Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

Siasa mbaya sana. Jana nimepita kutoka nzega kwenda Tabora sijaona hata watu wakiwa na majembe wakitengeneza barabara achana na mkandarasi unaemsema. Kutoka Dodoma kwenda Babati ni safari ya hiyo lami imepitia mbinguni au ndo ile barabara tunayohangaika nayo ya kupitia Kondoa. siasa ni noma tunataka vitendo

Mimi nimeweka route hapo juu, Mbeya-Chunya-Tabora, wewe unanambia Nzega Tabora, tutaelewana kweli hapo?

Duhh, barabara ya Dodoma-Babati imesha anza na iko kwenye early stages (mobilization) na kampuni inayojenga barabara hiyo inaitwa Sinohdro Corporation na kwa wanaotaka kazi wapige namba yao hii hapa, juzi waliniambia wanahitaji wafanya kazi: +255757664075

Una lingine zaidi?
 
Mwambie aoe kwanza na apate angalau mtoto mmoja, ndipo tutampatia urais. Hatutaki rais asiye na mke.

Chuki mchukie lakini haki yake apewe! kumbe hilo la kwenda ikulu hadi uwe na mtoto ni pendekezo lako lipeleke iwe mojawapo ya sheria mpya kwenye katiba ijayo maana katiba ya sasa hata Kikwete ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa! wazimu sio lazima ubebe kiroba cha mavi ila hata unapo changia utajidhihirisha uchizi wako;!
 
Kwani yeye ndo analima mashamba. Toa mfano wa alichoharibu na kubomoa

Hana hoja huyo, anabatuka tu. Hata sijui kama anajuwa maana ya kubatuka, maana wengine hapa TZ kiswahili ni lugha ya pili.
 
Gosbertgoodluck

Nyerere - cristian
Mwinyi - muslim
Mkapa - christian
JK - muslim

Nina wasi wasi hio ndio motive ya judgement yako, correct me if I am wrong!
Nyerere amekuza uchumi ???? Ungelisema ameleta uhuru wa Tanganyika, hapo nakubaliana na wewe 100%.Lakini kwa uchumi Nyerere naona umekoboa!

Tanzania imepoteza miaka mingi kuendekeza ushabiki wa Nyerere na ujamaa.Watu wamelala na njaa kwa muda mrefu kufuata Azimio la Arusha....The worst part, he realised that its not working after 22 yrs! A little too late!

Tumeanza safari angalau ya kuuza na kununua mikate wakati wa Mwinyi....Ambapo wewe huoni hili, hivyo hoja yangu ya kuwa motive zako zimeambatana na udini ni ya msingi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Solution ni very simple! Kama una miaka 50 na huna maendeleo unachotakiwa kufanya ni kubadilika kabisa, wako madarakani kwa miaka 50 imewatosha ni wakati wa CHADEMA kutawala, all we need is change, lets change the way we vote
 
kwa kweli inasikitisha, viongozi tunaowachagua hawafikirii maendeleo hata maendeleo ya miaka 50 mbele ya taifa.mambo mengi yanayofanywa yanavurundwa ilimradi tu, mfano, wanan'gangania kujenga shule za kata zenye majengo yenye urefu wa uyoga, hawana waalimu,vitabu,maabara ndiyo kabisaaa,kabla hilo halijakamilishwa,tunaambiwa kilimo kwanza,kwa jembe la kupandia maharage, huo ukwanza utatoka wapi? mbaya zaidi maslahi binafsi na kujaza marafiki wasio na ufanisi kwenye utendeji unaipeleka nchi pabaya.kifupi, hawa mabig potatos wote wamechemka, na huyu wa sasa ndo mamaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wote hapo walikuwa na mapungufu na mazuri pia tukianzia kwa Mwalimu. But huyu wa sasa I don' see any...!!
 
Nyerere - cristian
Mwinyi - muslim
Mkapa - christian
JK - muslim

Nina wasi wasi hio ndio motive ya judgement yako, correct me if I am wrong!
Nyerere amekuza uchumi ???? Ungelisema ameleta uhuru wa Tanganyika, hapo nakubaliana na wewe 100%.Lakini kwa uchumi Nyerere naona umekoboa!

Tanzania imepoteza miaka mingi kuendekeza ushabiki wa Nyerere na ujamaa.Watu wamelala na njaa kwa muda mrefu kufuata Azimio la Arusha....The worst part, he realised that its not working after 22 yrs! A little too late!

Tumeanza safari angalau ya kuuza na kununua mikate wakati wa Mwinyi....Ambapo wewe huoni hili, hivyo hoja yangu ya kuwa motive zako zimeambatana na udini ni ya msingi kabisa.

Umeandika vizuri, lakini umeanza vibaya! Kuna mtu anaamini kwamba dini ndiyo kuwa na uwezo au kutokuwa na uwezo? Mimi naamini kabisa aliyeanzisha mada, hakuwa anafikiria hivyo. Wanaofikiria hivyo ni wale wenye mawazo finyu kama yako!
 
Mkapa and Co. kujigawia mgodi? Kujiuzia nyumba za serikali? Uh, huwezi kumshawishi mtu mwenye akili rational! All amounts to misuse of public office and public coffers! Hapa wote wako kwenye line moja except JKN na AHM kidoogo!

Si ni huyo huyo JK ambaye alikuwa kwenye balaza la mawaziri la Mkapa kwa miaka kumi ndiye aliyesema kuwa Mkapa kajenga msingi yeye kazi yake itakuwa kujenga ukuta. Sasa ukuta umemshinda vipi tena?? Au alifikiri kujenga ukuta ni mchezo?? Atuambie msingi alioukuta ameupeleka wapi??
 
Mkapa and Co. kujigawia mgodi? Kujiuzia nyumba za serikali? Uh, huwezi kumshawishi mtu mwenye akili rational! All amounts to misuse of public office and public coffers! Hapa wote wako kwenye line moja except JKN na AHM kidoogo!

&Mbona Kikwete ana ranch ya kufa mtu hamsemi?
 
Nashangaa huyu mtoa hoja kuona tu kwamba marais waislamu ndiyo wafujaji wasioweza kitu. Uongozi tumpe raisi wetu mpya Prof Lipumba muone utaalam uko wapi ndio mtapenda.

Hapa tunazungumza hoja si udini. Mwinyi na Kikwete ni viongozi dhaifu sana ambao walishawahi kutawala duniani. Lakini udhaifu wao hauna uhusiano na dini zao. Labda kwa vile watu wa Pwani mambo hata serious wanachukulia kishkaji
 
Thread hii haina tija!
Hakuna kiongozi anayefanya mabaya tu, au anafanya mazuri tu...
Hata Bush na Saddam walikuwa na mazuri na mabaya kwa watu wao.

Kila mtu ana strength na weakness zake.
Nyerere alichemsha kwenye uchumi, akajenga utaifa
Mwinyi aka-liberalize uchumi, na ndipo hata watu wakaacha kuvaa matairi
Mkapa akaendeleza nguvu alipoachiwa na mwinyi, akakuza uchumi, wakati huo huo akawaachia wajanja wajitajirishe,
Kikwete, si vizuri kumjaji sasa hivi, to be fair, ngoja tuangalie akimaliza miaka 10 kwenye utawala

LAO.

Hili nalo neno!
 
Nyerere admitted failure. Inequality among its cities, a life of poverty "is the experience of the majority of our citizens," he said. The country was experiencing shortages of cooking oil and gasoline. Hotels in his capital, Dar es Salaam, were falling into disrepair. There had been a movement of people to the big city and in the capital street gangs were coming into existence. Nyerere deplored his country's continued dependence on foreign assistance and its deficit financing. It was Nyerere's socialism that had failed. The nation suffered from a bloated government bureaucracy. Farmers had resisted government policies and the government-created communal villages and farming. In 1983, Nyerere gave up on his socialist dream and declared that the government would again permit private enterprise in farming, including companies investing in private commercial farms. Nyerere agreed to cut government subsidies and to cut state run organizations. Faced with famines and mass starvations, Nyerere resigned in 1985, after twenty-four years as his nation's president. And the new regime that took office began dismantling government controls over the economy.

source: Socialist Experiment in Tanzania: 1961-85
 
Mwinyi faced serious economic problems when he assumed the presidency. The currency was overpriced, and the country's external debt had reached $3 billion. The most basic goods were unavailable in Tanzania's shops. The socialist policies of Nyerere and the CCM, which included widespread nationalization, were generally recognized as unsuccessful. Mwinyi described Tanzania's economic problems of that time by saying that agricultural production was low and farmers could not produce enough food for the country's citizens. The volume of cash crops (tea, coffee, cotton, sisal) was falling each year, resulting in a shortage of foreign exchange. Tanzania was thus forced to import massive amounts of food from abroad at a time when the country had no money to pay for it.
In addition, Tanzania's economic infrastructure had fallen into disrepair: roads had deteriorated, hospitals had no drugs, schools had no books. The external debt was mounting, so Mwinyi sought to reach an agreement with the International Monetary Fund (IMF), with which Tanzania had been negotiating for six years. One of Mwinyi's first actions upon becoming president was to enter into an agreement with the IMF to abandon socialism and remodel the Tanzanian economy along free-market lines. Although opposed by Nyerere and the CCM, the IMF agreement allowed capital to flow, however slowly, into the country.


Read more: Ali Hassan Mwinyi: Biography from Answers.comhttp://www.answers.com/topic/ali-hassan-mwinyi#ixzz1A4p4c4cQ
 
..... Nyerere admitted failure. Inequality among its cities, a life of poverty "is the experience of the majority of our citizens," he said

Umenikumbusha tulipokuwa maUlaya enzi hizoo za Nyerere basi tulikuwa darasani Professa mmoja alikuwa anatufundisha akaanza kuonyesha slides za Tanzania. Yaani ilikuwa aibu fulani hivi, jamaa wamechoka wako kwenye foleni katika moja ya maduka ya RTC Arusha.

Yule Professa alitoa comment ya kejeli kwamba 'unaona Watanzania hawa, hapa wako kwenye foleni na njaa yao lakini bado wana nyuso za furaha'
 
MNAYOZUNGUMZIA NI TANZANIA HII TUNAYOIJUA AU KUNA TANZANIA NYINGINE? Ni wachache wanaofahamu kwamba kabla ya AHM kuingia madarakani hata dawa ya mswaki ilikuwa ni kama kupata kito cha thamani!

Ni ukosefu wa shukrani kujua kwamba kabla ya mzee mwinyi uchumi wa Tanzania ulikuwa ukikua kwa 0.2 kwa mwaka!! Huo ndio uchumi aliouacha baba wa taifa!!! Je kama hakukuwa na chochote kodi zingelikusanywa kutoka kwenye hamna? na AHM alipotoka madarakani aliacha uchumi ukikua kwa takriban asilimia 3.0 na vitu ambavyo sababu za kukusanya kodi vilikuwa vinaingia bandarini na maduka yakijaa. (hakukuwa tena na sukari ya mgao na hali ya usafiri angalau ilikuwa imeanza kuboreka.)

Wapo wanaosema alikataa kukusanya kodi haiingii akilini kwamba angeliweza kukusanya kodi ambayo haipo! (hapa kuna maneno mengi sana yanasemwa lakini yanatokana na aidha ubishi! ukosefu wa shukrani ama agenda binafsi) Wengi wanasahau kwamba mipaka ilikuwa imefungwa na nchi ilikuwa taabani kiuchumi, AHM ndiye aliefungua milango ya uchumi wa nchi hii basi japo wengi hatumpendi basi na tuwe wakweli kwa baadhi ya mema yako.

Je tumeshasahau pia kwamba ni yeye huyohuyo aliyeridisha uhuru wa vyombo vya habari?
 
Umeandika vizuri, lakini umeanza vibaya! Kuna mtu anaamini kwamba dini ndiyo kuwa na uwezo au kutokuwa na uwezo? Mimi naamini kabisa aliyeanzisha mada, hakuwa anafikiria hivyo. Wanaofikiria hivyo ni wale wenye mawazo finyu kama yako!
Inawezekana ulivyofikiri kuwa kusudio la mtoa mada ukawa sahihi lakini pia ukitazama kidogo tu wala huhitaji kujua kusudio la mtoa mada bali somo lake!!! yaliyopigiwa mstari: Ndio mpaka leo hii wapo WADANGANYIKA WENYE MAWAZO NA FIKRA HIZO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom