Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

Kwa upande wa Biblia ni inakataza. Unatakiwa unawe uso, lips zisikauke kutangazia umma kwamba umefunga.

Ts only you & ur God.
Asa kuna washamba wao kazi ni kuuliza wenzao .....umefunga? .........umefunga?.........

Wanaenda mbali zaidi kwa kujiekezea kuwa wamefunga pasi na kuulizwa
 
Acheni kejeli
Huwezi kutukana na kulaumu watu wasio waislam
Mwezi huu ni wa toba na una masharti yake
Tusiharibiane swaumu jamani
Hakuna mtu anafunga anaanza kutukana watu, hapana huyu labda hajui maana ya mfungo huu au sio muislam
Heshima ni jambo kubwa sana kwa waliostaarabika wakuu
kwahiyo toba ni mwezi huu tu, miezi mingine dhambi kama kawa. shetani mwongo sana, anajua sana kubambika watu dini za uongo.
 
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami

Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu

Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
💯% 🚮
 
Daa ndugu yangu muislam naona umeota jipu wewe, kwani unafunga ili iweje, uiashinde dhambi au dhambi ikushinde?.

Kuna mmoja kakurupuka kama wewe kamuona mwenzake hana sura ya ramadhan (kufunga huku unatia huruma) kamwambia "mbona wewe uonyeshi kama umefunga? "

Sababu ana furaha muda wote, it'was foolish sana!.
Hii inadhihirisha ni kiasi gani uislam ni dini ya kulazimishana na vitisho...l
 
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami

Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu

Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana

Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami

Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu

Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
Isaya 1:14, Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea, nimechoka kuyachukua.
 
Funga yenu ni ya ajabu sana,mkifunga mnataka watu wote wafunge,mnasahau kuna imani nyingine wanawndelea na maisha yao........ukiamua kufunga hata jirani yako hatakiwi kujua ila funga ya Muslims ni kama kukomoana.......nimepita unguja leo utadhani nchi watu wamehama,hakuna kinachowndelea,mambo mengi yamesimama
 
Futari, chakula cha usiku, Daku. Njaa huwa tunatoa wapi? Mfungo usiwe wa mbwembwe hakuna la ajabu linalofanyika.
 
kwahiyo toba ni mwezi huu tu, miezi mingine dhambi kama kawa. shetani mwongo sana, anajua sana kubambika watu dini za uongo.
Jiepushe na dhambi za aina yote na mda wote kama wewe ni muumini wa dini yeyote
Hakuna haja ya kashfa kwani haikuongezei point
 
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami

Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu

Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana

Kufunga kwako kusiwe kero kwetu
Wewe funga upate thawabu. sisi tulioamua kuishi maisha yetu bila kelele usitufanye kama watumwa wako bana.

Kama vipi hamia Zanzibar ambapo kila mtu analazimishwa kufunga hata kama siyo wa imani hiyo
Eti dini ya Mwenyezi Mungu... LAANA tupu hakuna dini hapa...
 
Attachments

  • Zanzibar.mp4
    3.4 MB
Karibuni
Tanzania_food_-_Ndizi_na_kitimoto_cha_kukaanga.jpg
 
wewe unafturu public,watu wakila unataka wajifiche.unaona watu ni wavaa kobazi?
una akili wewe?
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami

Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu

Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
 
Jiepushe na dhambi za aina yote na mda wote kama wewe ni muumini wa dini yeyote
Hakuna haja ya kashfa kwani haikuongezei point
natamani ungefumbuka macho ukaona namna shetani alivyoleta imani za kishetani, watu wanafunga na kupoteza muda na pesa wakiamini wanamwabudu Mungu wa kweli, kumbe shetani amewapiga changa la macho. wengi wameokolewa kutoka huko, na kuwaambia ukweli kwamba wapo gizani ni muhimu, kwani tusipowaambia tusijedaiwa damu yao mikononi mwetu. Njia ya kumwabudu Mungu ni moja tu, kwa njia ya wokovu katika Yesu Kristo, njia zingine zoote ni za mashetani na wala usizifumbie macho.
 
Sasa kuona tu watu wanakula unaanza kupata tamaa ya vyakula na unakasirika hivi unaelewa hata maana ya kufunga? Huko kwenye daladala/mwendokasi mnavyojazana na unakuta wowowo linakugusa gusa kwenye mjegeje utaweza kuikwepa zinaa kweli? kama tu unatamani huo wali maharage umeona wanakula huko njiani.
 
Back
Top Bottom