Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 686
- 1,360
Hii ni kwa wale wote waliozaliwa kwenye ndoa halali na iliyobarikiwa na Mungu.
Hivi huwa mnajisikiaje kuzaa watoto wa zinaa hali yakuwa nyie mmezaliwa kwenye ndoa halali mnaona mnawatendea haki hao watoto?
Kizazi cha 80's hadi 90's wengi wamezaliwa kwenye ndoa, miaka hii kushuka chini wachache sana walizaliwa nje ya ndoa kwa kuzini na kujamiiana na kutungishana mimba ila wengi wao wamezaliwa kwenye ndoa halali kwanini nyie mzae watoto bila ya ndoa ingekuwa wewe ungejisikiaje?
Zini uzinivyo( japo ni katazo kwa Mungu) ila usilete mtoto ambae hana muunganiko wa nasaba kwa ndugu na wazazi duniani ukitaka kufanya ivo oa au olewa kwani wewe wazazi wako walilitambua hilo na ndio maana ukazaliwa na wazazi wenye muunganiko kisheria.
Binafsi nilicharaza sana ila nilipotaka kupata mtoto nikaoa kwani najihisi fahari kuzaliwa na wazazi waliokuwa na ndoa au muunganiko wa kisheria hivyo nahisi nikioa na kupata mtoto nitakuwa nimemtendea haki basi nikaoa.
Kama haupo tayari kuoa au kuolewa usizae wala kuzalisha ni bora ukakaa ivoivo kuliko kuwaleta duniani watoto wa zinaa hamuwatendei haki hao watoto.