Dkt Sule: Baba yangu alifungwa kwa kuwa na colgate

Dkt Sule: Baba yangu alifungwa kwa kuwa na colgate

Alafu shehe wamgu hakuna dawa ya mswaki humu duniani. Kuna dawa ya meno.😀😃😄😁😆😅
Shehe na elimu dunia wapi na wapi.Hapo alichoongea Misikitini utasikia wanampongeza kwa takbiriiiiii kuwa katoa bonge la hoja kuongelea dawa ya mswaki

Utasikii shehe kasoma sana huyu anajua mambo huyo takbiriiiii
 
Sasa tujadili nini? Yeye kaketa mada ya dawa ya mswaki inayoitwa Colgate. Hakuna dawa ya mswaki inaitwa Colgate.Mswaki haujawahi umwa wala kuwa ukiumwa unahitaji dawa ya Colgate kuutibu
Kuna mtama unaokatwa viwanja vya mpira?

Jadili dhiki za wakati wa Nyerere, kama huzijuwi uliza uhadithiwe.
 
Kwenye utawala wa Nyerere kulikuwa na magumu mengi sababu ya vita vya ukombozi kusini mwa bara la Afrika. Wakati Tanzania ilikuwa ikisaidia nchi za kusini(Zimbabwe, Afrika ya kusini, Namibia, Msumbiji, Angola), kujikomboa dhidi ya utawala wa Makaburu wa Afrika kusini. Makaburu hawa walisaidiwa na nchi za Magharibi. Kenya ndio ilikuwa kitovu cha nchi za Magharibi(especially UK&US) . Na Utawala wa Arap Moi ulifanya biashara na Makaburu. To cut story shot. Wakati wanajeshi wetu wakipambana kwa jasho na damu bega kwa bega na vikosi vya ukombozi kusini mwa Afrika, Kenya ilikuwa ikishirikiana na Makaburu kiuchumi. Hii ndio sababu ya vikwazo vya bidhaa za Kenya kuingia, Tanzania. Na kosa lilikuwa ni uhujumu uchumi. Kuna mengi yalijificha nyuma ya pazia Kati utawala wa Nyerere na Kenya. Kwa hiyo suala hapa halikuwa matumizi ya bidhaa kama Colgate, Blue band, Imperial leather, Omo na n. k. kutoka Kenya, Issue ilikuwa tulikuwa kwenye mgogoro na nchi za Magharibi (Vikwazo), wakiitumia Kenya kama kibaraka wao. Tanzania mpaka Sasa inaheshimu kubwa kwenye nchi za SADC kuliko nchi za East Africa. 🤔
 
Back
Top Bottom