Nyie Amkeni, uchumi wa Kati: TZ inatengeneza Magari!

Hiyo chuma inaitwa Katambuga na ina mifumo maalum ya umeme mwingi sana hivyo hainywi, soko letu kubwa tutakapoiuza ni Uingereza, Ujerumani na Marekani...hao wengine hawana hela ya kununua hii.
 
Hiyo chuma inaitwa Katambuga na ina mifumo maalum ya umeme mwingi sana hivyo hainywi, soko letu kubwa tutakapoiuza ni Uingereza, Ujerumani na Marekani...hao wengine hawana hela ya kununua hii.
UK Dealers Needed
 
This is stupidity of highest level. Kweli kabisa unadhani na wao wanaona hicho no kitu kabisa???

COSTECH inafanya kazi gani? Hawa wangeongezewa pesa ya study yao wangecome up with a better version. Ukimwambia mtaalamu kwamba hiyo ndio pilot version dah

I appreciate the efforts Ila workdone=0 sorry
COSTECH haitoi ufadhili wa project za wanafunzi, wewe ndo hujui pamoja na matusi yote gayo
 
Hivi tunashindwa nini kuanzisha foundry, kiwanda cha kukunjia mabati, rim na matairi? Cha waya East african cables dhumuni lake lilikuwa kuunda nyaya za aina zote zikiwemo za magari! Sielewi tunafeli wapi!

Kwa teknolojia ilipofikia kutengeneza gari ni kama keki tu! Sijui tunakwama wapi
Labda useme ku-assemble.

Kutengeneza gari sio kitu rahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom