Nyerere alimkosea nini Mungu?

Nyerere alimkosea nini Mungu?

Mzee Mengi kachukua/kapora kipi cha watu mkuu ?!

...asked out of curiosity !
Kuanzia kina
Mengi
Mo
Bakhersa
Etc
Wote Utajiri wao c wa uhalali.

Ahh huwa wanafanya kumiliki Cha Mtu/Watu.
wanaweza kufanya kupitia chakula au mikutano na ikiwezekana hata bidhaa zao Wana zinenea/kunuizia!
na kubwa zaidi kupitia misaada Yao.

Katika watu ambao wamejaliwa kuwa na taranta na Nyota nyingi Ni Walemavu. (Sitotia neno)

Rejea kauli ya Mo baada ya kusimangwa kuwa kwann haudhurii misiba..Kuna kauli aliitoa japo watu wakadhani Ni Mambo ya mpira..
 
Mambo siyo Shwari kabisa.
Nafsi za watanzania/Watanganyika wengi zinalia na Zina huzuni Sanaa.

Rais wa Nchi huwa anakuwa na uhalali na Taifa na wananchi wake.
kinachofanyika Raia wengi wa Nchi za kiafrika huwa wanauzwa na viongozi wao (Spirituality)

Na ndiyo maana Mambo hayaendi na ikatokea mtu aliyeuzwa akafariki Basi nafsi Yake huwa na uchungu na kisasi kikuu mnoo.

na yule mtu ambaye anauza wenzake akifariki,basi kwa kipimo kile kile atateseka Mara 100.

kuna watu Kama kina Mengi wamechukua vya Watu Sanaa (Spirituality)
Leo hii wakifa wanaonekana wa thamani,machoni pa watu lakini (Spirituality) huwa si kitu na uwa na dhiki kuu!!!
Mkuu hebu endelea kutoa ufafanuzi kidogo kuchukua vya watu spiritually kiaje? maana kumbuka amesaidia watu sasa unaposema tulimuona mwema machoni labda ungesema alikuwa akifanya hivi na hivi mimi shahidi mfn labda tulienda wote mahala flani au nilimuona kwa macho yangu pale au nilimpelekea hiki .................lakini si kumdhania, kumdhania mtu vibaya pia ni dhambi au ukapewa taarifa na mtu mwingine taarifa za third party mara nyingi nazo huwa zina chumvi nyingiii isiyo na kipimo
 
mkuu kauli gan MO aliitoa?
Kuanzia kina
Mengi
Mo
Bakhersa
Etc
Wote Utajiri wao c wa uhalali.

Ahh huwa wanafanya kumiliki Cha Mtu/Watu.
wanaweza kufanya kupitia chakula au mikutano na ikiwezekana hata bidhaa zao Wana zinenea/kunuizia!
na kubwa zaidi kupitia misaada Yao.

Katika watu ambao wamejaliwa kuwa na taranta na Nyota nyingi Ni Walemavu. (Sitotia neno)

Rejea kauli ya Mo baada ya kusimangwa kuwa kwann haudhurii misiba..Kuna kauli aliitoa japo watu wakadhani Ni Mambo ya mpira..
 
Mkuu hebu endelea kutoa ufafanuzi kidogo kuchukua vya watu spiritually kiaje? maana kumbuka amesaidia watu sasa unaposema tulimuona mwema machoni labda ungesema alikuwa akifanya hivi na hivi mimi shahidi mfn labda tulienda wote mahala flani au nilimuona kwa macho yangu pale au nilimpelekea hiki .................lakini si kumdhania, kumdhania mtu vibaya pia ni dhambi au ukapewa taarifa na mtu mwingine taarifa za third party mara nyingi nazo huwa zina chumvi nyingiii isiyo na kipimo
Kuanzia kina
Mengi
Mo
Bakhersa
Etc
Wote Utajiri wao c wa uhalali.

Ahh huwa wanafanya kumiliki Cha Mtu/Watu.
wanaweza kufanya kupitia chakula au mikutano na ikiwezekana hata bidhaa zao Wana zinenea/kunuizia!
na kubwa zaidi kupitia misaada Yao.

Katika watu ambao wamejaliwa kuwa na taranta na Nyota nyingi Ni Walemavu. (Sitotia neno)

Rejea kauli ya Mo baada ya kusimangwa kuwa kwann haudhurii misiba..Kuna kauli aliitoa japo watu wakadhani Ni Mambo ya mpira.

NB:Naongea kitu,Nina UHAKIKA NA USHAHIDI NACHO
 
mkuu kauli gan MO aliitoa?
IPO Humu.
Kuna kauli aliitoa Mo wakati wa msiba wa MENGI.
Kuna baadhi ya Maneno alisema
"SI kila anayekuletea msaada ana UPENDO na. wewe wengine wapo,kimanufaa yao"

Kuna watu walidhani anaiongelea Simba LAKINI lilikuwa Ni fumbo.

Mengi kachukua vya Walemavu wengi Sanaa (Spirituality)
 
Nyerere kaondoka Duniani akiwa kaacha heshima kubwa mno kimataifa.
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa hawaachi kumtaja huyu Mzee kila mara kwenye kampeni au hotuba zao.

Alimshauri rafiki yake mkubwa hayati Nicolai Cesesscue enzi za uhai wake akiwa Rais wa Romania aachie ngazi ili kulinda heshima yake ,Nicolai hakusikia matokeo akaja kuuawa kikatili yeye na mkewe.

Alimshauri Kaunda wa Zambia naye hakusikia, "mzee mwenzangu waachie Vijana ulinde heshima yako ".

Kaunda akapuuza ushauri wa Nyerere matokeo yake akaja kuondoka Kwa aibu ya kushindwa uchaguzi, badala ya kustaafu, yaani Rais wa kwanza wa nchi unagombea tena, what a shame?

Heshima ya Nyerere Kwa Africa inazidiwa na Mandela tu, ukimtoa Mandela hakuna Rais tena wa kufananishwa na Nyerere ktk bara la Africa.

Kwanza alikuwa akiaanza kuongea unatamani uendelee kumsikiliza tu muda wote hata Kama ulikuwa na stress Ukisikiliza hotuba za Nyerere stress zinapungua.

Ukombozi wa mataifa ya kusini mwa Africa huwezi kuujadili bila kumjadili Nyerere ambaye ndo alikuwa key point ya Ukombozi Huo.

Ni katika Kipindi cha Urais wake Tanzania iliheshimiwa na hata kuogopwa na mataifa makubwa Duniani.

Pamoja na matatizo ya hapa na pale, lakini enzi zake uchumi wa Tanzania ulikuwa juu, pesa ilikuwa na thamani kubwa, noti ya mwisho Kwa thamani kubwa ilikuwa noti ya sh 100.

Elimu ilikuwa juu, siyo kama leo hii ambapo hata kiswahili tu kinawapa shida hata wahitimu wa vyuo vikuu, neno "hela " wanatamka "ela" neno "halafu "wanatamka "alafu " eti hao ni university graduates, kwenye English ndo unaweza hata kulia Kwa namna wanavyoboronga.

Enzi zake hata intelligence ya nchi ilitisha, TISS ya Nyerere haikuwa tofauti na CIA hutaki kuamini acha.

Wakati wa vita vya Kagera, TISS ilimzunguka Idd Amin Spain, alikuwa ameagiza makombora ya kisasa yenye nguvu lakini akajikuta anayakosa na yakaangukia mikononi mwa Tanzania.

Hatukuwa na silaha Kali Kama za Idd Amin, lakini tulikuwa na intelligence imara mno, hii ndo ilifanya tushinde vita bila msaada wa nchi yoyote, Idd Amin pamoja na kusaidiwa na Gaddafi bado tuliweza kumtwanga hadi akaikimbia Uganda.
Inahitaji Kitabu kuandika mambo mazito aliyofanya Nyerere.

Lakini alimkosea nini Mungu huyu mzee?
Mwandishi Munga Tehenani (RIP) aliandika Kitabu kiitwacho "Nyerere alikuwa mchawi ".
Kitabu hiki hakikukaa mitaani hata siku tatu kikawa kimepotea kimaajabu, ilikuwa ni kati ya mwaka 2001 au 2003.

Inadaiwa aliingia maagano na kuzimu na fimbo yake ndo ilikuwa muongozo wa mambo yake yote.

Maagano yoyote ya nguvu za giza humkasirisha Mungu na kukilaani kizazi cha mtu aliyeingia maagano hayo.

Mungu hulaani kuanzia watoto na hata vitukuu na vilembwe na hata kizazi cha nne.

Familia ya Rais Kennedy wa US aliyepigwa risasi mwaka 1963 imepukutika yote Kwa vifo vya ajali na kuuawa, hakuna alama yoyote ya Kennedy Marekani, yamebakia majina tu.

Nikiitazama Kwa jicho la tatu familia ya Nyerere haiko sawa, imefunikwa na giza nene, haing'ai, haionekani, it looks like Nyerere left no children to walk his ways,haya ni mambo ya Ulimwengu wa roho.

Hata ukuu wa wilaya tu imekuwa ishu? wanapata watu ambao wanaonea wivu wenzao wanaoinuliwa na Mungu, yaani mtu anataka ampangie hadi Mungu kwamba fulani anapaswa kuwa maarufu na mwingine hatakiwi.

Matendo yetu yawe mema au mabaya yana reflect maisha yetu ya baadaye.
Tuwe makini sana na tujae hofu ya Mungu .

cc:mshana jr

Makala ijayo😀ini ni Ugonjwa wa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
nenda usome upya historia ya vita ya kagera sio unakuja humu na uongo
1.vita ya kagera tanzania ilisaidiwa na nchi za nje
2.moja ya sababu tulishinda vita ile ni kwamba jet fighter za idd amin zililipuliwa zote na israel walipovamia uganda,bila hivo vita isingeshindikana upande wa ug
3. idd amin hakuivamia tanzania, ni tanzania iliyovamia uganda, nyerere aliwapa silaha na makazi waasi kutoka ug ambao baadae walienda kumvamia amin,amin aka respond,soma historia vizuri nenda hata youtube utafute enterview za amin sio unaleta humu stori za vijiwe vya kahawa
 
IPO Humu.
Kuna kauli aliitoa Mo wakati wa msiba wa MENGI.
Kuna baadhi ya Maneno alisema
"SI kila anayekuletea msaada ana UPENDO na. wewe wengine wapo,kimanufaa yao"

Kuna watu walidhani anaiongelea Simba LAKINI lilikuwa Ni fumbo.

Mengi kachukua vya Walemavu wengi Sanaa (Spirituality)
acheni kuchafua legacy za watu
hao walemavu ni masikini wa kutupwa,hawana kitu,mengi kawachukulia nini sasa, unaweza muibia nguo aliye uchi ?
binadamu mna nini nyie ? ila sikushangai maana hata yesu kuna watu wanamdhihaki eti alilala na mama yake, binadamu aisee
 
Lakn hoja ya ushirikina na uzandiki uliofanyika kipindi nchi inasimika miziz kama taifa nadhni nikitu kinacholitesa hili taifa lisipige hatua kwa kasi inayoitajika Malango ya taifa ili ilibidi siku ile ya uhuru iwe ni malango ya uhusiano wa watu wa taifa hili na Mungu lakini inaonekana malango tuliyoyafungua na kuingia nayo mikataba yalikuwa siyo malango ya Mungu bali Miungu Mingine ndiyo maana maendeleo yetu na kukua kama taifa kutaendelea kuzorota sanaa...Tunaitaji kulifungua tena taifa na kufunga Malango ya Mungu aliye hai.
 
Sipingani na swala la nchi kufanyiwa sadaka mbalimbali za matambiko LAKINI huwezi kunambia Tanzania ndo bingwa wa Matambiko kuna watu wanaweza kulizidi bara la Asia kwa matambiko?

Hata nchi za ulaya wana matambiko yao tena mengine ni ya hadhi ya juu wala hatuyawezi, kuna nchi hata Raisi wao mwenyewe anamdhihaki Mungu kwenye halaiki na bado tu unawaona wapo,

yani tusibebeshe lawama kwa mtu mwingine ikiwa sisi tunashindwa kuwajibika kwa nafasi zetu,

Matambiko yamefanyika hata kwenye koo zetu tuwatukane basi Mababu zetu kama ndo tunaenda kwa mtindo huo

Ni koo chache sana kwa afrika uniambie zimekuzwa bila tambiko . Dini zenyewe zimeshamiri miaka ya 1950 japo zilishaanza kabla tena baadhi ya sehemu ya nchi.
 
Hivi Muhunda bado unaishi ndani ya kile kibabu pale Butiama??

Nchi hii ina malango mengi sana ya Kuzimu, na Mzee ndiye aliyaruhusu kuwepo sababu ya kuamini sana katika ushirikina.
Kuna taarifa kuwa huwenda walimchomoamo mapema tu kabla hata hajafa.

Mengine ni siri ya Taifa.
Ila wabongo kwa kuchonga na kupiga domo ni balaa.

Mimi ni Mzanaki. Muhunda ulikuwa ni muungu ( mzimu ) kwa imani za kale uliokuwa unaabudiwa na wazanaki kabla ya ujio wa wakoloni.

Na hii haikuwa kwa wazanaki tu. Jamii zote zikikuwa na miungu yao. Na kumbukeni Nyerere alikuwa ni mtoto wa chief.

Tatizo la kizazi cha sasa kinachukulia kama vile Nyerere amezaliwa juzi tu hapa.
 
Watoto wa Nyerere hawana shida mnazo dhania ni ufahari.

Siasa ni shida kijana usione mtu yuko jukwaani.sijui UNO.Mara AU ana bwabwaja ukaona hewala. hawalali wale...ooohooo!!!

Mkituona tunapita na ulinzi mkaliii mnafurahia mnatamaniiii.sometimes wengine wanasema tunalinga.kujisikia nk.

Sometimes baada ya kupiga domo jukwaani Unaweza ambiwa usirudi huku. kaa hukohuko!! Km yaliyompata Nkurunzinza.. Obote nk

Sasa shida zoote hizi za nini hizi wkt nakula bure ,safari.heshima bure??

Zawadi na Ubora wa Nyerere.
kipaji.
uwezo.
maarifa.j
juhudi zinaweza tokea hata kizazi cha saba mbele huko..

Hawa wa sasa ni mayai mayai japo wanajitahidi sana.km Makongoro.fatma. Mwinyi mdogo nk muwaache!!ndiyo.

tuliwahi sema huko nyuma siasa mchezo mchafu tena mnooo!!!

Kipaji cha Babako kinaweza kisiwe chako au ukawa nacho pia.
omba Mungu akufunulie chako cha tofauti. Siyo muwe na mwendelezo huo tuuuuu.wote!!

Mleta mada usikariri. MWana marundi yuko wapi? kipaji chake alikufa nacho!!
Nani walirithi vipaji vya hawa wafuatao??.
Milambo Tabora.
Mkwawa, Iringa
Mangi sina wa Moshi
unawajua??

Elewa tu kipaji hakirithiwi, kinagunduliwa, waroto wa Nyerere ni wala mayai tangu kuzaliwa unataka wapigike kisiasa ?

Umaarufu wa siasa unagusa maisha ya watu. kuna hati hati nyingi sana. Ufe au upone!! Yaani unacheza na hatari.Kukimbia kimbia km Mbowe.

Sasa unakula bure mpaka kufa nika. Hatarishe maisha yangu kwa nini??

Siasa Duniani kote. ni mchezo hatari mno. km huamini muulize Lisu! Yaani Mpaka leo anachakaa bila kupigwa na jua.

Nyerere kapitia hatari ngapi mpaka leo mnamsifu kirahisi ivo.
km baba mwenye mapenzi atakubali mwanae acheze na hatari??

Wanae wanajua walivokuwa Matumbo joto kwa wkt mgumu wa kutaka kupinduliwa baba yao tena mara nyingi tu.leo wafanye hayo hayo??

Kwanza wamekuliamo hawaoni ni issue kiviile! Ila wewe...
Yaani waingie tu kichwa kichwa sababu ya kuendeleza historia wanayo ijua vyema??

Zanga Mobutu yuko wapi si kakimbia yule!! Kaacha mshahara.
Haile selasie watoto wote waliuawa tena Ndani ya London.kizazi kilifutwa kile.kiranga cha siasa.

Indira Gandhi huyu ni futa kabisa kizazi hicho.kamebakia katoto kajukuu. ka Rajivu Gadhi nako kanaogopa kuuawa na Masingasinga km kakithubutu kufanya siasa.

Wezi kaunda mjeda huyu: alikuja juu kisiasa mbona walimzima faster tu. Hata maji hakuomba.yuko wapiii kafa kitambooo! Alizaliwa ikulu akasomea nje shule classic.

Namibia wamemjengea kaunda nyumba bure na familia yake si angekaa huyu marehemu akala bata?

Ambitions za baba siyo zangu, mie ni mzee wa bata tu. Baba aliniandalie nife vizuri ..then nikajiue live??

Vitaibuka vitukuu huko mbele! vitafanya siasa.
mie zangu bata!! bata na mimi.

Bado watawala wa sasa wanatuheshimu Maisha yangu yote.then nikasotee siasa?? unaumwa wewe???

ukitaka somea mengine kabisa!! Hawa watoto wakienda nchi yeyote ya SADACC wanapewa kipaumbele sana. Hata tender ya kuuzia nchi husika siraha halali.

Museveni huyo hapo anamtunza Mama si kawaida na Marais weeengi wengine wanaheshimu familia yangu ajili ya Baba yangu.

Halafu km haitoshi nikajitoe sadaka kwa wachamba wima mweeee!!
Mwitongo patatunzwa na nani?

Leo Mwitongo ni mahala pa kumbukumbu kwa sababu tupo sisi vijana wa nyerere tuna toa miongozo ya kupatunza ili mje na wwngine waje.

Hii ikiwa ni pamoja na kutunza afya ya Mama.

Maana yangu ni kuwa Mama anajua hatari za Siasa kwanini nimuue mapema Mama yangu kipenzi ajili ya pressure za siasa weee!!

Mleta mada hujui uchungu wa Mama weye??? Fikiria Mama yake Binti F karume, au Lisu kwa yaliyo mpata mwanae!!! km hakuharisha, Bp yule bahati....

Sasa huyo ni ***** Lisu.Maria nyerere ameiishi siasa tangu akiwa kijana. Leo Akubali wanae waingie kwenye mchakamchaka tena akiwa bado hai.ili kuwa furahisha watu flani...
 
Nyerere kaondoka Duniani akiwa kaacha heshima kubwa mno kimataifa.
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa hawaachi kumtaja huyu Mzee kila mara kwenye kampeni au hotuba zao.

Alimshauri rafiki yake mkubwa hayati Nicolai Cesesscue enzi za uhai wake akiwa Rais wa Romania aachie ngazi ili kulinda heshima yake ,Nicolai hakusikia matokeo akaja kuuawa kikatili yeye na mkewe.

Alimshauri Kaunda wa Zambia naye hakusikia, "mzee mwenzangu waachie Vijana ulinde heshima yako ".

Kaunda akapuuza ushauri wa Nyerere matokeo yake akaja kuondoka Kwa aibu ya kushindwa uchaguzi, badala ya kustaafu, yaani Rais wa kwanza wa nchi unagombea tena, what a shame?

Heshima ya Nyerere Kwa Africa inazidiwa na Mandela tu, ukimtoa Mandela hakuna Rais tena wa kufananishwa na Nyerere ktk bara la Africa.

Kwanza alikuwa akiaanza kuongea unatamani uendelee kumsikiliza tu muda wote hata Kama ulikuwa na stress Ukisikiliza hotuba za Nyerere stress zinapungua.

Ukombozi wa mataifa ya kusini mwa Africa huwezi kuujadili bila kumjadili Nyerere ambaye ndo alikuwa key point ya Ukombozi Huo.

Ni katika Kipindi cha Urais wake Tanzania iliheshimiwa na hata kuogopwa na mataifa makubwa Duniani.

Pamoja na matatizo ya hapa na pale, lakini enzi zake uchumi wa Tanzania ulikuwa juu, pesa ilikuwa na thamani kubwa, noti ya mwisho Kwa thamani kubwa ilikuwa noti ya sh 100.

Elimu ilikuwa juu, siyo kama leo hii ambapo hata kiswahili tu kinawapa shida hata wahitimu wa vyuo vikuu, neno "hela " wanatamka "ela" neno "halafu "wanatamka "alafu " eti hao ni university graduates, kwenye English ndo unaweza hata kulia Kwa namna wanavyoboronga.

Enzi zake hata intelligence ya nchi ilitisha, TISS ya Nyerere haikuwa tofauti na CIA hutaki kuamini acha.

Wakati wa vita vya Kagera, TISS ilimzunguka Idd Amin Spain, alikuwa ameagiza makombora ya kisasa yenye nguvu lakini akajikuta anayakosa na yakaangukia mikononi mwa Tanzania.

Hatukuwa na silaha Kali Kama za Idd Amin, lakini tulikuwa na intelligence imara mno, hii ndo ilifanya tushinde vita bila msaada wa nchi yoyote, Idd Amin pamoja na kusaidiwa na Gaddafi bado tuliweza kumtwanga hadi akaikimbia Uganda.
Inahitaji Kitabu kuandika mambo mazito aliyofanya Nyerere.

Lakini alimkosea nini Mungu huyu mzee?
Mwandishi Munga Tehenani (RIP) aliandika Kitabu kiitwacho "Nyerere alikuwa mchawi ".
Kitabu hiki hakikukaa mitaani hata siku tatu kikawa kimepotea kimaajabu, ilikuwa ni kati ya mwaka 2001 au 2003.

Inadaiwa aliingia maagano na kuzimu na fimbo yake ndo ilikuwa muongozo wa mambo yake yote.

Maagano yoyote ya nguvu za giza humkasirisha Mungu na kukilaani kizazi cha mtu aliyeingia maagano hayo.

Mungu hulaani kuanzia watoto na hata vitukuu na vilembwe na hata kizazi cha nne.

Familia ya Rais Kennedy wa US aliyepigwa risasi mwaka 1963 imepukutika yote Kwa vifo vya ajali na kuuawa, hakuna alama yoyote ya Kennedy Marekani, yamebakia majina tu.

Nikiitazama Kwa jicho la tatu familia ya Nyerere haiko sawa, imefunikwa na giza nene, haing'ai, haionekani, it looks like Nyerere left no children to walk his ways,haya ni mambo ya Ulimwengu wa roho.

Hata ukuu wa wilaya tu imekuwa ishu? wanapata watu ambao wanaonea wivu wenzao wanaoinuliwa na Mungu, yaani mtu anataka ampangie hadi Mungu kwamba fulani anapaswa kuwa maarufu na mwingine hatakiwi.

Matendo yetu yawe mema au mabaya yana reflect maisha yetu ya baadaye.
Tuwe makini sana na tujae hofu ya Mungu .

cc:mshana jr

Makala ijayo😀ini ni Ugonjwa wa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu bwana mkubwa niambie familia ya Kennedy ilifanya nini mpaka wakawa wanakufa vile, walifanya jambo gani la laana. Hebu sema hapa lasivyo kuanzia leo iwe mwisho kuandika ujinga na vitu usivyovijua. Haya tiririka tukusikie..
 
Zamani viongozi wakuuu walikuwa wanatisha sana ..mkwawa
Mirambo
Kinjekitile ngwale
Kimweli
Songea
Kingalu
Nk
Walikuwa wachawi sana ..
 
Mandela kapaishwa na wazungu huwezi mfananisha na Mwl.Nyerere hata kidogo
....kafanya nini cha maana kwa Africa huyo Mandela ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Igwe, ukosahihi kabisa! Mwl. Nyerere alikuwa ni level nyingine kiuongozi katika Afrika. Labda kidogo Mugabe angeweza kujitahidi, kwa mbali, kumsogelea!
 
Hakuna mambo ya kiroho katika suala la familia yake kuwa ilivyo. Nyerere hakuwa muumini sana wa Uongozi wa umma kuwa mali ya familia kama wenzake waliomfuatia.
 
Unajua kwa nini Mwenge ulianzishwa? Ukipata majibu basi utaelewa vyema nyerere alikuwa ni nani.
 
Mtoa mada unakosea Sana kusema Mandela Yuko above Mwalimu Nyerere, fatilia mahojiano au documentary ya huyo Mandela uone kamuongelea vipi mwalimu Nyerere

Wakati we umekaa hapa kupaza shingo kumtetea Mandela ila Mandela alikuwa anamuita mwalimu Nyerere kuwa ni Father of Africa
 
Back
Top Bottom