By
FaizaFoxy
Mag3 na wenzako hamuwezi kufananisha mambo wanayoandika na kutumia nchi zingine ndio utufanye tukinahi kuwa hiyo ndio "norm".
Mimi nnasema hivi, Waislaam hawana vyeo vya u "baba", baba ni aliyekuzaa tu, hivyo vyeo vipo kanisani, hata wale wasiruhusiwa kuzaa na kanisa wanaitwa ma "baba", baba mtakatifu, baba askofu, baba mchungaji na sasa "baba" wa Taifa, na hao uliowataja kuna uwezekano ni washirika wa kuyaendeleza wasiyoyajuwa. Waislaam wengi hatukubaliani na hiki cheo cha u baba ambacho asili yake ni kanisani. Kwanini mlazimishe? sisi tunasema Nyerere ni Rais wa kwanza wa JMT. hakuna cha zaidi.
Vyeo vyenu vya kanisani viishie hukohuko kanisani, msitujaze ujinga wa kuwa na baba ambao hata kuzaa hawaruhusiwi, hayo ni yenu nyinyi na mnaelewa kwanini mnawaita ma baba hao ambao si baba zenu.
Nadhani kama tungeacha vitu alivyovifanya Nyerere vilevile lakini jina lake lingekuwa ni Abdallah Masoud , leo hii watanzania wote tungekuwa tunathamini mchango wake bila ya kuwa na hizi chokochoko zinazoendelea.
Mimi bado ninajiuliza hii chuki ya Kanisa Katoliki waislam wameitolea wapi maana wengi wao bila kusoma shule za mission(nyingi zikiwa za katoliki ) sijui leo hii wangekuwa wapi.
Nipo hapa nasoma kitabu kinaitwa NYERERE, FREEDOM AND SOCIALISM| UHURU NA UJAMAA.
Alichoanza nacho Nyerere wakati tunapata uhuru na changamoto alizokutana nazo nadhani kama wangekuwa ndiyo hawa marais wetu wa awamu zilizofuata ingekuwa ni bonge la disaster.
Page ya 58 imenikumbusha jinsi baadhi ya waislam wanavyomlalamika Nyerere kuwa aliirudisha nyuma kimaendeleo mikoa ya kusini(yenye waislam wengi) .
Haya ni maneno yake kwenye ufunguzi wa Hospitali ya kutibu Ukoma huko Mtwara...26 July 1965.
...This is a Christian mission , but the leprosarium
is not for Christians only - the majority of the patients are in fact adherents to the Muslim faith. I do not believe there is anything wrong in this , on either side. On the contrary , I believe it is a recognition that whatever our particular beliefs about God and His Prophets we can best worship Him by living together, and working together, in harmony , and in His service...
Hapo baadhi ya ndugu zetu hata shukran kidogo hakuna. Ukoma wa akina Moody kwishney lakini shukrani ni mateke tu...!
page 224: Hapa anafungua matawi ya Morogoro Teachers College...27 August 1966
...The days when our people chose between accepting the Christian religion or remaining uneducated have now gone.
I am convinced that this is a good thing both for the nation and for the different churches. S
erving the needy because they are needy , regardless of race , tribe or religion , can do nothing but the good. This attitude may be termed secular, but it is by no means irreligious. All it means is that in our society Muslims,pagans, Hindus, Protestants , and Catholics , all have an equal chance to enter such institutions as this Teacher's College,
and that none of them need fear that an attempt will be made to seduce them from their own beliefs . The Morogoro Teacher's College , as much as the Dar es Salaam Teacher's College , is now open to all our educationally qualified citizens regardless of their religion . It is part of our nationally integrated education system...
Hapa na kwenyewe hakuna shukran na watasema Nyerere ni mdini na baba wa Kanisa
Hakuna hata shukran kwa jitihada zake za kuondoa upungufu wa wataalam mbalimbali katika nyanja tofauti wakiwemo walimu enzi hizo.