Nyerere alimkosea nini Mungu?

Nyerere alimkosea nini Mungu?

Mandela hajawahi fanya jambo lolote kuisaidia Afrika kama alivyofanya Nyerere. Pls put Mwalimu in a proper historical perspective.
Mwalimu hakuwa kiongozi wa kawaida, he was beyond compare. Hakuna takataka yoyote ya kufananishwa naye.
Zero brain ktk ubora wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mandela kiukweli kabisa hata yeye aliko anajua kwamba Nyerere was best of the best na yeye hapaswi kujilinganisha naye, umaarufu wa Mandela umekolezwa na mabepari tu baada ya kuwalegezea na kukubaliana na matakwa yao!

Mandela ataendelea kuthamini mchango wa Nyerere kwa South Africa hadi mwisho wa dunia kama kweli upo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Mabepari ndo wamempa umaarufu Mandela, kwa hiyo Kumbe walitengeneza drama ili Mandela afungwe ili kupata umaarufu? Baada ya umaarufu wa Mandela mabepari wali profit nini?
Kwa comment hii eti kesho unakuwa Lecturer wa Political Science ni lazima graduates wako watakuwa vilaza na ndo maana tuna vilaza wengi mno graduates Kumbe sababu ni hii.
Pole Sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kwanza umenea vizuri, cha pili unaongozwa na hisia sana kuliko ukweli- Una chuki na wasomi.....

Cha tatu, unatulazimisha kuamini kitu ambacho huna Ushahidi nacho, "Eti kama hutaki acha" sasa lazima?

Yote kwa yote, mzee alikuwa nondo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasomi gani mkuu? Tanzania kuna Wasomi? Yaani huna hata aibu unasema eti "Wasomi ".
1.Halafu-alafu
2.Hela-ela
3.Air Hostess -Air hostage

Hao ndo wasomi? Una roho ngumu sana paka anasubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mandela is greatly overrated ..thats the true FACT

Mandela alipaishwa baada ya kuwasamehe wazungu baada ya yeye kuwa Rais lakini ukiangalia hadi leo bado black south Africans wengi bado hawana uchumi mzuri...

Kwanza Mandela utamfananisha hata na Kwame Nkurumah..whats so special bout Mandela na ana contribution gani katika Afrika hadi aitwe prince of Africa ... He is over hyped by western countries PERIOD

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza u zero brain mkuu, eti aliwasamehe wazungu ,Duh...kwa kukusaidia ni kwamba, aliwasamehe wazungu baada ya kuwa Rais, na siyo kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikuita mjinga nitakupa hadhi, wewe ni mpumbavu hasa, Mandela aliwapa wazungu sh ngapi ili wampaishe?
Na wazungu walipata faida gani kumpaisha Mandela?
Pathetic zero brain!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa unachemka mkuu; usidhani unafahamu kila kitu ndugu, huu ni ulimwengu wa sayansi jamii; mitazamo, uzoefu na mazingira uliyokulia vina umuhimu mkubwa katika mjada uliouanzisha.

Watu wengi tunawakubali mashujaa wetu ambao kwa namna moja ama nyingine waliiletea heshima bara letu. Hili la Mandela vs Mwalimu, huhitaji kukaza misuli ya shingo, kuna ukweli mkubwa Mandela anaweza asimpate Mwalimu. Labda tuweke vigezo ndiyo tutaelewana. Huhitaji kutukana au kudhihaki ili uonekane bingwa, hapa tunajifunza tu. Mfano, wa vigezo ni:

1. Eneo ambalo kila mwanaharakati kati ya wawili hawa walifanya harakati zao. Kumbuka Nyerere ana mchango pia katika kuwasapoti kina Mandela. Mpaka leo waafrika kusini huja kuzuru kambi kama Mazimbu na Dakawa, zote zikiwa ni kambi za wanaharakati wao wakijipanga kwenda kukomboa nchi. Si, Afrika ya kusini pekee, ni nchi nyingi Tz ilifanya haya, mfano, Msumbiji, Zimbabwe n.k

Hapo juu unamshambulia mchangiaji wa mada yako eti Mandela ana nini cha kuwapa wazungu. Hujiulizi kwa hiki Nyerere alikifanya, kama kweli wazungu ni wakweli huoni Nyerere alipaswa kupata tuzo zaidi ya Mandela? Kwa kifupi, hatubezi juhudi za Mandela lakini ule umaarufu ulitiwa chumvi na wazungu kwa sababu zao binafsi. Kumbuka huyu ndiye alikuwa gaidi kwao hadi kumyima viza kuingia nchi zao lakini baada ya kukubaliana namna ya kuindesha Afrika ya kusini bila kuwadhuru wazungu na mali zao akageuka shujaa wa kimataifa.

2.Kigezo kingine ni kukaa madarakani huku ukiendeleza nchi yako na kusaidia wengine. Sote tunajua alichofanya Mandela, kuanzia muda aliokaa madarakani na hata kile alichokifanya ili kuwakomboa raia wa Afrika ya kusini kiuchumi. Fine, hapa hatuwezi kumlaumu kulingana na mazingira ya taifa lao, mpaka leo bado kiuchumi weusi wenyeji ni bilabila. Lakini huwezi kulinganisha na Tz, pamoja na wanasiasa kutufanya vibaya, bado hali zetu si sawa na wazulu. Ninarudia, hili si la kumlaumu Mandela, ni historia yao ndiyo imewafikisha hapo. Lakini kwakuwa tunalinganisha, basi tutumie kuwatathimini wote iwe ni sababu binafsi au za nje yao.

Aidha, pamoja na sifa nyingi tunazowapa watu hawa, huwa tunakosea sana kuona ama kufikiri hawa watu walikuwa peke yao. Wengi hulalamika kuhusu Mwalimu na namna alizima nyota za watu walioshiriki kuliletea taifa uhuru na heshima. Inashangaza sana vijana tunafunzwa na kukaririshwa Mwalimu peke wakati kuna wanaharakati wengi tu, wengine mwalimu aliwakuta wakiwa washakinukisha. Hata Afrika ya kusini ni hivyohivyo, wapo wengi saaaana waliofanya pengine hata zaidi ya Nelson. Lakini hao ndiyo nyota zao ziling'aa, wakatokelezea. Ni jukumu letu sisi wachambuzi, kuyajua haya na kuweka rekodi sahihi kuliko kushambuliana mradi tu fulani awe mshindi.

Kuhusu wanaharakati na kufaidi ama kutofaidi maisha kiasi cha kusema Mwalimu alimkosea nini Mungu, kuna ukweli kabisa ukiwa mtu si wa kutamani ufahari basi maisha yako hayawezi kuwa hivyo. Pamoja na mapungufu ya Mwalimu kama hayo niliyogusia hapo juu, kwa uoni wangu, hakuwa mtu mwenye tamaa ya maisha hayo pengine mimi na wewe tunaona ni ndiyo maisha.Lakini ujue, aliwajengea watoto msingi mzuri tu, namba moja ikiwa ni elimu. Sisi tunataka mtu kama yeye afuje mali, alazimishe watoto kuwa mawaziri na wakuu wa majeshi, wamiliki midege n.k, huku hatuna vitanda vya wagonjwa, hakuna sehemu za kina mama kuzalia, watu tunakufa njaa n.k., hapo ndiyo tunaona haki inatendeka kwa watu wa kaliba hiyo. Huu si uungwana!

Asante
 
mkuu hicho kitabu cha nyerere mchawi ulifanikiwa kukisoma? fonti peji za majarida ya munga teheren zilikuwa tofauti na contents, binafsi nakumbuka munga hakuwahi kuwa muumini wa nguvu za giza, jamaa alikuwa mtabe wa saikolojia na machapisho yake yalikuwa ni chakula cha ubongo RIP Munga.
 
Mada hii imenipa picha kubwa mno ya ubongo wa kizazi hiki cha nyoka ndo maana kweli kuna ma PHD Holder wanaita Air hostess -Air hostage.
Kwa akili zenu hizo nchi haiwezi kufika popote ,yaani hujui mchango wa Mandela ktk bara la Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app
...una bwabwaja tu_badala ya kuusema huo mchango wa Mandela over Mwl...unajizungushazungusha tu
....stupid you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ma zero brain mko wengi kiasi hiki?
Nyerere alipigania uhuru na nani? alipigania uhuru peke yake South Africa kisha akaenda South Africa na kuwa Rais wa huko?
Yaani mnam treat Mandela Kama mdoli flani hivi, kukaa gerezani miaka 27 siyo kupigania uhuru? alikuwa Hotel hiyo miaka 27 akila bata?
Nyerere angetoa wapi nguvu za kupigania uhuru bila kuongozwa na kina Mandela?
Nyerere alikuwa anatoa sapoti tu ya kupigania uhuru wa South Africa, huku Mandela aki risk maisha yake na wenzake wengi kuuawa.
Nyie watu vichwa vyenu zero brain kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
...hopeless kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeharibu tu hapo TISS ya nyerere ilikua kama CIA,uongo mchana kweupe......................yaani nyerere ameondoka na kuacha nchi na madeni kibao,ndio ufananishe watu wanaofanya ujasusi wa kiuchumi duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mandela kapaishwa na wazungu huwezi mfananisha na Mwl.Nyerere hata kidogo
....kafanya nini cha maana kwa Africa huyo Mandela ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mandela anapaishwa na wazungu tu, na lengo ni kufunika dhana ya Nyerere ya Africa kujikomboa. Mandela alishindwa hata kuwaunganisha wasauzi mpaka leo wanauwa waafrika wenzao.
Kiufupi mandela alikuwa mwanafunzi wa Nyerere.
 
Umeharibu tu hapo TISS ya nyerere ilikua kama CIA,uongo mchana kweupe......................yaani nyerere ameondoka na kuacha nchi na madeni kibao,ndio ufananishe watu wanaofanya ujasusi wa kiuchumi duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Umesoma haraka sana topic yangu, hebu isome mara tatu utapata jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom