilikuwa ni njaa usiku huu ukilala hutoota tena hivyo.

Pole.
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom