Nyoka wa ajabu

Ni ndoto tuu...ukitaka tafsiri ya kila ndoto utaingia kwenye ushirikina. Wewe ni mtuu...nyoka hana mikono amewezaje kuandika na kupost humu JF !??
 
Habari za mda huu wana JF

Je mimi ni binadamu ambaye nawaza/kuota kuwa nyoka au ni nyoka ambaye anawaza/kuota kuwa binadamu???

Na je maisha yangu na ufahamu wangu kwa sasa upo wapi?
Ni kwa nyoka au binadamu?
Na ni yapi ni maisha yangu ya kweli ninayoishi sasa kati ya nyoka au binadamu?

Cc Appolo Annael Bennie 369 Mkuu wa chuo aretasludovick pamoja na wengine wote ambao mna ufahamu kuhusu haya maswala naomba ufafanuzi wenu maana naona muda unapita bila mimi kupata ufumbuzi kwenye hili

habari mkuu Jimena.
natumaini kule upande wa pili mko salama na mnaendelea vizuri kabisa.
ubongo wa mwanadamu pamoja na utendaji kazi wake ni moja kati ya sehemu pana sana zinazofanyiwa utafiti wa kina kwa sasa.
ubongo wa mwanadamu ni super computer ambayo haina weekend au naweza kusema ina shut-down pale cell za mwili wako zinapoacha kufanya kazi na mauti kukupata.
watu wengi huwa wanasema ukilala ndiyo unakuwa una upumzisha ubongo, lakini hii si kweli kwakuwa recent findings zinasema ubongo wa mwanadamu unafanya kazi zaidi muda wa usiku au muda wowote unapokuwa umelala ambapo unakuwa unconscious kuliko unapokuwa awake au katika conscious state.
hebu fikiria mifumo kama vile mfumo wa damu, mfumo wa hewa, mfumo wa utoaji taka mwili, mfumo wa chakula na mifumo mingine complex zaidi inaongozwa na hii CENTRAL PROCESSING UNIT.

NIKIJA KATIKA SWALI LAKO

ndoto ni kama programming language itumiwayo na ubongo wenyewe kujichanganua yenyewe ili kujielewa yenyewe kutokana na muingiliano wa data mbali-mbali na baadaye kuleta pop-ups informations ambazo mara nyingi katika ulimwengu halisi wa nyama ni ngumu sana kuunganisha pieces of the puzzle, hasa pale unapojaribu kuhusianisha time difference kati ya ndoto na maisha halisi. {{ndoto na maisha halisi ni kama vile demensions mbili tofauti}}.

kama nilivyosema hapo juu kuwa unapokuwa umelala au unapokuwa unconscious ubongo unaendelea na shughuli zake kama kawaida.
sasa swala la ndoto huwa linategemea INTERNAL na EXTERNAL factors.

INTERNAL FACTORS

-kama vile kurandana au kufeli kwa informations zinazokuwa processed & interpreted na ubongo kiasi kwamba kusababisha kutokea kwa pop-up informations kama hizo ndoto za mdudu nyoka au maluelue mengine.
-au mrundikano wa mawazo fulani {unaweza kukuta kabla kujalala ulikuwa ukiwaza sana philosophical ideas kuhusu uhalisia wa maisha na ndoto kipi-kipi ?}

EXTERNAL FACTORS
-kama vile ulilalaje wakati huo{staili ya ulalaji}
-kulikuwa na kelele au sauti gani sababishi wakati huo zilikuwa zinasikika. {unaweza kukuta ulikuwa unaota kwa kuakisi yanayoongelewa kwenye radio au TV}
-pia hewa inayokuzunguka {{yaweza kuwa ulikuwa unapumua kwa shida au ulikuwa unavuta hewa chafu mpaka kuperekea ubongo kukosa hewa safi na ya kutosha ili kufanisi kazi zake, na badala yake kuleta feedback ya manyoka-nyoka}}.
-pia yaweza kuwa wakati uliopita hukulala muda wa kutosha hivyo ulivyolala tu ubongo ukawa na kazi mara mbili zaidi katika kufanya mipangilio mbali-mbali na kuperekea pop-up kama hizo.

kama nilivyosema ubongo ni uwanja mpana sana kuuelewa japo haimaanishi kuwa haueleweki kabisa, hivyo basi kwa maoni yangu naweza sema ww ni ww uliyeota kuwa ni nyoka na siyo nyoka uliyeota ni ww.
natumaini sijaharibu sana

Cc;@apollo
Cc; Jumong S

MADE IN MBY CITY
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu NICOLAX na maswali yako nimeyapata, Ila kutokana na siku nyingi kupita hata sikumbuki sana
Pamoja sana
 
Ni miaka kadhaa sasa Jemina toka uote hii ndoto, haikuwa ndoto nzuri, fumbo kubwa lipo sehemu hizi mbili.

1. Kuwa Nyoka.
2. Kuwaona Njiwa ila Baadae kuwa Kunguru.

Ni mambo ya rohoni sana, naamini kuna mambo ambayo mpaka sasa umeanza kuyaelewa, haikuwa ndoto nzuri.

Kwa ajili ya msaada zaidi wa kiroho kwa njia ya maombi, nipo tayari kukupatia mawasiliano ya mmama ambae ni mlezi mzuri wa deliverance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom