Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,383
Ndio maana walipatana na Zari, Hamisa maana kila.mtu alikua na skendo zake na watoto wengine huko, ila bado anahitaji typical tandale girl ambae ni tit for tat, yaani dai akimwaga mboga tandale girl nae anamwaga ugaliMtu kama Diamond Platnumz akipata mwanamke anaefanana nae tabia. Itakuaje hapo? Baba ana watoto 4 kwa mama tofauti, Mama nae ana watoto 4 kwa baba tofauti. Baba leo ana scandle ya kutoka na fulani, Mama nae kesho anajibu mapigo.
Sidhani kama namba zitasoma.