Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

[Ngwair & JD]kama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikilizakama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikiliza[Ngwair]yoh nyie mademu gani, sikizeni kwa makinimimi hivi kwanini mnakuwa hamjiamini, yeahmnajua nyie yaani mna nguvu zaidi ya sisimwanaume kwa demu ni kama mfupa kwa fisisina nia ya kubadili maadili, sionnachopinga nyie kushikwa masikiosema tu hamjui umuhimu wenu.continue....mia
 
ila leo nitawaambia tu ila iwe siri yenumi mwenyewe naenda club kila wikihaina maana huwa nafuata tu mzikimkiwa wachache huwa naona hapalipihata niwe na hela vipi na lundo la marafikivijijini asilimia tisini maskini starehe yao ni pombe na nyinyisasa mpaka lini mtakuwa mnanyanyasika na kudharaulikaau wenyewe mmeridhikakuolewa mna haki wala msiite bahatiwe unadhani, wanangu mi nitalea na nani?sema tu wengi ni vichechejapo sio moto hakuna asiye ogopa checheyeah. continue..!!mia
 
[Ngwair & JD]kama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikilizakama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikiliza[Mwana FA]mfano mi sifagilii kabisa mitungiukiacha mabinti sio mineli sio mirungiila nakosa imani nikiwaona mnajigongayaani hadhi yenu inashuka kimsimamo mnapoyumbammekosa nini kinachofanya msijiaminiau mwalimu wenu kipofu msemo nanyi mnaamini.continue...!!!mia
 
1. Masikini Wenzangu
2. Tupo Juu
3. Mikasi
4. Ghetto Langu
5. A.k.a Mimi
6. Kimya Kimya
7. Mikasi

In That Order
 
msichimbe madini sawaila sio wote muwe wafanyakazi wa ndanihesabu hazipandi sioni ngumukuwa rubaniila japo karani na imani haishindikanibig up kwa ma mommy, wote ambako mbite imelala kichwanisisemi mlee wanaume kama mabintiila mnapojitosheleza machaguo yanaongezekahamuoni, basi somenikama uliishi vibaya poa wanangu irekebishewenye upeo mdogo ndo daimawanakuwa vichechekuolewa sio lazima japo inaongeza heshimaina hadhi yake. continue..!!!.mia
 
hawatajali mkewa kigogo au wa mkulimana ole wenu mpenda kutafuta vyenumnatamani tu vya wenzenundo maana huwa mnamegwa na wazee umri wa babu zenunieleweni jikazenimsipokomaa waume zenu watawaletea vicheche ndaniNiamini, BinamuB Yeah[Ngwair & JD]kama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikilizakama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikiliza.continue..!!. mia
 
Album ya Ngwair ya kwanza ndio ilikuwa kali kuliko album nyingi za bongo na iliuza sana ,tatizo wizi wa mapromota jamaa hakupata hela ya maana.Nakumbuka nyimbo kama
  • Dakika Moja
  • She Got A Gwan
  • Sikiliza
  • Ghetto Langu

Dunia tunapita,upumzike kwa amani Albert

niliupenda sana huu wimbo,nilikua na-rewind tape hata 10x,unanihuzunisha unansononesha unapoleat we habar zile,unanihuzunisha unapoleta we habari zile,amani moyoni sinaaa,amani moyoni sinaaa,amani moyon aman moyon,watu wote wanajuaaa,sio tu braza chua,east zuu wanajua kama we ndo unanzingua,samahan dada anomba dk yako moja tu,mi nataka kuongea na wewe
 
Kimya kimya na Jmore ni bonge colabo. Sauti yake kwa mara ya kwanza niliisikia kwenye wimbo wa AHADI ZA BOSS aliofanya na Chamber Squared.
 
wengine mnapenda sana vya kupewando maana wengi wenu mnaishia kuchezewamnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa..ndoa inajaa visa na kuonewamfano ngwair narudi muda ninaotakana ukineletea ki'bass tu asubuhi talaka, kwenusi najua huna kitu, zaidi ya begi lakoila nisingethubutu endapo nyumba ni yakonajua hamuwezi kuenda haja ndogo mmesimamaila mna uwezo wa kufanya kilasiku mnachofanyahata kuwa Raisi mwanamke pia ana hakimradi tu awe na vigezo wanaume tunapata wapi?.continue..!!. mia
 
'Naona Milupo imeanza kuntamani bac malizia kinywaji twen zetu nyumbani' Hv ni nani aliimba hiki kipande akiwa na Ngwair?
 
kama kusoma wote ruksa kusomabado biashara hata ufundi wa kushonawenzenu wachache bungeni si mnawaona?hata kuimba imbeni tu msionenomaka Sista P, Zay B, Stara, Ray CJe wataka endesha Prado ka Lady Jay Dee?amini wote tumezaliwa watupuna huvaa ni kutokana tu na juhudi za mtuhollakama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikilizakama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikilizayep. mia
 
Kaiachia dunia shida kubwa huyu mangwea. Nyimbo zake zote hazina maadili zimekaa kingono ngono tu. Kifo chake wala si mfano kwa vijana wa rika lake.

Ukweli lazima usemwe...japo unauma.
 
Mi naikumbuka hii! kimya kimya!

Kama ulimpenda Ngwair alisafiri kimyakimya, akafariki kimyakimya, km unasikitika sikitika kimyakimya, kama utalia basi lia kimyakimya, akumbukwe kimyakimya, ombeni dua zenu afike kimyakimya, mungu amlaze peponi kimyakimya, na HUU MSIBA NI WA KIMYAKIMYA

umekufa mwili tu lkn Roho ipo hai milele na ipo pamaja nas!
Dunian tunapta tu, East zoo Dom tunahuzunika sana!!
R.I.P mahali ulipopaandaa!!
 
anakwambia mi mwenyewe naenda club kila wiki/aina maana nnafata tu muziki/ata vijijini asilimia tisini maskini/starehe yake ni pombe na nyinyi/

hata kuwa rais mwanamke pia ana haki ili tu uwe na vigezo.ngwair we lov u bro bt god lov u mor.rip.
 
"sikiliza" mnajua nyie mna nguvu zaid ya ss mwanaume kwa dem ni km mfupa kwa fis, cna nia ya kubadl maadl co nchonapinga nyie kushkwa mackio....... ngwair we lov u sana bt God lov u mor. R.I.P BINAMUUU A.K.A MIM A.K.A COW BOY.
 
Mi msela, duu alitambaa vema sana na ile bit ya majani. Hii ngoma ni my favourite ringtone.
 
Mi Msela!
Ngwair kabamiza bamiza mule katika verse yake!
Afu ni bonge la biti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom