Nyerere alimkosea nini Mungu?

Nyerere alimkosea nini Mungu?

mleta mada alikuwa ana mix vitu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ye mwamba ndumbayeye bila shaka ukweli tunaujua! Bila ya uchina, cuba, na hata Mozambique tusingeshinda Vita.
Kwa mujibu wa mashuhuda mwaka 1978 tz tulikwa dhooful hali kwa kipigo kutok ug. Ni mungu alowaleta wacuba, wachina, na Mozambique kutuokoa..
Sio lazima uzungumziapo uzalendo useme uongo wA kuonekaneka ulikwa shujaa ever happen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wait a minute..
Mandela huyu huyu tunaemjua? Mandela huyu mwanzilishi wa ANC na mfuasi wa itikadi za Mwl. Nyerere? Are you talking the same Mandela aliyekimbilia Tanzania na kupewa hifadhi na mwl. Nyerere na kusaidiwa fedha, chakula na malazi? na unamzungumzia Nyerere aliyekuwa anaamua nani awe Rais kwa ukanda wote wa kusini mwa jangwa la sahara...kama leo Marekani inavyofanya! Really? btw, umeshasoma report za Henry Kissinger kumhusu Mwl.Nyerere in 1976? Mandela did great things, ila kumlinganisha na mwl. JKN is another contempt...
I respect your analysis, Ila nashauri ukasome kwa undani wasifu wa hao jamaa...
Prof umepotea sana.
Nakusalimia bosi

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mandela hajawahi wala hawezi kumkaribia Nyerere ni promo za wazungu hivi ulishawahi kusikia ni rais gani mstaafu ambaye anafikiliwa kutangazwa mwenye heri hayo mengine ni mambo ya kufukirika
Kwani Mandela alikuwa ni mkatoliki? Au hata waislamu Vaticano huwatangaza wenye heri?
 
Nyerere ni failure alieifanya na nchi hii ikafeli,,hio heshima ni kwa sababu alitekeleza Mambo ya wazungu,,maswali ya kujiuliza
1.kwa nini ujamaa(mfumo) ulifeli?
2.Kifo cha moringe sokoine kilitoka kwa Mungu au ulikuwa mpango?
3.je Tanzania kwa sasa ina mfumo gani wa Kiuchumi?? Kwa nini?

Ww dingii Ndo huna akili kuliko wapumbavu wote!!
Kama hujui kitu uliza kuliko accusations za kijinga na kubwa bila point zinazoeleweka
 
Nyerere si alisaidiwa na Jeshi la Mzungu asipinduliwe mwaka 1964?

Mzungu aliamua tu kutupa uhuru kwa hiyari alikuwa anasubiri tu watu wenye akili wakauombe awape
Mkuu sidhani kama wanajua hili inaonekana wanahistoria ya shule tu halafu wamekua wakali mno na kutoleana matusi
 
Sasa dingii labda ungenielewesha hizo accusation zangu za kijinga,,,maana mjinga ni mtu asiejua kitu kabisa,,,pia hujawa na tusi specific,,ungeniweka kwenye category moja maana mtu hawezi kuwa mpumbavu na mjinga kwa pamoja,,labda kama KISWAHILI secondary ulipata F.
Ww dingii Ndo huna akili kuliko wapumbavu wote!!
Kama hujui kitu uliza kuliko accusations za kijinga na kubwa bila point zinazoeleweka
 
CIA walideclasfy information zao za siri wakasema walikuwa concerned na nani atakaerithi madaraka baada ya nyerere.Hizi information tena kisehemu wamezideclasify si chini ya mwaka 2017.

Swali langu linakuja,,kama walikuwa concerned na mrithi wa nyerere kwa nini moringe aliekuwa mtu sahihi wa kuchukua madaraka alikufa??
Je wa CIA wana mkono katika kifo cha moringe??
Je waliwatumia kina nani kumuua?

Je hatuoni baada ya kufa moringe na ujamaa ulikufa? Ambalo ndio walilitaka hawa wazungu, tuendelee kuwa sehemu ya raw material rahisi,,vibarua rahisi na soko rahisi.

Nchi hii ilihitaji mjamaa asie na dini,,asie na hisia tungekuwa tumepiga hatua,,mfano mao,stelin na wajamaa wengine,,Mwalimu nyerere alikuwa kama mchungaji au padri akijaribu mfumo mzuri asiouweza.
 
Mwenye heri ndo nini ? Tangu lini wazungu walimpenda Mandela?

Sent using Jamii Forums mobile app
Walimpenda ndo maana miaka 27 alikuwa anakunywa wine tu jela akinegotiate na wazungu wampe nchi,swala la ubaguzi na uporaji ardhi mandela ameshindwa kulitatua km alivyoahid.Watu wenye misimamo km wakina C.Hani nadhani umeona mwisho wao.
 
Nyerere kaondoka Duniani akiwa kaacha heshima kubwa mno kimataifa.
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa hawaachi kumtaja huyu Mzee kila mara kwenye kampeni au hotuba zao.

Alimshauri rafiki yake mkubwa hayati Nicolai Cesesscue enzi za uhai wake akiwa Rais wa Romania aachie ngazi ili kulinda heshima yake ,Nicolai hakusikia matokeo akaja kuuawa kikatili yeye na mkewe.

Alimshauri Kaunda wa Zambia naye hakusikia, "mzee mwenzangu waachie Vijana ulinde heshima yako ".

Kaunda akapuuza ushauri wa Nyerere matokeo yake akaja kuondoka Kwa aibu ya kushindwa uchaguzi, badala ya kustaafu, yaani Rais wa kwanza wa nchi unagombea tena, what a shame?

Heshima ya Nyerere Kwa Africa inazidiwa na Mandela tu, ukimtoa Mandela hakuna Rais tena wa kufananishwa na Nyerere ktk bara la Africa.

Kwanza alikuwa akiaanza kuongea unatamani uendelee kumsikiliza tu muda wote hata Kama ulikuwa na stress Ukisikiliza hotuba za Nyerere stress zinapungua.

Ukombozi wa mataifa ya kusini mwa Africa huwezi kuujadili bila kumjadili Nyerere ambaye ndo alikuwa key point ya Ukombozi Huo.

Ni katika Kipindi cha Urais wake Tanzania iliheshimiwa na hata kuogopwa na mataifa makubwa Duniani.

Pamoja na matatizo ya hapa na pale, lakini enzi zake uchumi wa Tanzania ulikuwa juu, pesa ilikuwa na thamani kubwa, noti ya mwisho Kwa thamani kubwa ilikuwa noti ya sh 100.

Elimu ilikuwa juu, siyo kama leo hii ambapo hata kiswahili tu kinawapa shida hata wahitimu wa vyuo vikuu, neno "hela " wanatamka "ela" neno "halafu "wanatamka "alafu " eti hao ni university graduates, kwenye English ndo unaweza hata kulia Kwa namna wanavyoboronga.

Enzi zake hata intelligence ya nchi ilitisha, TISS ya Nyerere haikuwa tofauti na CIA hutaki kuamini acha.

Wakati wa vita vya Kagera, TISS ilimzunguka Idd Amin Spain, alikuwa ameagiza makombora ya kisasa yenye nguvu lakini akajikuta anayakosa na yakaangukia mikononi mwa Tanzania.

Hatukuwa na silaha Kali Kama za Idd Amin, lakini tulikuwa na intelligence imara mno, hii ndo ilifanya tushinde vita bila msaada wa nchi yoyote, Idd Amin pamoja na kusaidiwa na Gaddafi bado tuliweza kumtwanga hadi akaikimbia Uganda.
Inahitaji Kitabu kuandika mambo mazito aliyofanya Nyerere.

Lakini alimkosea nini Mungu huyu mzee?
Mwandishi Munga Tehenani (RIP) aliandika Kitabu kiitwacho "Nyerere alikuwa mchawi ".
Kitabu hiki hakikukaa mitaani hata siku tatu kikawa kimepotea kimaajabu, ilikuwa ni kati ya mwaka 2001 au 2003.

Inadaiwa aliingia maagano na kuzimu na fimbo yake ndo ilikuwa muongozo wa mambo yake yote.

Maagano yoyote ya nguvu za giza humkasirisha Mungu na kukilaani kizazi cha mtu aliyeingia maagano hayo.

Mungu hulaani kuanzia watoto na hata vitukuu na vilembwe na hata kizazi cha nne.

Familia ya Rais Kennedy wa US aliyepigwa risasi mwaka 1963 imepukutika yote Kwa vifo vya ajali na kuuawa, hakuna alama yoyote ya Kennedy Marekani, yamebakia majina tu.

Nikiitazama Kwa jicho la tatu familia ya Nyerere haiko sawa, imefunikwa na giza nene, haing'ai, haionekani, it looks like Nyerere left no children to walk his ways,haya ni mambo ya Ulimwengu wa roho.

Hata ukuu wa wilaya tu imekuwa ishu? wanapata watu ambao wanaonea wivu wenzao wanaoinuliwa na Mungu, yaani mtu anataka ampangie hadi Mungu kwamba fulani anapaswa kuwa maarufu na mwingine hatakiwi.

Matendo yetu yawe mema au mabaya yana reflect maisha yetu ya baadaye.
Tuwe makini sana na tujae hofu ya Mungu .

cc:mshana jr

Makala ijayo😀ini ni Ugonjwa wa akili

Sent using Jamii Forums mobile app

Mandela hakuwa tayari kufa kwa ajili ya waafrika wenzake

Mandela aliuza nchi,Mandela aliwasaliti wasauzi japo amevaa Ngozi ya kondoo na kuonekana malaika mbele ya Wasauzi

Mandela alianza harakati za kupigania kile kilichojulikana kamaa

APATHEID POLICY yaani Ubaguzi wa Rangi Afrika Kusini mwaka 1950s taratibu sanaa

lakini hakuchukua mda sana mwaka 1963 alikamatwa na historia yake kufutwa kwa mda maana alikaa Jela miaka 27

Kitu ambacho kilionekana alikuwa anaandaliwa na Wazungu kuchukua Madaraka.

Mandela anatoka Jela anaonekana mkombozi wakati siyo kweli bali aliandaliwa kuwa Rais wa nchi hiyoo....
sasa anakaa miaka 27 ndani

Huo ubaguzi ameushinda lini

wakati mpaka leo ni 10% ya aridhi iko chini ya watu weusi na 90% iko chini wazunguu...!!

Sharpville Massacre inatokea mandela hayupoo

Soweto massacre inatokea mandela hayupo

harakati nyingi zinafanyikaa Afrika kusini Mandela hayupo yeye yupo Ndani yaani jamaa alikaa miaka 27 jelaa....
alikuwa anafanya nn mda wote huo jelaa?.

Mandela aliuza nchi wazi wazi...!!

Ni wapambe watakaomsifiaa lakini mandela amewaachiaa Wasauzi mzigo mzito ambao mpaka leo unawatesa vibayaa mnoo.
 
Nyerere hata siku moja atafanana na mandela! Ukitaka kujua ukweli muulize Robbert Mugabe. Nyerere ni kinara wa ukombozi wa Africa mpk akaisahau nchi yake mwenyewe. Mandela kasaidiwa na Nyerere pakubwa lkn alitoka jela tayari akiwa amekuwa recruited na wazungu kwa masharti ya kulinda mali na ardhi waliyo ipora. Asinge kubali matakwa ya wazungu asingetoka wangemmaliza kama walivyo waua wengi. Nasikitika mwandishi unalinganisha nyerere na Mandela ambaye nchi yake ni kama ya mwisho kupata uhuru kwa nchi za SADC.
 
Duh...? Sijui hata mmesoma shule gani nyie watu,unao ushahidi wa mkataba kati ya Mandela na wazungu ili wamtoe jela kisha alinde mali zao? Weka ushahidi mkuu.
Tanzania wakati wa Nyerere ilikuwa kituo kikuu cha wanaharakati wa kusini na mwa Africa na Dunia pia,ndo maana hata Che Guevera alikuja kwa siri Dar akakaa karibia mwezi kabla hajauawa na majasusi wa CIA Bolivia.
Huwezi kumsifia Nyerere kisha ukawadharau kina Mandela waliokuwa frontline wakati Nyerere akila mayai ikulu,kitendo cha kumdharau Mandela shujaa wa Africa kinadhihirisha jinsi Elimu ya Tanzania ilivyokufa
 
Mandela hakuwa tayari kufa kwa ajili ya waafrika wenzake

Mandela aliuza nchi,Mandela aliwasaliti wasauzi japo amevaa Ngozi ya kondoo na kuonekana malaika mbele ya Wasauzi

Mandela alianza harakati za kupigania kile kilichojulikana kamaa

APATHEID POLICY yaani Ubaguzi wa Rangi Afrika Kusini mwaka 1950s taratibu sanaa

lakini hakuchukua mda sana mwaka 1963 alikamatwa na historia yake kufutwa kwa mda maana alikaa Jela miaka 27

Kitu ambacho kilionekana alikuwa anaandaliwa na Wazungu kuchukua Madaraka.

Mandela anatoka Jela anaonekana mkombozi wakati siyo kweli bali aliandaliwa kuwa Rais wa nchi hiyoo....
sasa anakaa miaka 27 ndani

Huo ubaguzi ameushinda lini

wakati mpaka leo ni 10% ya aridhi iko chini ya watu weusi na 90% iko chini wazunguu...!!

Sharpville Massacre inatokea mandela hayupoo

Soweto massacre inatokea mandela hayupo

harakati nyingi zinafanyikaa Afrika kusini Mandela hayupo yeye yupo Ndani yaani jamaa alikaa miaka 27 jelaa....
alikuwa anafanya nn mda wote huo jelaa?.

Mandela aliuza nchi wazi wazi...!!

Ni wapambe watakaomsifiaa lakini mandela amewaachiaa Wasauzi mzigo mzito ambao mpaka leo unawatesa vibayaa mnoo.
Kuna mtu alinisihi sana nisiwajibu ila uvumilivu unanishinda ,hapa umeandika na kuonyesha uwezo wako wote wa akili ,hongera kwa kuwa na uwezo huo wa akili
 
Back
Top Bottom