Nyasura - Bunda: Mgombea wa CHADEMA Magambo ni Mganga wa Kienyeji sio Mtoto wa Waziri Wassira

Uchaguzi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
914
170
Hapa Wilaya ya Bunda;Kata ya Nyasura Mgombea wa Chadema Ndugu Magambo Webiro amepitishwa na Chama chake kuwania nafasi ya Udiwani katika uchaguzi mdogo uliotangazwa na Tume ifikapo tarehe 9/02/2014 siku ya kupiga kura.

Mgombea huyu Magambo Webiro kazi yake inayomuingizia kipato ni Uganga wa Kienyeji ambayo ndio shughuli yake ya kila siku, Baadhi ya watu hufika kwake kupata huduma hiyo lakini hatujui kama wanapona au hawaponi.

Siku za hivi karibuni Mganga huyu wa Kinyeji amejipachika jina jipya la Wassira ambalo ambalo analitumia kama jina maarufu ili kuendelea kuvuta wateja, watu walioko Bunda na baadhi wakazi wa Kata ya Nyasura wanamtambua huyu Bwana kama Magambo Webiro "Mganga" maneno yake mengi ni ya kitapeli na haijulikani kama kazi anayofanya imesajiliwa na Chama cha Waganga wa Tiba Asili, inasadikika huwa anatumia Mizimu na Majini kufanikisha shughuli zake.

Kutokana na Ukweli huo Huyu Bwana sio Wassira kama jina lake bali ni jina Maarufu analojipachika ili limuongezee umaarufu, haijajulikana ama kwa kazi yake ya kutibu watu(sio wengi) au kwa kazi ya uchaguzi huu uliyo mbele yake kwa chama chake cha CHADEMA, Hii labda kwa sababu Wassira ni jina kubwa na Maarufu kwa Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara na Tanzania.

Ikumbukwe kwamba Stephen Masato Wassira(MB) jimbo la Bunda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu hajawahi kuwa na Mtoto anayeitwa Magambo Webiro, na wala hana Mtoto anayefanya kazi za Uganga wa Kinyeji.
Watoto wake wote wanafanya kazi zinazoeleweka na kujitegemea.

Uchaguzi wa udiwani Kata ya Nyasura(Bunda) na zigine kata 28 Tanzania; unatarajiwa kufanyika tarehe 09/02/2014.
Hapa Bunda CCM inaungwa mkono na Maelfu wakati Vyama vingine vinawafuasi wa kuokoteza.
 
Yaan maccm kweri hayana akili,mmekaa mkaona hii ndio habari ya kuja nayo ili kujipa matumaini? Kuandika habari km hii lazima uwe na akili ya samaki au maiti kabisa sio bule
 
Hivi wewe Uchaguzi mganga wa kienyeji haruhusiwi kugombea uongozi? Vipi mbunge wa korogwe Maji Marefu yeye ni nani?? Acha kuweweseka tulia mganga apate kuwa diwani
 
Last edited by a moderator:
Mgombea huyu Magambo Webiro kazi yake inayomuingizia kipato ni Uganga wa Kienyeji ambayo ndio shughuli yake ya kila siku, Baadhi ya watu hufika kwake kupata huduma hiyo lakini hatujui kama wanapona au hawaponi.

Siku za hivi karibuni Mganga huyu wa Kinyeji amejipachika jina jipya la Wassira ambalo ambalo analitumia kama jina maarufu ili kuendelea kuvuta wateja, watu walioko Bunda na baadhi wakazi wa Kata ya Nyasura wanamtambua huyu Bwana kama Magambo Webiro "Mganga" maneno yake mengi ni ya kitapeli na haijulikani kama kazi anayofanya imesajiliwa na Chama cha Waganga wa Tiba Asili.

Kama mganga ndiyo hafai?Kwa hiyo wapiga kura Korogwe vijijini walifanya kosa kumchagua mganga wa kienyeji pia Prof Maji Marefu(CCM)kuwa Mbunge wao?

Hivi unajua kura za maoni mganga Maji Marefu alimuangusha Dr Edmund Mndolwa(PhD holder)?

Bandiko lako ni la hovyo hovyo sana!
 
Huyo Bwana Webiro Magambo tunamjua vizuri, mie ni shahidi amewahi kumzudhulumu Mama yangu Mkubwa hela zake, na juzi aliposikia eti ndiye Mgombea wa Chadema Mama Mkubwa amesema ni kheri ashinde yeyote lakini sio huyo Tapeli wa majini.
Jina lake halisi anaitwa Magambo Webiro huwa anadanganya kuwa ni ndugu yake na Wassira lakini sio kweli, anafanya kazi ya kupiga Ramli na kudanganya watu kuwapa Mazindiko, Pete za Bahati,Mapenzi na Mali, kujiunga Freemason na kuongeza Makalio kwa dawa za kienyeji.

Watu wakienda kwake anawalazimisha wapele kuku na Mbuzi tu.
Anakaa maeneo ya Nyasura juu lakini ni muhamiaji toka kata jirani ya Kunzugu eneo linaitwa Bokole.
 
Vyoyvote vile ila chadema lazima ishinde....wewe ni msemaji wa familia ya wasira
hapa wilaya ya bunda;kata ya nyasura mgombea wa chadema ndugu magambo webiro amepitishwa na chama chake kuwania nafasi ya udiwani katika uchaguzi mdogo uliotangazwa na tume ifikapo tarehe 9/02/2014 siku ya kupiga kura.

Mgombea huyu magambo webiro kazi yake inayomuingizia kipato ni uganga wa kienyeji ambayo ndio shughuli yake ya kila siku, baadhi ya watu hufika kwake kupata huduma hiyo lakini hatujui kama wanapona au hawaponi.

Siku za hivi karibuni mganga huyu wa kinyeji amejipachika jina jipya la wassira ambalo ambalo analitumia kama jina maarufu ili kuendelea kuvuta wateja, watu walioko bunda na baadhi wakazi wa kata ya nyasura wanamtambua huyu bwana kama magambo webiro "mganga" maneno yake mengi ni ya kitapeli na haijulikani kama kazi anayofanya imesajiliwa na chama cha waganga wa tiba asili, inasadikika huwa anatumia mizimu na majini kufanikisha shughuli zake.

Kutokana na ukweli huo huyu bwana sio wassira kama jina lake bali ni jina maarufu analojipachika ili limuongezee umaarufu, haijajulikana ama kwa kazi yake ya kutibu watu(sio wengi) au kwa kazi ya uchaguzi huu uliyo mbele yake kwa chama chake cha chadema, hii labda kwa sababu wassira ni jina kubwa na maarufu kwa wilaya ya bunda, mkoa wa mara na tanzania.

Ikumbukwe kwamba stephen masato wassira(mb) jimbo la bunda na waziri wa nchi ofisi ya rais mahusiano na uratibu hajawahi kuwa na mtoto anayeitwa magambo webiro, na wala hana mtoto anayefanya kazi za uganga wa kinyeji.
Watoto wake wote wanafanya kazi zinazoeleweka na kujitegemea.

Uchaguzi wa udiwani kata ya nyasura(bunda) na zigine kata 28 tanzania; unatarajiwa kufanyika tarehe 09/02/2014.
Hapa bunda ccm inaungwa mkono na maelfu wakati vyama vingine vinawafuasi wa kuokoteza.
 
Jina lako linaakisi moyo wako
nyie kulikoni mnatetemeka wenyewe?
Mlisema huyo mganga ni mtoto wa wassira, sasa ukweli umejulikana mbona hambishi?

Bunda hawawezi kuchagua mganga tapeli toka chama cha kitapeli na wahafidhina.
 
Wajita kwa roho mbaya hamjambo ndo maana mkuria hampendi mjita
huyo bwana webiro magambo tunamjua vizuri, mie ni shahidi amewahi kumzudhulumu mama yangu mkubwa hela zake, na juzi aliposikia eti ndiye mgombea wa chadema mama mkubwa amesema ni kheri ashinde yeyote lakini sio huyo tapeli wa majini.
Jina lake halisi anaitwa magambo webiro huwa anadanganya kuwa ni ndugu yake na wassira lakini sio kweli, anafanya kazi ya kupiga ramli na kudanganya watu kuwapa mazindiko, pete za bahati,mapenzi na mali, kujiunga freemason na kuongeza makalio kwa dawa za kienyeji.

Watu wakienda kwake anawalazimisha wapele kuku na mbuzi tu.
Anakaa maeneo ya nyasura juu lakini ni muhamiaji toka kata jirani ya kunzugu eneo linaitwa bokole.
 
Huyu "Uchaguzi" anatapatapa Kama mfa Maji, Kwa taarifa Mimi ninaishi Bunda Mtaa wa Polisi hapa, Magambo Wassira ni Kijana wa tatu Kuzaliwa Katika familia ya Waziri Wassira, pia Kuhusu Kuwa Mganga wa Kienyeji ni Uongo uliokomaa Kupita Kiasi pia ni Kashifa za Kipumbavu Coz Magambo hajawi Kuwa Mganga wala Kujihusisha na Uganga, Kama huijui Background ya Mtu ni Bora unauliza, utaelezwa Kuliko Kupotosha Watu, huku ukiamini kuwa hakuna anayeujua upotoshaji wako! UNAPASWA KUMWOMBA RADHI MAGAMBO NA KUIFUTA KAULI YAKO YA KASHIFA DHIDI YAKE!
 
siasa mbaya waroho wa madaraka wanawakana hata watoto wao waliyo wazaa walianza kwa kukana watoto wa kakake kwani hamkumbuki naye steven ni mwanzilishi wa chadema na baadaye akakimbilia nccr aliponyang'anywa ubunge na mahakama baada ya warioba kumshitaki akarudi ccm na bado hanakadi ya chadema no.9 steven masatu wassira na anailipia
 
Yaan maccm kweri hayana akili,mmekaa mkaona hii ndio habari ya kuja nayo ili kujipa matumaini? Kuandika habari km hii lazima uwe na akili ya samaki au maiti kabisa sio bule

Sasa wewe lichadema usiseme bule sema bure ,unakosoa wakati wewe mwenyeo Kilaza
 
Huyo Bwana Webiro Magambo tunamjua vizuri, mie ni shahidi amewahi kumzudhulumu Mama yangu Mkubwa hela zake, na juzi aliposikia eti ndiye Mgombea wa Chadema Mama Mkubwa amesema ni kheri ashinde yeyote lakini sio huyo Tapeli wa majini.
Jina lake halisi anaitwa Magambo Webiro huwa anadanganya kuwa ni ndugu yake na Wassira lakini sio kweli, anafanya kazi ya kupiga Ramli na kudanganya watu kuwapa Mazindiko, Pete za Bahati,Mapenzi na Mali, kujiunga Freemason na kuongeza Makalio kwa dawa za kienyeji.

Watu wakienda kwake anawalazimisha wapele kuku na Mbuzi tu.
Anakaa maeneo ya Nyasura juu lakini ni muhamiaji toka kata jirani ya Kunzugu eneo linaitwa Bokole.

watu wakienda anawalazimisha wapeleke mbuzi na kuku..unaakili kwelu au wewe tahira, hiki ni chakuandika jf..kwa hiyo na wewe akikulazimishe akuingilie kinyume na maumbile yako utakubali!? tafuta wajinga wenzio uwaambie huo upumbavu wako..
 
Huyu "Uchaguzi" anatapatapa Kama mfa Maji, Kwa taarifa Mimi ninaishi Bunda Mtaa wa Polisi hapa, Magambo Wassira ni Kijana wa tatu Kuzaliwa Katika familia ya Waziri Wassira, pia Kuhusu Kuwa Mganga wa Kienyeji ni Uongo uliokomaa Kupita Kiasi pia ni Kashifa za Kipumbavu Coz Magambo hajawi Kuwa Mganga wala Kujihusisha na Uganga, Kama huijui Background ya Mtu ni Bora unauliza, utaelezwa Kuliko Kupotosha Watu, huku ukiamini kuwa hakuna anayeujua upotoshaji wako! UNAPASWA KUMWOMBA RADHI MAGAMBO NA KUIFUTA KAULI YAKO YA KASHIFA DHIDI YAKE!

asante sana kamanda kwa ufafanuzi wako bila shaka Moderator watamtendea haki mleta mada kwa kupotosha makusudi hawa ndiyo wabafanya JF ionekane kijiwe cha wahuni, wazushi..
 
Last edited by a moderator:
Huyo Bwana Webiro Magambo tunamjua vizuri, mie ni shahidi amewahi kumzudhulumu Mama yangu Mkubwa hela zake, anafanya kazi ya kupiga Ramli na kudanganya watu kuwapa Mazindiko, Pete za Bahati,Mapenzi na Mali, kujiunga Freemason na kuongeza Makalio kwa dawa za kienyeji.

Watu wakienda kwake anawalazimisha wapele kuku na Mbuzi tu.
Anakaa maeneo ya Nyasura juu lakini ni muhamiaji toka kata jirani ya Kunzugu eneo linaitwa Bokole.
Maza mkubwa naye alienda kwa minajili gani?
 
Nimeamini, kumbe kweli kuna mijitu huwa inaongea uongo humu (yan labda ingekuwa sehem nyengine, bt ka ni Bunda naijua In&Out, coz ni kijijini kwetu na nilikuwepo huko kwenye likizo ya mwisho wa mwaka jana, watu wana mwamko balaa na wanataka badiliko na kiukweli CHADEMA inapendwaaa)...et, "Hapa Bunda CCM inaungwa mkono na Maelfu wakati Vyama vingine vinawafuasi wa kuokoteza." THUBUTU!
 
Back
Top Bottom