Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,513
- 2,196
Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni.
Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama ifuatavyo, Ujenzi wa majengo ya Serikali TZS958.6bn, Afya TZS94.2bn, Elimu TZS267bn, TZS686.9bn,Miundombinu ya Barabara TZS638.9bn, Nishati ya Umeme TZS99.2bn, Mapato ya Ndani TZS240.9bn, TASAF TZS61.6bn, Sekta Nyingine 465.39bn. Pesa hizi ni karibu kabisa na bajeti yote ya nchi ya Burundi au hata nchi ya Sudani kusini kwa mwaka mzima.Rais Samia amepeleka TZS3.5Trilioni Mkoani Arusha ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo.
Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama ifuatavyo, Utawala bora TZS958.6bn, Afya TZS94.2bn, Elimu TZS267bn, TZS686.9bn, Miundombinu ya Barabara TZS638.9bn,Nishati ya Umeme TZS99.2bn, Mapato ya Ndani TZS240.9bn,TASAF TZS61.6bn, Sekta Nyingine 465.39bn. Pesa hizi ni karibu kabisa na bajeti yote ya nchi ya Burundi au hata nchi ya Sudani kusini kwa mwaka mzima.