Nyimbo za kabila lipi unazozikubali?

Nyimbo za kabila lipi unazozikubali?

Zeze za wasukuma hazina mpinzani ile sauti tu kwanza unavyokoroma ni hatari sana
 
Wasafwa: Awilo kidume cha mbeya, Wa Mwiduka
Wasukuma: Bhudagala, Nyakabaya, Madebe mwajinasa, Kado chiza, Nyanda lunduma, Kidomela, n.k
Kiukweli wasukuma wanajua kwa nyimbo za kikabila wanaongoza[emoji122] nawakubali sana hata kama mara nyingi sielewagi wanachoimba.
Wasafwa ndio vibukuta vyeupe sio
 
Mngekuwa mnapandisha na audio humu ingekuwa jambo la mbolea sana.
 
"Nyimbo za kabila lipi unazozikubali?"

Wangoni

Sikia huu.


 
WAYAO - SISI TAMBALA hawa ndio hubeba kabila hilo dogo la kusini mwa Tz ikijumuisha mikoa miwili ikiwa ni RUVUMA na Mtwara, wilaya za MASASI na TUNDURU.
NYIMBO Maarufu za kabila hilo ni KATOPE na SISI TAMBALA
WAMAKONDE hawa jamaa ngoma zao ni tamu sijui kwakuwa nimeishi kule ila zinaamsha amsha sana. Ngoma zao maarufu ni SINDIMBA, SINGENGE, CHINGENGE, MADUDU NK
Nyimbo maarufu kwa kule ni KILA MUNU AVENA KWAKO.
WASAFWA hawa wako Mbeya kule, wanapiga nyimbo nzuri sana na zinafurahisha. Moja ya wasanii wanaoimba vizuri nyimbo hizo ni SISTER DAS, WA MWIDUKA nk Moja ya nyimbo nzuri ni ile aliyoimba Sister Das, SEMA NO.
 
Back
Top Bottom