Nyimbo ya kudedicate kwa mpenzi

Mkuu ni unaandaa truck za disco nn?

Kwa nini? Ukizicheza hizi nyimbo disco itakuwa balaa. Ni nyimbo za hisia sio za kuruka ruka. Nimemuwekea baadhi, kama atazipenda atakuwa anachagua moja moja.
 
mkuu ukiwa safarini ukaziweka si unaweza kuachia na steling kabisa kama unadrive mwenyewe raha zikikorea

teh, teh, teh, ndugu yani hapo lazima uachie kidogo, yani hizi nyimbo hata ukiomba lift lazima utingishe kichwa. na hapo pembeni kuna glass ya grants.
 
Kwa nini? Ukizicheza hizi nyimbo disco itakuwa balaa. Ni nyimbo za hisia sio za kuruka ruka. Nimemuwekea baadhi, kama atazipenda atakuwa anachagua moja moja.

Na mie nitengenezee mkuu
 

Kweli kabisa, nami nasikiliza country music. Yaani, kama mpenzi wa music, masongi mazuri yamezagaa kila kona. Kwenye soft rock huko nako balaa, ukija reggae balaa, neo soul ndo usiseme, jazz uwiii. Yaani ni kusikiliza pande zote na kufocus kwenye meseji kwanza, utapenda.
 
kinyago cha mpapure 🙁

Historia lady jaydee...
skelelu

mgambo wanaruka na kukanyagana by juma nature

Sitaki demu wa juma nature

bado nipo nipo _FA

Alikufa kwa ngoma

Mwaka wa shetani -mh.Temba

Mtumie "sizitaki mbichi hiz"

Shikamooni jmn yaani nimecheka mpk nimelia kilambalambila kati ya hizi umechagua IPI sasa?
 
Last edited by a moderator:

piga ua - msondo ngoma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…