Nyeti za siri zinapochafukwa

Master piece. Well written. Well thought.
 
Mshana Jr

Sir Buyer = 7ya ?
 
Heee kumbe haijakoma kaka!! Mimi nilijua kuwa biashara ya viroba ilikoma pale serikali ilipokataza vifungashio vya plastiki!!
 
Kuna mabaki na masalia tunayamalizia
 
Reactions: Mj1
Mbona unapaki basi ?! [emoji23][emoji1787]

Umehisi nguvu wapinzani ni ya uadui ?!
 
Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!
 
Kwa lugha nyepesi umesema? Bado? Mbona hueleweki?
 
Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!

Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!
Kaka usemi wa mtu mzima akivuliwa nguo.... haukumbukwi tena.
Au ndio twaandaa maandalizi.......tuje kuita presi konferensi
 
Nanukuu.... na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…