Kwanza kabisa inabidi utuombe msamaha kwa kutaka kupotosha hiyo aya si Kutoka Surat Al Hujurat 49:12 nakuomba uombe msamaha kama ni Muislaam:
Qur'an 49:12 ni hii hapa:
O you who have believed, avoid much [negative] assumption. Indeed, some assumption is sin. And do not spy or backbite each other. Would one of you like to eat the flesh of his brother when dead? You would detest it. And fear Allah ; indeed, Allah is Accepting of repentance and Merciful.
Kiswahili chake ni hii hapa:
Qur'an 49:12
Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu.
Kumbuka! huwa sikisii. Tena hii aya ina maana sana kwako, isome vizuri.
Kwanza jirekebishe uombe msamaha halafu tuendelee na mengine.
Wewe ndio uombe msamaha acha unafiki sio heri nzuri kwa mtoto wa Kiislamu tena mwanamke unataka hata kubishana na Quran ninapokwambia kitu usifikiri mimi chizi maarifa. Haya ni maneno ya Mola pingana nayo unavyotaka lakini yamo ndani Surat Al- Hujurat iwe aya 1 au ya 9 lakini yamo.Nyie ndio mnaopotosha aya Mwenyezi Mungu kwa faida zenu binafsi, sasa nenda kwa wale washeikh wako wa Gerezani waulize usituletee Kufur hapa ambazo hazina maana yeyote ile; nilishakuambia DINI na siasa haviendani; kama hutaki kumwita Mwl. Nyerere BABA wa Taifa hiyo haki hakuna anayekulazimisha sawa na katiba yetu hailamizimshi mtu kumwita Mwl. Nyerere BABA wa TAIFA. Inshallah Mola atakuondelea ugonjwa wa ubishi uliokuwa nao.
[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD="width: 48"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41"]
[/TD]
[TD="align: center"]
[TD="class: sr, colspan: 2"]
[49:11] Surely all believers are brothers. So make peace between brothers, and fear Allah that mercy may be shown to you.
[49:11] مومن تو بھائی بھائی ہی ہوتے ہیں۔ پس اپنے دو بھائیوں کے درمیان صلح کروایا کرو اور اللہ کا تقویٰ اختیار کرو تاکہ تم پر رحم کیا جائے ۔
[/TD]
[TD="class: sr, colspan: 2"]
[49:12] O ye who believe! let not one people deride another people, who may be better than they, nor let women deride other women, who may be better than they. And defame not your own people, nor call one another by nicknames. Bad indeed is evil reputation after the profession of belief; and those who repent not are the wrongdoers.
[49:12] اے لوگو جو ایمان لائے ہو! (تم میں سے😉 کوئی قوم کسی قوم پر تمسخر نہ کرے۔ ممکن ہے وہ ان سے بہتر ہوجائیں۔ اور نہ عورتیں عورتوں سے (تمسخر کریں😉۔ ہو سکتا ہے کہ وہ ان سے بہتر ہوجائیں۔ اور اپنے لوگوں پر عیب مت لگایا کرو اور ایک دوسرے کو نام بگاڑ کر نہ پکارا کرو۔ ایمان کے بعد فسوق کا داغ لگ جانا بہت بری بات ہے۔ اور جس نے توبہ نہ کی تو یہی وہ لوگ ہیں جو ظالم ہیں ۔
[/TD]
[TD="class: sr, width: 740, colspan: 2"]
[49:13] O ye who believe! avoid most of suspicions; for suspicion in some cases is a sin. And spy not, nor back-bite one another. Would any of you like to eat the flesh of his brother who is dead? Certainly you would loathe it. And fear Allah, surely, Allah is Oft-Returning with compassion and is Merciful.
[49:13] اے لوگو جو ایمان لائے ہو! ظن سے بکثرت اجتناب کیا کرو۔ یقیناً بعض ظن گناہ ہوتے ہیں۔ اور تجسس نہ کیا کرو۔ اور تم میں سے کوئی کسی دوسرے کی غیبت نہ کرے۔ کیا تم میں سے کوئی یہ پسند کرتا ہے کہ اپنے مردہ بھائی کا گوشت کھائے؟ پس تم اس سے سخت کراہت کرتے ہو۔ اور اللہ کا تقویٰ اختیار کرو۔ یقیناً اللہ بہت توبہ قبول کرنے والا (اور😉 بار بار رحم کرنے والا ہے ۔
[/TD]
[TD="class: sr, width: 740, colspan: 2"][/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]