Nyerere alimkosea nini Mungu?

Nyerere alimkosea nini Mungu?

Nyerere kaondoka Duniani akiwa kaacha heshima kubwa mno kimataifa.
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa hawaachi kumtaja huyu Mzee kila mara kwenye kampeni au hotuba zao.
Alimshauri rafiki yake mkubwa hayati Nicolai Cesesscue enzi za uhai wake akiwa Rais wa Romania aachie ngazi ili kulinda heshima yake ,Nicolai hakusikia matokeo akaja kuuawa kikatili yeye na mkewe.
Alimshauri Kaunda wa Zambia naye hakusikia, "mzee mwenzangu waachie Vijana ulinde heshima yako ".
Kaunda akapuuza ushauri wa Nyerere matokeo yake akaja kuondoka Kwa aibu ya kushindwa uchaguzi, badala ya kustaafu, yaani Rais wa kwanza wa nchi unagombea tena, what a shame?
Heshima ya Nyerere Kwa Africa inazidiwa na Mandela tu, ukimtoa Mandela hakuna Rais tena wa kufananishwa na Nyerere ktk bara la Africa.
Kwanza alikuwa akiaanza kuongea unatamani uendelee kumsikiliza tu muda wote hata Kama ulikuwa na stress Ukisikiliza hotuba za Nyerere stress zinapungua.
Ukombozi wa mataifa ya kusini mwa Africa huwezi kuujadili bila kumjadili Nyerere ambaye ndo alikuwa key point ya Ukombozi Huo.
Ni katika Kipindi cha Urais wake Tanzania iliheshimiwa na hata kuogopwa na mataifa makubwa Duniani.
Pamoja na matatizo ya hapa na pale, lakini enzi zake uchumi wa Tanzania ulikuwa juu, pesa ilikuwa na thamani kubwa, noti ya mwisho Kwa thamani kubwa ilikuwa noti ya sh 100.
Elimu ilikuwa juu, siyo kama leo hii ambapo hata kiswahili tu kinawapa shida hata wahitimu wa vyuo vikuu, neno "hela " wanatamka "ela" neno "halafu "wanatamka "alafu " eti hao ni university graduates, kwenye English ndo unaweza hata kulia Kwa namna wanavyoboronga.
Enzi zake hata intelligence ya nchi ilitisha, TISS ya Nyerere haikuwa tofauti na CIA hutaki kuamini acha.
Wakati wa vita vya Kagera TISS ilimzunguka Idd Amin Spain, alikuwa ameagiza makombora ya kisasa yenye nguvu lakini akajikuta anayakosa na yakaangukia mikononi mwa Tanzania.
Hatukuwa na silaha Kali Kama za Idd Amin, lakini tulikuwa na intelligence imara mno, hii ndo ilifanya tushinde vita bila msaada wa nchi yoyote, Idd Amin pamoja na kusaidiwa na Gaddafi bado tuliweza kumtwanga hadi akaikimbia Uganda.
Inahitaji Kitabu kuandika mambo mazito aliyofanya Nyerere.
Lakini alimkosea nini Mungu huyu mzee?
Mwandishi Munga Tehenani (RIP) aliandika Kitabu kiitwacho "Nyerere alikuwa mchawi ".
Kitabu hiki hakikukaa mitaani hata siku tatu kikawa kimepotea kimaajabu, ilikuwa ni kati ya mwaka 2001 au 2003.
Inadaiwa aliingia maagano na kuzimu na fimbo yake ndo ilikuwa muongozo wa mambo yake yote.
Maagano yoyote ya nguvu za giza humkasirisha Mungu na kukilaani kizazi cha mtu aliyeingia maagano hayo.
Mungu hulaani kuanzia watoto na hata vitukuu na vilembwe na hata kizazi cha nne.
Familia ya Rais Kennedy wa US aliyepigwa risasi mwaka 1963 imepukutika yote Kwa vifo vya ajali na kuuawa, hakuna alama yoyote ya Kennedy Marekani, yamebakia majina tu.
Nikiitazama Kwa jicho la tatu familia ya Nyerere haiko sawa, imefunikwa na giza nene, haing'ai, haionekani, it looks like Nyerere left no children to walk his ways,haya ni mambo ya Ulimwengu wa roho.
Hata ukuu wa wilaya tu imekuwa ishu? wanapata watu ambao wanaonea wivu wenzao wanaoinuliwa na Mungu, yaani mtu anataka ampangie hadi Mungu kwamba fulani anapaswa kuwa maarufu na mwingine hatakiwi.
Matendo yetu yawe mema au mabaya yana reflect maisha yetu ya baadaye.
Tuwe makini sana na tujae hofu ya Mungu .
cc:mshana jr

Makala ijayo😀ini ni Ugonjwa wa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere alikosea Vita vya idd amini.
 
Mandela is greatly overrated ..thats the true FACT

Mandela alipaishwa baada ya kuwasamehe wazungu baada ya yeye kuwa Rais lakini ukiangalia hadi leo bado black south Africans wengi bado hawana uchumi mzuri...

Kwanza Mandela utamfananisha hata na Kwame Nkurumah..whats so special bout Mandela na ana contribution gani katika Afrika hadi aitwe prince of Africa ... He is over hyped by western countries PERIOD

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Nyerere alifanya nini na Kwame alifanya nini, not just bare words.
Kwa hiyo uchumi wa South Africa uliharibiwa na Mandela?
Huna unalojua wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naamini Baba wa Taifa ana rekodi nzuri zaidi kuliko Mandela hasa ukitilia heshima kubwa aliyojijengea duniani kote na katika ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa. Sioni kikubwa alichokifanya Mandela kumzidi Baba wa Taifa.

Nyerere kaondoka Duniani akiwa kaacha heshima kubwa mno kimataifa.
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa hawaachi kumtaja huyu Mzee kila mara kwenye kampeni au hotuba zao.
Alimshauri rafiki yake mkubwa hayati Nicolai Cesesscue enzi za uhai wake akiwa Rais wa Romania aachie ngazi ili kulinda heshima yake ,Nicolai hakusikia matokeo akaja kuuawa kikatili yeye na mkewe.
Alimshauri Kaunda wa Zambia naye hakusikia, "mzee mwenzangu waachie Vijana ulinde heshima yako ".
Kaunda akapuuza ushauri wa Nyerere matokeo yake akaja kuondoka Kwa aibu ya kushindwa uchaguzi, badala ya kustaafu, yaani Rais wa kwanza wa nchi unagombea tena, what a shame?
Heshima ya Nyerere Kwa Africa inazidiwa na Mandela tu, ukimtoa Mandela hakuna Rais tena wa kufananishwa na Nyerere ktk bara la Africa.
Kwanza alikuwa akiaanza kuongea unatamani uendelee kumsikiliza tu muda wote hata Kama ulikuwa na stress Ukisikiliza hotuba za Nyerere stress zinapungua.
Ukombozi wa mataifa ya kusini mwa Africa huwezi kuujadili bila kumjadili Nyerere ambaye ndo alikuwa key point ya Ukombozi Huo.
Ni katika Kipindi cha Urais wake Tanzania iliheshimiwa na hata kuogopwa na mataifa makubwa Duniani.
Pamoja na matatizo ya hapa na pale, lakini enzi zake uchumi wa Tanzania ulikuwa juu, pesa ilikuwa na thamani kubwa, noti ya mwisho Kwa thamani kubwa ilikuwa noti ya sh 100.
Elimu ilikuwa juu, siyo kama leo hii ambapo hata kiswahili tu kinawapa shida hata wahitimu wa vyuo vikuu, neno "hela " wanatamka "ela" neno "halafu "wanatamka "alafu " eti hao ni university graduates, kwenye English ndo unaweza hata kulia Kwa namna wanavyoboronga.
Enzi zake hata intelligence ya nchi ilitisha, TISS ya Nyerere haikuwa tofauti na CIA hutaki kuamini acha.
Wakati wa vita vya Kagera TISS ilimzunguka Idd Amin Spain, alikuwa ameagiza makombora ya kisasa yenye nguvu lakini akajikuta anayakosa na yakaangukia mikononi mwa Tanzania.
Hatukuwa na silaha Kali Kama za Idd Amin, lakini tulikuwa na intelligence imara mno, hii ndo ilifanya tushinde vita bila msaada wa nchi yoyote, Idd Amin pamoja na kusaidiwa na Gaddafi bado tuliweza kumtwanga hadi akaikimbia Uganda.
Inahitaji Kitabu kuandika mambo mazito aliyofanya Nyerere.
Lakini alimkosea nini Mungu huyu mzee?
Mwandishi Munga Tehenani (RIP) aliandika Kitabu kiitwacho "Nyerere alikuwa mchawi ".
Kitabu hiki hakikukaa mitaani hata siku tatu kikawa kimepotea kimaajabu, ilikuwa ni kati ya mwaka 2001 au 2003.
Inadaiwa aliingia maagano na kuzimu na fimbo yake ndo ilikuwa muongozo wa mambo yake yote.
Maagano yoyote ya nguvu za giza humkasirisha Mungu na kukilaani kizazi cha mtu aliyeingia maagano hayo.
Mungu hulaani kuanzia watoto na hata vitukuu na vilembwe na hata kizazi cha nne.
Familia ya Rais Kennedy wa US aliyepigwa risasi mwaka 1963 imepukutika yote Kwa vifo vya ajali na kuuawa, hakuna alama yoyote ya Kennedy Marekani, yamebakia majina tu.
Nikiitazama Kwa jicho la tatu familia ya Nyerere haiko sawa, imefunikwa na giza nene, haing'ai, haionekani, it looks like Nyerere left no children to walk his ways,haya ni mambo ya Ulimwengu wa roho.
Hata ukuu wa wilaya tu imekuwa ishu? wanapata watu ambao wanaonea wivu wenzao wanaoinuliwa na Mungu, yaani mtu anataka ampangie hadi Mungu kwamba fulani anapaswa kuwa maarufu na mwingine hatakiwi.
Matendo yetu yawe mema au mabaya yana reflect maisha yetu ya baadaye.
Tuwe makini sana na tujae hofu ya Mungu .
cc:mshana jr

Makala ijayo😀ini ni Ugonjwa wa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnachekesha kweli? Hakuna la maana alilofanya Mandela Africa?
Kukaa jela miaka 27 unaona ni jambo la kawaida?
Mandela alipoteza mke, watoto na ndugu akiwa jela, aligoma ofa zote za makaburu akachagua kufia jela ili South Africa iwe huru, halafu leo useme hajafanya kitu?
Wewe ukifungwa miezi 6 utaomba pooo... Halafu leo umdharau Mandela?
Unachekesha kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
...wewe utakuwa na mtindio wa ubongo sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kwanza umenea vizuri, cha pili unaongozwa na hisia sana kuliko ukweli- Una chuki na wasomi.....

Cha tatu, unatulazimisha kuamini kitu ambacho huna Ushahidi nacho, "Eti kama hutaki acha" sasa lazima?

Yote kwa yote, mzee alikuwa nondo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye heri ndo nini ? Tangu lini wazungu walimpenda Mandela?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mandela kiukweli kabisa hata yeye aliko anajua kwamba Nyerere was best of the best na yeye hapaswi kujilinganisha naye, umaarufu wa Mandela umekolezwa na mabepari tu baada ya kuwalegezea na kukubaliana na matakwa yao!

Mandela ataendelea kuthamini mchango wa Nyerere kwa South Africa hadi mwisho wa dunia kama kweli upo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikuita mjinga nitakupa hadhi, wewe ni mpumbavu hasa, Mandela aliwapa wazungu sh ngapi ili wampaishe?
Na wazungu walipata faida gani kumpaisha Mandela?
Pathetic zero brain!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanijibu mimi, ila ngoja tu nikujibu....inaonekana hujui historia ndiomaana umediriki kumtusi mtoa comment. Ukijipa muda ukaisoma historia ya ukombozi wa Afrika vizuri utajua kwanini Mandela hamzidi Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnachekesha kweli? Hakuna la maana alilofanya Mandela Africa?
Kukaa jela miaka 27 unaona ni jambo la kawaida?
Mandela alipoteza mke, watoto na ndugu akiwa jela, aligoma ofa zote za makaburu akachagua kufia jela ili South Africa iwe huru, halafu leo useme hajafanya kitu?
Wewe ukifungwa miezi 6 utaomba pooo... Halafu leo umdharau Mandela?
Unachekesha kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Na baada ya hiyo miaka 27 nini kilitokea!? Hapo ndo penye debate chief! Alipoteza mke, watoto,na kuvumilia jela miaka yote hiyo lakini alichosimamia miaka yote hiyo akiwa jela aliendelea kukisimamia!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Nyerere alifanya nini na Kwame alifanya nini, not just bare words.
Kwa hiyo uchumi wa South Africa uliharibiwa na Mandela?
Huna unalojua wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata wewe husemi Mandela aliifanyia nini Africa?

Nyerere alikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa nchi za kiafrika!

Ukienda Morogoro Mazimbu na Dakawa kulikuwa na kambi za wapigania uhuru wa South Africa, ukianda Kongwa walikuwepo guelila fighters, kule mtwara aliwapa kambi kina Edward Mondlane wa Angola

Kuanzia Mandela mwenyewe, Mugabe, Joshua Nkomo, na freedom fighters wengine wengi hata huko walipo bado wanajua mchango wa Nyerere kwao!

Tutajie mambo machache makuu aliyoyafanya Mandela kwa Afrika, ukiyakosa basi taja hata aliyoyafanya South Africa.

Usichokijua ni kwamba pamoja na kusema Nyerere alikuwa kibaraka wa waingereza, hujui tu kwamba alikuwa mwiba kwa wazungu. Ndiomaana hutosikia wazungu wakimsifia sana huyu mzee wa watu

Tatizo ni moja tu, huenda na wewe ni kundi moja na wale kina mzee nani sijui ambaye wanasapotiana na yule bibi nani sijui kule jukwaa la historia kusema eti Nyerere aliwazulumu hadhi ya upigania uhuru sijui watu wa dini gani vile.... huenda uko huko ndio maana unaporomosha matusi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikuita mjinga nitakupa hadhi, wewe ni mpumbavu hasa, Mandela aliwapa wazungu sh ngapi ili wampaishe?
Na wazungu walipata faida gani kumpaisha Mandela?
Pathetic zero brain!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mandela hajawahi fanya jambo lolote kuisaidia Afrika kama alivyofanya Nyerere. Pls put Mwalimu in a proper historical perspective.
Mwalimu hakuwa kiongozi wa kawaida, he was beyond compare. Hakuna takataka yoyote ya kufananishwa naye.
 
..hujajibu swali la msingi "Mandela alifanya nini cha msingi kwa Africa kumzidi Nyerere"..wewe umekimbilia kutukana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada hii imenipa picha kubwa mno ya ubongo wa kizazi hiki cha nyoka ndo maana kweli kuna ma PHD Holder wanaita Air hostess -Air hostage.
Kwa akili zenu hizo nchi haiwezi kufika popote ,yaani hujui mchango wa Mandela ktk bara la Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata wewe husemi Mandela aliifanyia nini Africa?

Nyerere alikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa nchi za kiafrika!

Ukienda Morogoro Mazimbu na Dakawa kulikuwa na kambi za wapigania uhuru wa South Africa, ukianda Kongwa walikuwepo guelila fighters, kule mtwara aliwapa kambi kina Edward Mondlane wa Angola

Kuanzia Mandela mwenyewe, Mugabe, Joshua Nkomo, na freedom fighters wengine wengi hata huko walipo bado wanajua mchango wa Nyerere kwao!

Tutajie mambo machache makuu aliyoyafanya Mandela kwa Afrika, ukiyakosa basi taja hata aliyoyafanya South Africa.

Usichokijua ni kwamba pamoja na kusema Nyerere alikuwa kibaraka wa waingereza, hujui tu kwamba alikuwa mwiba kwa wazungu. Ndiomaana hutosikia wazungu wakimsifia sana huyu mzee wa watu

Tatizo ni moja tu, huenda na wewe ni kundi moja na wale kina mzee nani sijui ambaye wanasapotiana na yule bibi nani sijui kule jukwaa la historia kusema eti Nyerere aliwazulumu hadhi ya upigania uhuru sijui watu wa dini gani vile.... huenda uko huko ndio maana unaporomosha matusi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ma zero brain mko wengi kiasi hiki?
Nyerere alipigania uhuru na nani? alipigania uhuru peke yake South Africa kisha akaenda South Africa na kuwa Rais wa huko?
Yaani mnam treat Mandela Kama mdoli flani hivi, kukaa gerezani miaka 27 siyo kupigania uhuru? alikuwa Hotel hiyo miaka 27 akila bata?
Nyerere angetoa wapi nguvu za kupigania uhuru bila kuongozwa na kina Mandela?
Nyerere alikuwa anatoa sapoti tu ya kupigania uhuru wa South Africa, huku Mandela aki risk maisha yake na wenzake wengi kuuawa.
Nyie watu vichwa vyenu zero brain kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom