Kijiba cha roho! He was the founding father of modern Tanzania. Eat that.
Hadi nchi za West zinamuita Dictator Nyerere ktk textbook zao. Kweli kazi mnayo ya kumfanya aonekane ... yenu
Kijiba cha roho! He was the founding father of modern Tanzania. Eat that.
Safi sana!Nitakujibu, wewe, watoto wako, wajukuu zako, wajomba zako, mna haki ya kufanya kila mnachotaka. Ila ukweli utabaki pale pale kwamba Julius Nyerere ndiye founding father of modern Tanzania. Hilo halikwepeki.
Sisi hatuongozwi na maoni ya nchi za magharibi au mashariki. Wanaweza kumwita wapendavyo. Kwetu sisi ni baba wa taifa na mwanzilishi wa taifa la kisasa la Tanzania.Hadi nchi za West zinamuita Dictator Nyerere ktk textbook zao. Kweli kazi mnayo ya kumfanya aonekane ... yenu
Nchi gani hizo za West? Ukishindwa kutaja basi ujijue wewe ni mwongo zaidi ya FaizaFoxy!Hadi nchi za West zinamuita Dictator Nyerere ktk textbook zao. Kweli kazi mnayo ya kumfanya aonekane ... yenu
Taifa la kisasa ni tafsiri ya modern nation!Samahani wakuu zangu, taifa la Kisasa ndio lipi hilo?
Sisi hatuongozwi na maoni ya nchi za magharibi au mashariki. Wanaweza kumwita wapendavyo. Kwetu sisi ni baba wa taifa na mwanzilishi wa taifa la kisasa la Tanzania.
Nchi gani hizo za West? Ukishindwa kutaja basi ujijue wewe ni mwongo zaidi ya FaizaFoxy!
Yaani hilo ndio jibu lako?Ninaposema nchi za West najua ushazijua ni nchi gani. Acha ubishi wa kizamani.
Ndio nini tena?.. tupe darasa..Taifa la kisasa ni tafsiri ya modern nation!
Ada unayo, au unataka darasa la bure kama enzi zile za Mchonga?Ndio nini tena?.. tupe darasa..
Kwanza unaposema ina maana nyingi sana ni zipi hizo?Hapana kusema kwlei sijui maana morden nationa ina maana nyingi sana...
Sasa huu uhuni mkuu wangu...Kwanza unaposema ina maana nyingi sana ni zipi hizo?
Mimi nnaijuwa Alhamdulillah, tena with confidence. Na huyo aliyoibandika huyo anaelewa kabisa kuwa hapa hakuna utani na Qur'an.
Wewe nimeshakupa darsa hapa na umeachana na ule upupu wako sasa unarukia ya mwenzako wakati huna ujuzi nayo. Na yeye tutampa ilmu, kwani huo ni wajib kwangu. Ukiondoka hapa na wewe uwe umefaidika.
Mwenzenu yule aliyezoweya kuziweka aya ndivyo sivyo (mmkjj) aliondoka hapa umemshuka, muulize ilikuwa siyo mara yake ya kwanza na AlhamduliLlah kila anapojaribu kucheza na Qur'an huna anaumbuka. Hiyo inalindwa na mwenyewe na hamuwezi kuichakachuwa hata mpande mshuke nyinyi mchanganyike wote, hamuwezi thumma hamuwezi.
Asione haya aombe msamaha kwa kutaka kupotosha Qur'an.
Sipo hapa kwa kuungwa mkono wala mguu. Nipo hapa kuwapa darsa watu kama wewe.
Sasa huu uhuni mkuu wangu...
Modern nation inatokana na historia ya nchi mlikotoka ktk utawala uliokuwepo na kuwa na mageuzi kufikia mfumo wa kiutawala uliopo sasa..Kwa mfano wenzetu wanatumia hili neno toka mageuzi yaliyowapa muundo wa utawala uliopo ingawa imetokea miaka 200 iliyopita, kwa maana hii sisi mageuzi yetu ya Taifa la kisasa yametokea mwaka 1992 wanasiasa na wasomi wa NCCR walipoanza ku challenge authority ya one party system na Ujamaa (socialism)..na tukabadilisha mfumo huo wa kiutawala mwaka 1993 na kuwa a modern nation ambayo leo ndio tupo ktk vyama vingi na tumeachana na Ujamaa na kuchagua Ubeberu wala sii Ubepari... Ni kama tumerudi nyuma ktk mteremko wakati tumeweka gear ya kwenda mbele..
Na mageuzi ya Nyerere kumwondoa Mkoloni as a morden nation yalikoma mwaka 1992 kwa sababu tulichonacho leo sii kabisa mazao ya mwalimu na utawala wa chama kimoja au Ujamaa maana hatuna. Coming 1992 tuliweza kabisa kusema that was our modern nation baada ya kuondokana na kukoloniwa tuka rise sense of nationalism, tukapata national identity and loyalty, tuka form centralized Government, one party rule system na kadhalika lakini yote haya hayapo tena..
Sasa sielewi ulipotumia neno Nyerere ndiye baba wa taifa la kisasa kidogo imenitatiza maana Taifa tulonalo leo sio kabisa aloombea mwalimu bali tumefika hapa wenyewe na tumepoteza kabisa Uzalendo, Utaifa - national ID, Loyalty yaani ni omba omba wa kutupa - tupo tupo tu..
Shindana kwa hoja na acha hayo mambo ya jinsia. Hapa unaonesha dalili ya kushindwa; ndiyo maana unaanza kwenda kwenye sexism.
uislam unaruhusu mwanamke kubishana na wanaume? unaruhusu pia kashfa na matukano kwa watu wenye umri mkubwa? dhambi mnayoipata kwa kumkejeli mwalimu ni kubwa sana na itaandama hata vizazi vyenu. mwalimu was so innocent and he loved his people na hakuwahi kubagua watu au makundi ya watu. mnachokipandikiza hapa hamkijui hakika. waulizeni vyema wazazi wenu kwa nini hawakuwapa malezi mema na mkawa na heshima kwa wakubwa zenu. kukaa oman au yemen au kokote kule si kufahamu mambo. busara ni kitu tofauti sana na elimu na ndiyo maana wisdom iko na wachache. poleni sana but nyerere ni founder na baba wa taifa na si baba wa nyie mmoja mmoja.