Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

Kwahiyo wanauvunja ndoa wakina Dangote na Bill gate ni wavulana Sana?

#YNWA
Uanaume haupimwi na usomaji wa ATM yako weye mvulana! Usiwe na haraka, utakapokuwa mwanaume utakuja kufahamu, usiumize sana akili yako kwa sasa, furahiya uvulana wako nayo ni stage nzuri ya maisha😜!
 
Wanajamvi salama?

SAMAHANI KWA HILI ANDIKO REFU KIDOGO.

Naomba mliooa mnipe darasa kidogo. Nina Miaka 31 na nyumbani kelele nyingii ni utaoa lini? Mimi ni yatima na nimelelewa na ndugu@extended family. Tatizo lilianza pale ndugu wa kiume niliokuwa nao wotee wameoa. Na rafiki zangu wotee (wale close friends) wameoa.

Sasa bana ndugu zangu wotee kwasasa ni "NA WEWE UTAOA LINI?" Yaani ni kama movement wameianzisha kunishinikiza nioe. Sababu zinazonifanya nisite kuoa. Kwanza kabisa Mimi ni mwajiriwa wa Serikali.

1. ELIMU
Nilipanga kuoa nikimaliza bachelor (nilianza Kazi nikiwa na diploma) nilivyomaliza bachelor, nikapata fursa kusoma Masters nayo nikamaliza. Sasa hivi naona Masters haitoshi Nahitaji PhD.

Huwa nawaza vile naoa halafu namwacha mke wangu TZ mi napanda ndege kwenda kusoma PhD, sasa naoa ili niache mke alone?

2. KAZI
Niliajiriwa nikiwa very low level civil servant. Nilikua na mshahara hata Mimi haunibariki, nikawaza ""Kama huu mshahara Mimi tu haunitoshi je huyo mke atalishwa na nini, na je akileta mtoto duniani atalelewa na mshahara gani?""

Nilivyomaliza tu masters nikakaimishwa idara (kaimu mkuu wa idara).

Nilihoji utumishi Dodoma kuwa mkuu wa Idara kamili. Nilijibiwa Mimi bado mdogo kazini (period of work vs Cheo), nivumilie soon nitakua senior, hivyo nivumilie muda ukifika nitakua mkuu wa Idara kamili.

Kazini nao kila siku "We boss oa bana" Ila wasichokijua Nina mawazo tofauti, hii ofisi/Cheo nilikipata April/2020 ila kwasasa nishakichoka. Nakiona kidogo nahitaji something big. Kwasasa niko nafanya lobbying na connections ili nipate post kubwaa ofisi nyengine huko.

Pia tokea April nisha aply sanaa UN, AU, SADC na kwengine huko (Inter. Org) ili nikafanye Kazi, naiona ofisi yangu ndogo sanaa kwangu. Ila Hawa inter. Org hawajawahi kuniita hata interview jamani

Sasa nawaza, ""Kwasasa akili yangu iko race na finding green pasture, huyo mke akija sasa asipo kuwa sambasamba na ndoto zangu itakuaje?""

3. INVESTMENTS
Nina uwekezaji naufanya wa project za kilimo. Nimepanda maembe, Parachichi na miti ya mbao. Na lengo langu ni kuwa na Eka 1000 za uwekezaji. Uwekezaji wangu bado ni mdogo kiumri ila ni wa eka nyingi, haujaanza kutoa return, hapa sasa ndio tatizo linaanza.

Kwakuwa mashamba yangu yotee bado yanahitaji huduma, then asilimia kubwa ya mshahara wangu unaenda Shambani. Naweza kupeleka hela yotee shambani mi nikabaki na mpaka na 50,000/= ndio inilee mwezi. Na hii ndio sababu imenifanya nipotezee marafiki, maana hawanioni Tena bar Wala starehe yoyote. Yaani nimekua bahili hasaaa, nimepiga chini pombe, kuchoma nyama na vituu vingii vya kuwa pamoja na marafiki.

Mimi ni kazini >>> nyumbani >>> shambani.

Sasa najiuliza ""Mimi na mashamba yangu mshahara haututoshi, huyu mke atalelewa na pesa gani?"" Vile anasema "baby nataka hela ya kusuka" huku kibarua nae shambani "bosi nataka hela Kazi" Hapa nani atapewa na nani atanyimwa?

4. MTOTO
Nina mtoto ila mimi na mama ake hatukufanikiwa kufika mbali, baada ya kudumu miaka mi3. Nilikuja kumfumania akigongana na mchungaji wa Kanisa langu KKKT baada ya Mimi kurudi kutoka safari ghafla. Aisee niliumia balaa yaani kitandani kwangu na mchungaji wangu. Niliwaambia tu ""mkimaliza muondoke""

Nilirudi nje nikasepa, nilivyorudi sikuwakuta, ilikuwa 2018. Yule mwanamke aliomba msamaha sanaaa, nikamwambia "ili nikusamehe katoe USHUHUDA kanisani juu ya mchungaji" alishindwa ndio ikawa mwisho wetu.

Na yule mchungaji alihamaga usharika wa huku. Tena Kuna siku niliiona post FB ana hubiri kuhusu vijana tuoe, nilimshangaa yule mbwaaa. Nikionaga vile watu Wana comment video zake za mahubiri wakimtukuzaa dah huwa nachoka sanaa na hawa wachungaji.

Then mtoto nipo nae sanaa, mama ake yupo DSM anapambana na maisha, mwaka jana nilitumiwa sms na mdogo ake "shemeji" kuwa mama mtoto/dada ake kaamua kubadili dini na kuolewa na shekhe.

Nilimwambie tu amwambie ""maisha mema"" Hii ndio ikiwa chatting ya mwisho na ukoo wa mama wa mwanangu. Sina mawasiliano nao yoyotee tokea 2018. Nampenda sanaa mwanangu. Sasa nawaza ""Mwanamke gani atakuja kwangu tuishi na yeye ampende mtoto asiye wake?""

5. MIFANO
i. Nina watu wengi wa karibu, yale waliyopanga hayakufanikiwa baada ya kuoa.

ii. Nina rafiki zangu tuliajiriwa wote tukapanga kurudi Shule, ila tokea waoe MIPANGO IMEKUFA. Nilirudi Shule pekee yangu wao hawakurudi.

Yaani marafiki zangu wengi sanaa wameacha mipango yao mingi kuitekeleza baada ya kuoa. Kipindi kile kabla hawajaoa nikiwa nao bar, dah walikuwa na plan nyingi ila walivyooa tu SIONI UTEKELEZAJI.

Hili LINANIOGOPESHA.

iii. Watu wengii wanaonizunguka naona tu wanalalamika na ndoa zao tuu.

iv. Wake za watu kazini na nilivyokuwa chuo niliona wanagongwa sanaa.

Yaani kifupi, wanawake wengi ninao wajua na niliowahi kuwa nao karibu ambao wanaishi mbali na waume zao kwasababu yoyote wanagongana na vijana wasio na ndoa na wenye ndoa wenzao.

Sasa nyie mlioa, MLIWEZAJE KUJITOSA KWENYE NDOA NA MIPANGO YENU IKADUMU. VIJANA TUENDELEE KUZALISHA SECONDARY SOURCES OF INCOME.

Mbinu za UTAJIRI ni UBAHILI.

#YNWA
#YNWA# fanya kwa vitendo sasa.
 
Uzi umejaa tambo za kihaya nyiingi hasa hapo namba 1 Hadi 3 haikuhitajika maelezo yote hayo, hatujakuuliza

Hili bandiko wapelekee wanaokuhimiza kuoa,
To me uoe, usioe, uolewe ama ujioe hainihusu.....
Mkuu ungekaa kimya tu kama uliona hayakuhusu
Tchao
 
Alishagajitangaza humu Hana mpango wa kuoa, huu uzi ni tambo na ashuo tu,
Kwahiyo nikiomba mbunye PM hutonipa kwasababu ya tabia yangu mbaya ya kutangaza mabaya.

Poor me kwa kukosa mbunye za JF😭😭

#YNWA
 
Uzi umejaa tambo za kihaya nyiingi hasa hapo namba 1 Hadi 3 haikuhitajika maelezo yote hayo, hatujakuuliza

Hili bandiko wapelekee wanaokuhimiza kuoa,
To me uoe, usioe, uolewe ama ujioe hainihusu.....
Bado umemsoma mwanzo mwisho na ume comment isingekuhusu ungepita juu kwa juu.
 
Wanajamvi salama?

SAMAHANI KWA HILI ANDIKO REFU KIDOGO.

Naomba mliooa mnipe darasa kidogo. Nina Miaka 31 na nyumbani kelele nyingii ni utaoa lini? Mimi ni yatima na nimelelewa na ndugu@extended family. Tatizo lilianza pale ndugu wa kiume niliokuwa nao wotee wameoa. Na rafiki zangu wotee (wale close friends) wameoa.

Sasa bana ndugu zangu wotee kwasasa ni "NA WEWE UTAOA LINI?" Yaani ni kama movement wameianzisha kunishinikiza nioe. Sababu zinazonifanya nisite kuoa. Kwanza kabisa Mimi ni mwajiriwa wa Serikali.

1. ELIMU
Nilipanga kuoa nikimaliza bachelor (nilianza Kazi nikiwa na diploma) nilivyomaliza bachelor, nikapata fursa kusoma Masters nayo nikamaliza. Sasa hivi naona Masters haitoshi Nahitaji PhD.

Huwa nawaza vile naoa halafu namwacha mke wangu TZ mi napanda ndege kwenda kusoma PhD, sasa naoa ili niache mke alone?

2. KAZI
Niliajiriwa nikiwa very low level civil servant. Nilikua na mshahara hata Mimi haunibariki, nikawaza ""Kama huu mshahara Mimi tu haunitoshi je huyo mke atalishwa na nini, na je akileta mtoto duniani atalelewa na mshahara gani?""

Nilivyomaliza tu masters nikakaimishwa idara (kaimu mkuu wa idara).

Nilihoji utumishi Dodoma kuwa mkuu wa Idara kamili. Nilijibiwa Mimi bado mdogo kazini (period of work vs Cheo), nivumilie soon nitakua senior, hivyo nivumilie muda ukifika nitakua mkuu wa Idara kamili.

Kazini nao kila siku "We boss oa bana" Ila wasichokijua Nina mawazo tofauti, hii ofisi/Cheo nilikipata April/2020 ila kwasasa nishakichoka. Nakiona kidogo nahitaji something big. Kwasasa niko nafanya lobbying na connections ili nipate post kubwaa ofisi nyengine huko.

Pia tokea April nisha aply sanaa UN, AU, SADC na kwengine huko (Inter. Org) ili nikafanye Kazi, naiona ofisi yangu ndogo sanaa kwangu. Ila Hawa inter. Org hawajawahi kuniita hata interview jamani😭😭

Sasa nawaza, ""Kwasasa akili yangu iko race na finding green pasture, huyo mke akija sasa asipo kuwa sambasamba na ndoto zangu itakuaje?""

3. INVESTMENTS
Nina uwekezaji naufanya wa project za kilimo. Nimepanda maembe, Parachichi na miti ya mbao. Na lengo langu ni kuwa na Eka 1000 za uwekezaji. Uwekezaji wangu bado ni mdogo kiumri ila ni wa eka nyingi, haujaanza kutoa return, hapa sasa ndio tatizo linaanza.

Kwakuwa mashamba yangu yotee bado yanahitaji huduma, then asilimia kubwa ya mshahara wangu unaenda Shambani. Naweza kupeleka hela yotee shambani mi nikabaki na mpaka na 50,000/= ndio inilee mwezi. Na hii ndio sababu imenifanya nipotezee marafiki, maana hawanioni Tena bar Wala starehe yoyote. Yaani nimekua bahili hasaaa, nimepiga chini pombe, kuchoma nyama na vituu vingii vya kuwa pamoja na marafiki.

Mimi ni kazini >>> nyumbani >>> shambani.

Sasa najiuliza ""Mimi na mashamba yangu mshahara haututoshi, huyu mke atalelewa na pesa gani?"" Vile anasema "baby nataka hela ya kusuka" huku kibarua nae shambani "bosi nataka hela Kazi" Hapa nani atapewa na nani atanyimwa?

4. MTOTO
Nina mtoto ila mimi na mama ake hatukufanikiwa kufika mbali, baada ya kudumu miaka mi3. Nilikuja kumfumania akigongana na mchungaji wa Kanisa langu KKKT baada ya Mimi kurudi kutoka safari ghafla. Aisee niliumia balaa yaani kitandani kwangu na mchungaji wangu. Niliwaambia tu ""mkimaliza muondoke""

Nilirudi nje nikasepa, nilivyorudi sikuwakuta, ilikuwa 2018. Yule mwanamke aliomba msamaha sanaaa, nikamwambia "ili nikusamehe katoe USHUHUDA kanisani juu ya mchungaji" alishindwa ndio ikawa mwisho wetu.

Na yule mchungaji alihamaga usharika wa huku. Tena Kuna siku niliiona post FB ana hubiri kuhusu vijana tuoe, nilimshangaa yule mbwaaa. Nikionaga vile watu Wana comment video zake za mahubiri wakimtukuzaa dah huwa nachoka sanaa na hawa wachungaji.

Then mtoto nipo nae sanaa, mama ake yupo DSM anapambana na maisha, mwaka jana nilitumiwa sms na mdogo ake "shemeji" kuwa mama mtoto/dada ake kaamua kubadili dini na kuolewa na shekhe.

Nilimwambie tu amwambie ""maisha mema"" Hii ndio ikiwa chatting ya mwisho na ukoo wa mama wa mwanangu. Sina mawasiliano nao yoyotee tokea 2018. Nampenda sanaa mwanangu. Sasa nawaza ""Mwanamke gani atakuja kwangu tuishi na yeye ampende mtoto asiye wake?""

5. MIFANO
i. Nina watu wengi wa karibu, yale waliyopanga hayakufanikiwa baada ya kuoa.

ii. Nina rafiki zangu tuliajiriwa wote tukapanga kurudi Shule, ila tokea waoe MIPANGO IMEKUFA. Nilirudi Shule pekee yangu wao hawakurudi.

Yaani marafiki zangu wengi sanaa wameacha mipango yao mingi kuitekeleza baada ya kuoa. Kipindi kile kabla hawajaoa nikiwa nao bar, dah walikuwa na plan nyingi ila walivyooa tu SIONI UTEKELEZAJI.

Hili LINANIOGOPESHA.

iii. Watu wengii wanaonizunguka naona tu wanalalamika na ndoa zao tuu.

iv. Wake za watu kazini na nilivyokuwa chuo niliona wanagongwa sanaa.

Yaani kifupi, wanawake wengi ninao wajua na niliowahi kuwa nao karibu ambao wanaishi mbali na waume zao kwasababu yoyote wanagongana na vijana wasio na ndoa na wenye ndoa wenzao.

Sasa nyie mlioa, MLIWEZAJE KUJITOSA KWENYE NDOA NA MIPANGO YENU IKADUMU. VIJANA TUENDELEE KUZALISHA SECONDARY SOURCES OF INCOME.

Mbinu za UTAJIRI ni UBAHILI.

#YNWA
Kwanza hakuna ndoa kamirifu,yaani isiyokuwa na matatizo,pili hakuna mwanadamu mkamirifu,kama unatafutwa "perfect"person,usioe,nenda mbinguni,tatu ndoa ni kama kuingia kwenye biashara ni risk tu,
Unaweza ukaoa leo,kesho ukagongewa na mshenga au best man wako,au unaweza ukaoa leo,ukaishi maisha matamu unashangaa,
Ukiona mzee Mwinyi,au mzee sita,au watu wanadumu miaka 40 ya ndoa,sio kwamba hawakuwa na matatizo,ni uvumilivu na kusamehana,na kumuweka Mungu mbele,angalizo,oa ukitaka,sio kwa kushinikizwa
 
Back
Top Bottom