- Thread starter
- #81
Sandeni una habari kuwa Lady doctor ni mke wangu halali? Kama hujui nimeshakufahamisha....afu acha ukuwadi.
mke halali ndiyo atongozwi. mbona kashapagishwa?
Last edited by a moderator:
Sandeni una habari kuwa Lady doctor ni mke wangu halali? Kama hujui nimeshakufahamisha....afu acha ukuwadi.
haa mambo ya kutumia mkuyati tena ku i cock mashine kumbe simuwezi mie.......
kelele za chura hizo hazimzuii bishanga kunywa maji,mwenyewe ndo alianza kuniPM,sasa mie nifanyeje?
cc lady jd oooops Lady doctor
We sema mmekubaliana muende wapi?
We mzee kuna kitu kibaya unatafuta.....you'll get it soon!!!!!!!!!!
Achana na mke wangu Lady doctor.
bora hata umwambie honey...... Huyu mzee anachokitafuta atakipata
sitaki Bishanga we ukoje, hebu niache hukoooo!
kelele za chura hizo hazimzuii bishanga kunywa maji,mwenyewe ndo alianza kuniPM,sasa mie nifanyeje?
cc lady jd oooops Lady doctor
gari gani unapendelea Lady doctor rav4 nyu modo au ile grand vitara?
utamruhusu akugegede? nadhani ndicho atakacho