Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

He has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?

And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?

"He who ignore the lessons of history is doomed to repeat them" Hakuna kibaya kujadili na kuweka wazi makosa ya nyuma. Nyerere likuwa na integrity na vision lakini alikuwa "too idealistic" kwa hiyo alishindwa kufanya kazi na wale ambao hawakuwa na integrity kama yake na huo ni udhaifu. Hautishi katika "utopia". Watu ni wa binafsi hivyo unatakiwa kuweka mifumo inayochukua huo ubinafsi na kuutumia vizuri kama vile kukuza sekta binfsi nk
 
lakini tukubaliane kuwa nyerere hajatufikisha popote na kweli hakuwa na maono. ni kweli alijenga mshikamano wa kitaifa lakini kungine kote alikuwa anaendeshwa na emotions zaidi kul.iko kuangalia ahalisia wa mambo na dunia inakokwenda.

Sawa kabisa. Niko na wewe asili mia mia tano
 
He has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?

And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?

It is true Nyerere made some mistakes, but also made progress and save Tanzanias in war of tribalism. The biggest mistake he made was Elimu ya ujamaa, education yetu aliivuruga, taifa bila elimu ni taifa duni, na makosa haya hakufanya kwa kujinufaisha mwenyewe, watoto wake walipata masomo hayo hayo kama watoto wa Watanzania wengine. Alidhani Tanzania itajenga nchi ya kujitegemea na elimu yetu itafaa hapa Tanzania tu.

Nyerere ameondoka madarakani miaka mingi, waliofuatia kuchukuwa madaraka wakaendelea kufanya makosa kwa faida yao wenyewe. Wakazidi kuitekeleza elimu wakati huo huo wakiwasomesha watoto wao nchi jirani, ama hapa nyumbani kwenye shule nzuri ambazo ni cha he, Watanzania wengi tukiendelea na elimu ya ujamaa. Wakauza viwanda bila ya kuvifualia na kuwakosesha Watanzania ajila, kwa kuwa wengi hatuna elimu ya kutosha woga umetujaa, wengi tukiamini mtu akiwa Rais, na Tanzania pamoja na watu wake vinakuwa mali yake binafsi, yote hii ni kukosa elimu ya kutosha na kukosa exposure. MARAIS wameingia na kutoka, kila mmoja ameingia na Ahmadinejad za uwongo, na kuongoza tajiri kushinda Rais Nyerere. Elimu ndiyo msingi wa nchi, kwa kukosa elimu ya maana Tanzania imeshindwa kumanage utajiri wake, tunategemea investers, waje atuchimbie madini, wayachunguze huku tukiwatizama kwa kukosa elimu na ujuzi. Nchi bila elimu ni nchi ya wajinga, na kumuibia ama kumdanganya mjinga ni rahisi kuliko mtu mwenye elimu, na siyo elimu pekee yake, elimu ya dunia AMBAYO Watanzania wengi hatuna. Nchi imekuwa ya wapga, na Viongozi wetu wanajuwa. Vitendo vya dhuruma vitafanywa na Viongozi wetu, wanajuwa tunapiga kelele, si mda mrefu tunasahau, msemo wa Lowassa kwa Kikwete, kama ilivyosemekana kuwa Lowassa alimuonya Kikwete kuwa kimenuka hii dili tuwache, Kikwete akamjibu usijali Watanzania watasahau, na kweli tumesahau, Leo tunamkumbuka Kikwete na kumshangilia. Viongozi wetu wanajuwa wengi wetu hatujui kitu chochote, na wanaojuwa wachache ni rahisi wengi wetu tusiokuwa na elimu ya kutosha kutushawishi kuwachukia na kutowaunga mkono.
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.

Nyerere made mistakes, but also made good decision to dismantle tribalism and save Tanzanias in war of tribalism. The biggest mistakes Nyerere made was oueveducation. Elimu ya ujamaa, education yetu aliivuruga na kuirudisha nyuma. Akidhani what he was doing was right at that time for Tanzania. Nchi bila ya elimu ni taifa duni, matokeo yake ndiyo tunaona viongozi wanaotuongoza leo. Makosa haya hakufanya kwa kujinufaisha mwenyewe, watoto wake walipata masomo hayo hayo kama watoto wa Watanzania wengine, na mpaka leo watoto wake wana maisha ya kawaida kama Watanzania wengine. Tanzania itajenga nchi ya kujitegemea na elimu yetu itafaa hapa Tanzania tu.

Nyerere ameondoka madarakani miaka mingi, lakini waliofuatia kuchukuwa madaraka wakaendelea kufanya makosa, lakini tofauti yao, waliyafanya haya makosa kwa faida yao wenyewe.

Wakazidi kuiteketeza elimu yetu, barjeti ya elimu ikashuka na kuhubili kilimo kwanza, hawajui hata mkulima anahutaji elimu. Wakati huo huo wakiwasomesha watoto wao nchi jirani, ama hapa nyumbani kwenye shule nzuri ambazo ni chache, wakignire shule zinazotumiwa na Watanzania wengi.

Viwanda vyetu vikauzwa kwa bei ya kutupa ikiwa pamoja na benki zetu, bila ya kufifuatilia na kuwakosesha Watanzania ajila, kwa kuwa wengi hatuna elimu ya kutosha hata ya kuhoji. tumejaa woga ikiwa wengi tukiamini mtu akiwa Rais, Tanzania pamoja na watu wake vinakuwa mali yake binafsi, yote hii ni ukosefu wa elimu ya kutosha na kukosa exposure hata convidece ya kuwahoji viongozi wetu hatuna.

MARAIS wameingia na kutoka, kila mmoja ameingia na kutoka na utajiri mkubwa kuliko Rais Nyerere. Elimu ndiyo msingi wa nchi, kwa kukosa elimu ya maana Tanzania imeshindwa kumanage utajiri wake, elimu ya watu wachache haiwezi kuendeleza nchi na kutowa Viongozi bora wa kesho. Nchi inategemea investors waje watufanyie kazi zote hatuna hata ujuzi wa kutofautisha Dhaka university na mchanga, wawekezaji hata kutuajiri hawawezi, wako tayari kuajiri nchi jirani wengine wanakuja na watu wao kwa kuwa elimu yetu ilivyo duni, we are unemployable. Nchi bila elimu ni nchi ya wajinga, na kumuibia ama kumdanganya mjinga ni rahisi kuliko mtu mwenye elimu, na siyo elimu pekee yake, elimu ya dunia AMBAYO Watanzania wengi hatuna. Nchi imekuwa ya waoga, na Viongozi wetu wanajuwa Uwoga wetu, vitendo vya dhuruma vinavyofanywa na Viongozi wetu, wanajuwa tutapiga ke kelele, si mda mrefu tunasahau. Watanzania tunasahau haraka sana, Leo hii tunamkumbuka Kikwete na kumshangilia, Wakati Kikwete kaiacha nchi imegawanyika kati ya matajiri hamusini na masikini milioni hamusini.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
Wewe unadhani alifanya makosa kama aliyoyafanya Mohamed Siad Barre? Utaje makosa unayoyaona wewe ambayo yeye hakuyaona na kukiri hadharani, tuanzie hapo. FaizaFoxy, kuna nyakati huwa nahisi unachuki binafsi na Nyerere. Inawezakana siko sahihi!
 
Hapana kwanini jasho LA kwapa linakutoka wakati watu wanataka kumjadili kambarage? Hujui ndio wakati mwafaka kwani alipokuwa madarakani mwanamume alikuwa pekee yake na nani angethubutu kumsema au kumkosao nyerere zaidi ya kumsifia? Acha watu wajadili na siodhambi kujadili tulipo angukia, maana kwake ndio source ya haya yote tuliobayo.
Poke mkubwa kama uwezi kujadili kaa kimya pia inatosha.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.
Mwalimu alituacha pazuri sana, kama tungepaendeleza tungekuwa mbali sana.
 
Aliyesema Nyerere alituachia viwanda naomba mifano ya viwanda alivyoacha na kiasi ambacho hivyo viwanda vilikuwa vinachangia kwenye pato la taifa
 
It is true Nyerere made some mistakes, but also made progress and save Tanzanias in war of tribalism. The biggest mistake he made was Elimu ya ujamaa, education yetu aliivuruga, taifa bila elimu ni taifa duni, na makosa haya hakufanya kwa kumunufaisha mwenyewe, watoto wake walipata masomo hayo hayo kama watoto wa Watanzania wengine. Alithani Tanzania itajenga nchi ya kujitegemea na elimu yetu itafaa hapa Tanzania tu.

Nyerere ameondoka madarakani miaka mingi, waliofuatia kuchukuwa madaraka wakaendelea kufanya makosa kwa faida yao wenyewe. Wakazidi kuitekeleza elimu wakati huo huo wakiwasomesha watoto wao nchi jirani, ama hapa nyumbani kwenye shule nzuri ambazo ni cha he, Watanzania wengi tukiendelea na elimu ya ujamaa. Wakauza viwanda bila ya kuvifualia na kuwakosesha Watanzania ajila, kwa kuwa wengi hatuna elimu ya kutosha woga umetujaa, wengi tukiamini mtu akiwa Rais, na Tanzania pamoja na watu wake vinakuwa mali yake binafsi, yote hii ni kukosa elimu ya kutosha na kukosa exposure. MARAIS wameingia na kutoka, kila mmoja ameingia na Ahmadinejad za uwongo, na kuongoza tajiri kushinda Rais Nyerere. Elimu ndiyo msingi wa nchi, kwa kukosa elimu ya maana Tanzania imeshindwa kumanage utajiri wake, tunategemea investers, waje atuchimbie madini, wayachunguze huku tukiwatizama kwa kukosa elimu na ujuzi. Nchi bila elimu ni nchi ya wajinga, na kumuibia ama kumdanganya mjinga ni rahisi kuliko mtu mwenye elimu, na siyo elimu pekee yake, elimu ya dunia AMBAYO Watanzania wengi hatuna. Nchi imekuwa ya wapga, na Viongozi wetu wanajuwa. Vitendo vya dhuruma vitafanywa na Viongozi wetu, wanajuwa tunapiga kelele, si mda mrefu tunasahau, msemo wa Lowassa kwa Kikwete, kama ilivyosemekana kuwa Lowassa alimuonya Kikwete kuwa kimenuka hii dili tuwache, Kikwete akamjibu usijali Watanzania watasahau, na kweli tumesahau, Leo tunamkumbuka Kikwete na kumshangilia. Viongozi wetu wanajuwa wengi wetu hatujui kitu chochote, na wanaojuwa wachache ni rahisi wengi wetu tusiokuwa na elimu ya kutosha kutushawishi kuwachukia na kutowaunga mkono.

Nyerere made mistakes, but also made good decision to dismantle tribalism and save Tanzanias in war of tribalism. The biggest mistakes Nyerere made was oueveducation. Elimu ya ujamaa, education yetu aliivuruga na kuirudisha nyuma. Akidhani what he was doing was right at that time for Tanzania. Nchi bila ya elimu ni taifa duni, matokeo yake ndiyo tunaona viongozi wanaotuongoza leo. Makosa haya hakufanya kwa kujinufaisha mwenyewe, watoto wake walipata masomo hayo hayo kama watoto wa Watanzania wengine, na mpaka leo watoto wake wana maisha ya kawaida kama Watanzania wengine. Tanzania itajenga nchi ya kujitegemea na elimu yetu itafaa hapa Tanzania tu.

Nyerere ameondoka madarakani miaka mingi, lakini waliofuatia kuchukuwa madaraka wakaendelea kufanya makosa, lakini tofauti yao, waliyafanya haya makosa kwa faida yao wenyewe.

Wakazidi kuiteketeza elimu yetu, barjeti ya elimu ikashuka na kuhubili kilimo kwanza, hawajui hata mkulima anahutaji elimu. Wakati huo huo wakiwasomesha watoto wao nchi jirani, ama hapa nyumbani kwenye shule nzuri ambazo ni chache, wakignire shule zinazotumiwa na Watanzania wengi.

Viwanda vyetu vikauzwa kwa bei ya kutupa ikiwa pamoja na benki zetu, bila ya kufifuatilia na kuwakosesha Watanzania ajila, kwa kuwa wengi hatuna elimu ya kutosha hata ya kuhoji. tumejaa woga ikiwa wengi tukiamini mtu akiwa Rais, Tanzania pamoja na watu wake vinakuwa mali yake binafsi, yote hii ni ukosefu wa elimu ya kutosha na kukosa exposure hata convidece ya kuwahoji viongozi wetu hatuna.

MARAIS wameingia na kutoka, kila mmoja ameingia na kutoka na utajiri mkubwa kuliko Rais Nyerere. Elimu ndiyo msingi wa nchi, kwa kukosa elimu ya maana Tanzania imeshindwa kumanage utajiri wake, elimu ya watu wachache haiwezi kuendeleza nchi na kutowa Viongozi bora wa kesho. Nchi inategemea investors waje watufanyie kazi zote hatuna hata ujuzi wa kutofautisha Dhaka university na mchanga, wawekezaji hata kutuajiri hawawezi, wako tayari kuajiri nchi jirani wengine wanakuja na watu wao kwa kuwa elimu yetu ilivyo duni, we are unemployable. Nchi bila elimu ni nchi ya wajinga, na kumuibia ama kumdanganya mjinga ni rahisi kuliko mtu mwenye elimu, na siyo elimu pekee yake, elimu ya dunia AMBAYO Watanzania wengi hatuna. Nchi imekuwa ya waoga, na Viongozi wetu wanajuwa Uwoga wetu, vitendo vya dhuruma vinavyofanywa na Viongozi wetu, wanajuwa tutapiga ke kelele, si mda mrefu tunasahau. Watanzania tunasahau haraka sana, Leo hii tunamkumbuka Kikwete na kumshangilia, Wakati Kikwete kaiacha nchi imawanyika kati ya matajiri hamusini na masikini milioni hamusini.
Mama Obama,
Ni kweli Nyerere alifanya makosa ya msingi kama binadamu. Lakini wakati anaondoka madarakani aliacha miundo mbinu ya uchumi ambayo kama ingeendelezwa, nchi hii inagekuwa imepinga hatua kubwa ya maendeleo. Kwa mfano;
1. Miundo mbinu ya kifedha: wakatika anatoka madarakani aliacha benki ya NBC ikiwa kati ya benki 12 bora Africa nzima. Kati ya benki hizo, 6 zilikuwa za Africa ya kusini , 4 za Nigeria na 1 ya Ghana na NBC. Na benk zote zilizokuwepo hapa nchini zilikuwa zinaendeshwa na watanzania wenyewe.
2. Elimu: Kiwango cha kujua kusoma na kuandika kilikuwa juu kuliko nchi karibu zote za Africa- zaidi ya 90%, elimu iliyotolewa ilikuwa sawa kwa watu wote ( tajiri na maskini)
3. Mgawanyo wa Rasmali za taifa: tofanuti ya kipato kati ya tajiri na maskini ilikuwa kwa uwiano 1:9( soma kitabu cha miaka kumi baada ya azimio la Arusha);
4. Miundo mbinu ya kiuchumi: Kulikuwa na viwanda vinavyo jiaendesha na kulipa kodi zaidi ya 60% ya kodi iliyokuwa inakusanywa kati ya 1985 na 2000;
5. Kilimo kilikuwa mchangiaji mkuu wa uchumi wa taifa( GDP), hii ina maana kuwa watu waliokuwa wanajiari walikuwa wengi kuliko ilivyo sasa.
Watu kwa wakati huo walikuwa wanjitambua zaidi hata kulizo ilivyo sasa. Kosa lake liko wapi?
 
Mwalimu alituacha pazuri sana, kama tungepaendeleza tungekuwa mbali sana.

Uzuri wake upi?

Kamwachia nchi Mwinyi hazina hakuna pesa. Barabara mbovu hazipitiki, chakula foleni, nguo hakuna, mafuta ya kwenye magari na kuendesha mambo mengine hakuna.

Uzuri upi uliouona wewe?
 
Wewe unadhani alifanya makosa kama aliyoyafanya Mohamed Siad Barre? Utaje makosa unayoyaona wewe ambayo yeye hakuyaona na kukiri hadharani, tuanzie hapo. FaizaFoxy, kuna nyakati huwa nahisi unachuki binafsi na Nyerere. Inawezakana siko sahihi!

Nchi kama Tanzania watu kukaa foleni ya chakula, ni sawa?

Achana na Siad Barre, toka kapinduliwa miaka mingapi leo? Somalia kuna kalika toka aondoshwe Barre?
 
Kukosa chakula sio kosa la kudumu na haliwezi kuwa kosa la Nyerere, ukosefu wa chakula unaweza kusababishwa na ukame, mafuliko , magonjwa kama mnyauko, kushambuliwa viavi jeshi n. Kosa linawezakuwa kuwaacha watu wakafa kwa kukosa msaada wa chakula. Makosa ya kumwandama mtu hata baada ya miaka 30 yanatakiwa kuwa kama aliyoyasababisha Siad Barre, taifa linasambaratika sio foleni ya kupatiwa chakula.

Nilidhani kuna makosa ya msingi umeyabaini kumbe ni hilo?
 
= mafuriko

Kuna zaidi ya kula kwa mwanadam? Wewe kila kukicha unaamka saa tisa za usiku kukaa foleni ya chakula na haujuwi utakipata nini.

Yote hayo uliyotatowa kama sababu za kukaa foleni ya chakula hayajatokea isipokuwa wakati wa Nyerere tu?

Halafu, napenda kukuuliza, ulikuwepo wakati huo wa foleni za chakula?
 
achana na marehemu wawatu FaizaFoxy mchi imewashinda mnatafuta mchawi

Ikiwa tutaachana na marehemu waliotutangulia basi leo hii itabidi kila kitu tuanze kujifunza upya, sidhani kama hata kuvaa nguo tungeelewa, kwa kuwa wote waliovumbua nguo sasa ni marehemu.

Tulitazame suala hili "positively".

Ikiwa Nyerere mwenyewe kakiri kuwa yeye si malaika na kuna makosa aliyoyafanya katika uongozi wake, mimi nasema tuyatazame hayo makosa ili tusiyarudie.

Nyerere toka aliposema hata yeye amefanya makosa, tumeshawahi kukaa chini na kuona ni makosa yepi ili tusiyarudie?

Mimi nasema, kwa kufata kauli ya Nyerere mwenyewe, tuachane na makosa yake na tuchukuwe mazuri yake tuyaendeleze. Sasa swali linakuja, hayo makosa ni yepi? Naanza na hili moja, ingawa kwa upande wangu yako mengi sana niliyoyashuhudia.

Moja, mie nasema alikosea sana kwenye uchumi.

Wewe unasemaje?
 
= mafuriko

Kuna zaidi ya kula kwa mwanadam? Wewe kila kukicha unaamka saa tisa za usiku kukaa foleni ya chakula na haujuwi utakipata nini.

Yote hayo uliyotatowa kama sababu za kukaa foleni ya chakula hayajatokea isipokuwa wakati wa Nyerere tu?

Halafu, napenda kukuuliza, ulikuwepo wakati huo wa foleni za chakula?
Asante sana kwa kunikosoa niliimanisha mafuriko
haujuwi=haujui
uliyotatowa ??

Ndiyo nilikuwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom