Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Alikuwa founder wa umasikini.

Hivi kuna sifa ipi haswa Nyerere aliyokuwa nayo zaidi? mimi nawaona mnajisumbuwa kutetea yasiyokuwepo. Katuacha nvhi nyang'anyang'a, hata mjaribu vipi kum "sanitize" haosheki.

Naona mnaleta viroja tu. Hivi binaadam gani anapoteza wenzake halafu anapanda jukwaani anacheka? nyinyi huwa mnafikiri kweli? hata sabababu za hizo sifa mnazojaribu kumpa hazipo. Ji dikteta lile kinasifa zipi za maana? limedhulumu mali za watu, roho za watu, na bado mnalisifu? amma kweli nyinyi mna matatizo. Na mkiambiwa mapungufu yake mnakataa. Nani asiyoyajuwa kwa sasa? labda nyinyi mnaokaa mkadanganywa mkadanyika, mnaambiwa huyu "baba" nyie mnakubali tu bila hata kufikiria.
Nilikuwa nimeandika maneno makali kuwahi kuandika katika maisha yangu ... lkn nilibonyeza delete kuyazuia kuingia hewani...

Dada Faiza, maneno yako uliyoandika hapo juu yanatisha...!!!
Hiyo chuki yako kwa kiongozi wetu wa kwanza haitokani na raia wa kawaida katika taifa hili, si kauli ya raia mwema wa nchi hii, si kauli ya mcha Mungu aliye mwingi wa rehema ndogo na kubwa... kauli imevuka mipaka yote ya utu, imani, maadili, .... imebaki kuwa kauli iliyotamkwa na mtu aliyejawa na chuki, dharau, ufedhuli, unafiki na upofu wa moyo. Ni kauli ya mtu aliyejikinai na kujiona ana ufahamu bora, dini bora, imani sahihi, ... ingekuwa heri ungeoneshwa ulivyo mbali na vitu vyote hivyo usingeyafanya yote hayo hata kwa dkk 1...

Naomba kukomea hapo kwa sasa...
 
...busara ni kitu tofauti sana na elimu na ndiyo maana wisdom iko na wachache. poleni sana but nyerere ni founder na baba wa taifa na si baba wa nyie mmoja mmoja.
Tatizo la akina FaizaFoxy, ritz & co wanafikiria kumuita Nyerere Baba wa Taifa ni sawa na kusema Nyerere alilala na mama zao. Kwa hiyo wanaogopa hiyo na wanaanza kutumia dini kuhalalisha akili zao zilizojaa uozo. Inanshangaza kuona hata Mufti Mkuu hajatoa mwongozo kwa hili lakini vijitu kama FaizaFoxy vyenye kufikiria vinaujua Uislamu zaidi ya Waislamu wengine wote hapa duniani vinang'ang'ania kutupotosha!
 
Wewe ndio muongo tena mzandik unaejaribu kupinda pinda maneno. Tanzania ilianzishwa na Nyerere pekee? kivipi? na Karume umemsahau? na hata mkataba ulisainiwa Zanzibar au hujuwi hilo? mnataka kujaza watu uongo eti "modern" kna u modern upi huo aliouacha nyerere? Ilinganishe Tanzania na nchi zilizopata Uhuru wakati wake uone, hata Kenya hatuipati kwa u "modern" tena bota alipoondoka Nyerere ndio tunaona tunapiga hatua za kimaendeleo, wakati wake Kenya ilikuwa hatuipati kwa lolote, si elimu, si chochote kingine, na sisi ndio tulipata Uhuru kabla yao. Mnanini nyinyi kukaa kuzuwa humu. kuna mema yepi aliofanya Nyerere kwa nchi hii?
Acha hizo. Hazitakusaidia. Nimemuuliza huyo Mr. Right swali ni nchi gani za magharibi zinazomuita Nyerere dikteta na ameshindwa kujibu sasa na wewe ndio kabisaa unaongea kama kichaa wa Mirembe (umechanganyikiwa)!
 
Kuktambuwa nini na nimeshakuambia zamani, kama ni mzee basi akili bado ni za kitoto. Huna unachokielewa zaidi yakupinga au kusifia usichokijuwa mradi tu uwepo. Kaa hapa upate darsa.
Hilo "darsa" unipe wewe. Unataka na mimi nizibuke/nichanganyikiwe kama wewe sio?
 
Ndio hayo nnayosema mimi, kwanini kiongozi aliyefanya mabaya yasisemwe? Hapa tunasikia kila siku viongozi ambao hata hawana makosa wakisemwa na kukejeliwa leo mtu ambae makosa yake yapo waziwazi mnakataa kusema ukweli, kwanini? ina uhusiano upi na Uraia mwema? Raia mwema ni yule anaempaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa? huyo atakuwa raia mnafik.

Hata makanisani tunasikia kuna kitu kinaitwa "confession" kuungama, hivi kama hamjakaa na kuungama kuwa kweli kuna mabaya ameyafanya nafsi zenu huwa haziwasuti?

Mnaweza kujibu kuhusu Hanga?
Mnaweza kujibu kuhusu kina Kambona na kukimbia nchi miaka na miaka?
Mnaweza kujibu kuhusu roho zote za watu zilizotoka kwa vita aliyoipika na kuipauwa mwenyewe na hata CIA wanasema ilikuwa ni issue "personal" baina yake na Iddi Amin?
Mnaweza kujibu kuhusu mpenda "muungano" ambae aliisadia Biafra kutaka kujitenga na Nigeria?
Mnaweza kujibu kuhusu kuitia nchi kwenye umasikini mpaka tukakosa chakula?
Mnaweza kujibu kuhusu kudhulumu mali za wengine (kuwataifisha bila kuwalipa na wengine akawalipa? kwanini isiwe kwa wote?

Na mengine mabaya chungu nzima tutazaja page hizi tukianza kuyachambuwa.

Uzalendo? mnaweza kujibu uzalendo wenu wa kuficha mabaya ya kiongozi na kutetea maovu amma kwa kuwa hamkuyaona mabaya yake au kwa kuwa tuu ni Mkristo mwenzenu basi ni lazima mumtetee hata kama ni muovu?

Tulikuwa tunatishwa hata pakuongelea hatuna, au hamjamsikia Kikwete hotuba yake juzi? wakati wa udikteta tumeuwacha huko.

Halafu bado anakuja mtu kusema eti "baba" wa Taifa. eti Rais "bora". Ana ubaba upi dhalim yule? na ubora upi? wa kuwacha nchi haina hata senti mbovu na kuichoma moto BOT kabla ya kuondoka? wakati wa kudanganyana umekwisha.

Huu unafik ndio ulimpelekea hata yule mzee Mwinyi akazabwa kofi mbele ya halaiki ya watu, wacheni unafik kuweni wa kweli. Historia itawasuta tu. Hata mjaribu vipi kuficha maovu yake yatajulikana tu.

Wewe mama kumbe shida yako yote huwa ni Nyerere. Umemchukia sana Nyerere.
Kwa taarifa yako, Nyerere meant well.
Kama alivyo support ANC na Palestina hadi kufunga ubalozi wa Israel, ndivyo alivyo support Biafra. Nyerere hakupenda taifa lolote au watu wawe oppressed. Biafra walikuwa oppressed. Haikuwa haki.

Nyerere angekuwa dhalimu na dikteta mbaya, angefariki tajiri sana. Alifanya yote yale ili mimi na wewe tuishi kwa amani.
 
Ndio hayo nnayosema mimi, kwanini kiongozi aliyrfanya mabaya yasisemwe? Hapa tunasikia kila siku viongozi ambao hata hawana makosa wakisemwa na kukejeliwa leo mtu ambae makosa yake yapo waziwazi mnakataa kusema ukweli, kwanini? inauhusiano upi na Uraia mwema? Raian ni yule anampaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa? huyo atakuwa raia mnafik.

Hata makanisani tunasikia kuna kitu kinaitwa "confession" kuungama, hivi kama hamjakaa na kuungama kuwa kweli kuna mabaya ameyanfanya nafsi zenu huwa haziwasuti?

Mnaweza kujibu kuhusu Hanga?
Mnaweza kujibu kuhusu kina Kambona na kukimbia nchi miaka na miaka?
Mnaweza kujibu kuhusu roho zote za watu zilizotoka kwa vita aliyoipika na kuipauwa mwenyewe na hata CIA wanasema ilikuwa ni issue "personal" baina yake na Iddi Amin?
Mnaweza kujibu kuhusu mpenda "muungano" ambae aliisadia Biafra kutaka kujitenga na Nigeria?
Mnaweza kujibu kuhusu kuitia nchi kwenye umasikini mpaka tukakosa chakula?
Mnaweza kujibu kuhusu kudhulumu mali za wengine (kuwataifisha bila kuwali na wengine akawalipa? kwanini isiwe kwa wote?

Na mengine mabaya chungu nzima tutazaja page hizi tukianza kuyachambuwa.

Uzalendo? mnaweza kujibu uzalendo wenu wa kuficha mabaya yakiongozi na kutetea maovu amma kwa kuwa hamkuyaona mabaya yake au kwa kuwa tuu ni Mkristo mwenzenu basi ni lazima mumtetee hata kama ni muovu?

Tulikuwa tunatishwa hata pakuongelea hatuna, au hamjamsikia Kikwete hoatuba yake juzi? wakati wa udikteta tumeuwacha huko.

Halafu bado anakuja mtu kusema "baba" wa Taifa. Rais "bora" Ana ubaba upi dhalim yule? na ubora upi? wa kuwacha nchi haina hata senti mbovu na kuichoma moto BOT kabla ya kuondoka? wakati wa kudanganyana umekwisha.

Huu unafik ndio ulimpelekea hata yule mzee Mwinyi akazabwa kofi mbele ya halaiki ya watu, wacheni unafik kuweni wa kweli.
Faiza, mimi ni mzee kuliko wewe, hakuna utakachoweza kunisimulia kuhusu Nyerere...
Nyerere sasa ni marehem, hawezi kujitetea zaidi ya kupokea heshima za watu aliowaongoza, kuwatowa kutoka mikono dhalim ya wakoloni na kutufanya tujitambulishe kama nchi moja yenye makabila mengi zaidi ya 123
Viongozi walio hai wanaosemwa kila siku wanayo nafasi ya kusimama na kujitetea kwa vile wapo hai ...
Nyerere ni binadamu tu kama mimi na wewe, heshima tunazompa haziwezi (1) Kumgeuza awe malaika (2) kumwingiza peponi (3) kumsaidia kusamehewa dhambi zake (4) kuondowa makosa aliyofanya akiwa kiongozi ....
Heshima hizo zinatusaidia sisi kuwa wamoja. Tunahitaji kuwa wamoja katika nchi moja ya Tanzania.
Nyerere alifanya makosa. Viongozi wote wanafanya makosa pia. Ni Yesu peke yake ambaye hakufanya dhambi misahafu inasema hivyo... wengine wote tunamejawa mapungufu tunahitaji kuvumiliana..
Heshima tunayompa si ya kanisani, ni ya kitaifa zaidi na wala siyo ya kisiasa zaidi. Tunamuenzi kwa kutuunganisha (1) dini zote zilipewa uhuru wa kuabudu hadi kwenye katiba (2) makabila 123 kuwa ndani ya nchi moja (3) nchi mbili Zanzibar na Tanganyika kuwa nchi moja .... mambo hayo bado yapo na tunayona hadi sasa. Tunamuenzi kwa sababu ya mambo hayo na siyo zaidi ya hapo...
  • Suali la Hanga hilo sina ushahidi nalo, nadhani hata wewe huna ushahidi wake pia, si dhani kama mikono ya Nyerere ina damu ya Hanga (Je alikuwa jamaa yako wa karibu? Pole kwa hilo)
  • Kambona? Ni kama Dr Slaa na CCM ya leo, au? Hayo ni mambo ya siasa Faiza yasikuumize roho yako ikakakamaa bure..
  • Idd Amin? Wewe ni Mhaya? Kama siyo basi waulize wa-Haya wakujuze vizuri hisia zao juu ya Idd... Nyerere alifanya kazi nzuri kulinda watu wake. Na hili ni miongoni mwa mambo yanayompa heshima na kuenziwa
  • Biafra ??? Hivi wewe dada Faiza unatafuta mapungufu ya Nyerere hata nje ya mipaka ya nchi yetu? Yaani dunia nzima? Hivi wewe huna kosa hata moja? Hivi wewe hujawahi kufanya zinaa na mwanaume asiye mumeo kweli? Natamani kujuwa dhambi zako...na kama sitazijuwa kuna siku moja zitaanikwa kweupe na hiyo ndiyo siku ya aibu yako...
Kwa ujumla una malalamiko mengi mno hadi yanaonesha kuwa (1) Ulichukizana naye chuki binafsi (2) Chuki inayochochewa na dini ya Islam vs RC (hii ni vita vya zamani sana na wewe utakufa utaviwacha ...) (3) Nyerere aligusa maslahi ya familia yenu kama ya kwangu. Yote hayo nakupa pole, lakini usiruhusu chuki ikae ndani ya moyo wako miaka yote hiyo. Chuki hiyo itakudhuru wewe na wala hutaweza kuzuia Nyerere kutukuzwa na watu wake. Wanamkumbuka, wanamshukuru na wanampenda ... wa-Islam kwa wa-Kristo, wa-Haya kwa wa-Nyakyusa, wa-Pagan kwa wa-Budha.

Mwache Nyerere aitwe baba wa taifa la Tanzania na Tanganyika ikiwemo. Wale msiotaka aitwe hivyo hamtashitakiwa na mna haki hiyo. Wanaotaka kumwita Nyerere baba wa taifa waacheni wafanye hivyo kwa sababu wanazo sababu za kufanya hivyo. Asante kwa kunielewa
 
Nyie wengine hata hawara za mama zenu ambao si baba zenu mnawaita "baba". Wapii na wapi na FaizaFoxy?

Uislaam nnaujuwa sana tena na si kama wewe, nna uhakika huujuwi Uislaam wala Ukristo na umeshushuka, ulifikiri watu humu wanaingia tu kila utalolisema wewe basi ndio hilohilo hata kama sivyo. Huo wakati tumeuwacha kuleeeee. si leo.

Mimi ndio FF na ukija hapa uje kikamilifu na si "kimjingimjingi" utatafuta pakutokea
. Unabaki "faizafoxy" hivi, "faizafoxy" vile. Hoja zimekuishia na jina limekukaa midomoni. Huna zaidi na wala sikushangai.
Na sasa naanza kuelewa eweje wewe faizafoxy licha ya kujifanya una maadili ya Kiislamu huachi kuchangia huko kwenye jukwa la wakubwa. Na kama wasemavyo walokole: ushindwe na ulegee!

Mijisifa ya kihovyooo!
 
Tena nimezibuka kweli kweli na wala usinipime, huwezi kuja tu hapa bila hoja za maana na kuanza "eti" mdogo, wewe umeona la maaana hilo, nnaweza kuwa mdogo ki umri lakini si ki akili kama wewe. Chunga hilo na uje na vitu unavyoweza kuvitetea. FF haburuzwi.
Siku njema, bi mdogo!
 
Sikiliza wewe, kwanini nisimchukie? kuna sababu zozote za kumpenda Rais aliyepoteza watu na hawajulikani walipo?
Kuna sababu za kumpenda Rais aliyedhulumu watu?
Kuna sababu za kumpenda Rais aliyetuwacha maskini. Jibu hoja wacha viroja.

Afadhali amani kuliko vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Watu kama wewe Baba wa Taifa angekuwa ameshawapoteza zamani sana. Mnachezea amani.
Nampenda sana Mwalimu Nyerere sababu alipenda haki kwa wote. He meant well and that is the end of story.
Ata alipoondoka, shilingi yetu ilikuwa na thamani sana, ona madudu yaliyofanywa na mzee Ruksa, Mkapa na JK.
Hawa watatu wangeendelea haki, na kupinga vita vitendo vya rushwa, tungekuwa mbali sana. Tungekuwa na amani yetu na uchumi mzuri.

Nakwa taarifa yako, maisha yalikuwa mazuri tu hadi baada ya vita vya Uganda.
Tena wewe unaonekana ku-side na Idd Amin. You are a sick woman, shame on you!
 
Mtabaki kutukana tu lakini ukweli unawashinda kusema soma hapa:

Hakika mwandishi umenikuna....nakumbuka bibi yangu akinieleza jinsi walivyotupwa vijiji vya ujamaa na kuliwa na simba,ilihali wakiacha utajiri mkubwa eneo waliloondelewa na nyumba za kudumu...only to find that walipopelekwa hakuna hata hema la kulala acha hizo huduma muhimu za kijamii...Nyerere baba wa Taifa...i hate this...i hate the guy...Ni zaidi ya Dictator jamani..period...
Source:
http://www.mjengwablog.com/2011/06/hapa-nyerere-anashambuliwa.html
Mjengwablog ndio mataifa ya kimagharibi sio?
 
Tatizo la akina FaizaFoxy, ritz & co wanafikiria kumuita Nyerere Baba wa Taifa ni sawa na kusema Nyerere alilala na mama zao. Kwa hiyo wanaogopa hiyo na wanaanza kutumia dini kuhalalisha akili zao zilizojaa uozo. Inanshangaza kuona hata Mufti Mkuu hajatoa mwongozo kwa hili lakini vijitu kama FaizaFoxy vyenye kufikiria vinaujua Uislamu zaidi ya Waislamu wengine wote hapa duniani vinang'ang'ania kutupotosha!

Askari Kanzu,
Nikipita kule jukwaa la International nakutana na Copy anad paste zako nikawa nadhani wewe ni mtu Decent kumbe mapuya matupu aisee!

Kweli ukitaka kujua upuuzi na umakini wa mtu akiaongea tu utamjua, wewe nilikuwa sikujui, bahati mbaya thread zako nyingi uwa ni za Copy and Paste..

Ulivyoanza kuwanga mataputapu kwenye hii thread ndio nimekujua vizuri..

The remedy of fire is fire...
 
Askari Kanzu,
Nikipita kule jukwaa la International nakutana na Copy anad paste zako nikawa nadhani wewe ni mtu Decent kumbe mapuya matupu aisee!

Kweli ukitaka kujua upuuzi na umakini wa mtu akiaongea tu utamjua, wewe nilikuwa sikujui, bahati mbaya thread zako nyingi uwa ni za Copy and Paste..

Ulivyoanza kuwanga mataputapu kwenye hii thread ndio nimekujua vizuri..

The remedy of fire is fire...
Mkuu asante kwa "kunijuwa vizuri". Nadhani hapa napo umekutana na copy & paste zangu nyingi tu, au sio?!
 
Hilo la kupotezwa wala hujakosea, huyo ndio Nyerere nimjuwae.

Haki sawa kwa wote wakati wengine kawataifisha wengine kawalipa? unanchekesha.

Soma hapa ujuwe udhalim wa nyerere sina haja ya kuurudia rudia: Hapa Nyerere Anashambuliwa | Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

Nna uhakika hukuwepo wakati wake unajazwa uongo tu, hakuwa na wema wowote.

Nilikuwepo wakati wa nyerere, nilikuwa nimeshaanza shule na kuelewa. Na nilipiga kura wakati wa Mwinyi. Nakumbuka miaka ya sabini ilivyokuwa.
Tena Mwalimu Nyerere angekuwa ameshawataifisha watu kama kina RA zamani.
Nyerere wanted what was best for us.

Ila ngoja nikuache na chuki zako binafsi.
Be careful though: the hate in your heart will consume you too.
 
...Ila ngoja nikuache na chuki zako binafsi.
Be careful though: the hate in your heart will consume you too.
Safi sana, ni afadhali umuache na chuki zake binafsi. Chuki zinamtafuna na mpaka zitammaliza!
 
FaizaFoxy,
Endelea kutoa Darsa...hakuna anaekuweza kwa hoja..
 
Back
Top Bottom