Nyani Ngabu! mtongoze Heaven on earth....

Nyani Ngabu! mtongoze Heaven on earth....

enhee hebu sema aliwahi kufanya hivyo tena? mbona ye kwako keshajipigia mstari?

huyu mtu kila siku ananivizia anibake, alafu anajishaua eti tumekubaliana, aniwache kabisaa mtoto wa watu.
 
Last edited by a moderator:
yaani wii ningekuwa na mimba huyu Bishanga ningemzaa...!

Wii tena nasikia ikulu itaamishwa ipelekwe sayari ya Mars kwenye maisha ya milele halafu huyu Bishanga anajitiatia kwangu ye muache!!!!

ukipendwa pendeka wewe bahati haiji mara mbili au hutaki vitara?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom