Nyaraka za Dr Slaa si lolote si chochote - Spika

LIST OF SHAME,hata leo hutoona chochote wewe unaepingana kishabiki na hoja za Dr Slaa.endeleeni kubeza kwa laana zenu
 
Mama, umesahau Gutter politics zilimfanya RA kuachana na Ubunge wa Igunga? Magamba ndiyo wataalamu wa siasa za majitaka.

Ubunge wa Igunga kwa RA na shughuli zake ilikuwa ni kupoteza wakati tu. Sasa hivi raha mustarehe, burdaaan wa sharaba.
 
kupeng`e kapeng`e makamasi hayo sikusikii fresh....unaongea kama shoga...
 
Mnatumika vibaya na majambazi CCM,hamjui hata mlitendalo,Taifa linaangamia kwa ujambazi unaofanywa na CCM nyie mnakuwa watumiwaji wa kufinya uovu unaofanywa na serikali dhaifu ya CCM kuiba mali za watanzania,wakati Dr Slaa alipotangaza majina kumi na moja ya mafisadi mwembe yake mlitumika tena kubisha lakini baadaye mkaumbuka mafisadi wakajulikana mbele ya watanzania na ndani ya chama chenu cha CCM Mkaanza kunyosheana vidole,sasa bado mpaka leo mnatumika kukwamisha ukombozi wa Taifa na watu wachache ambao ni waume zenu wanaowapa viposho vya kunywa kahawa na kununua kanga,hamjui mnachokifanya,hamjui kinachoendelea! Dr Slaa tupo pamoja nawewe katika ukombozi wa Taifa letu.
 
sikbaliani na watu wanaosema umaalufu wa dr slaa umeshuka. Hoja nyingi anazotoa ni kwa maslahi ya taifa sasa kwa nini umaalufu ushuke. haya mambo ya nyaraka anayoyasema huko mbeya yanaweza kuwa ya kweli. Nilihudhuria kikao kimoja cha RC na wafanyakazi. RC huyo aliwafokea wanyakazi kwasababu alizosema wamekisaliti chama tawala. maoni yangu ni kwamba anachofanya Slaa ni kudumisha demokrasia ya vyama vingi.
 
ana nyaraka zingine SO WHAT?anataka tufanyeje sasa?si azitoe nasemaga naye ni msanii tu huyu
 
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea


images


Kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe?

Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani?
:A S embarassed:
Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:

sina uhakika na uelewa wako ila ngoja tuzungumzie hyo thread yako:ni mwanasiasa gani ambaye anamvuto kuliko dr.wa ukweli siyo dr. Wakutunukiwa ya slaa yani mapokezi yake utakubali kuwa kweli slaa ni chaguo la watu na hiyo inaonyesha kuwa slaa hajachuja na hahitaji mbinu ya kipuuzi kama unavosema pia hiyo nyalaka anayoisema aliisoma live kwenye mikutano ya mbeya nakama nyaraki hazimsaidii mahakamani namimi nakuhoji wewe mbona hafungwi wala hapewi adhabu? Hivo pablisity over dr.is always up so try to think before posting your thread as you did.
 
Back
Top Bottom