C chama JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 8,001 Reaction score 2,418 Sep 14, 2013 #121 Sandeni said: huyu chama ni gamba? Click to expand... Hapana ni mkulima!
S Sandeni JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 666 Reaction score 298 Sep 15, 2013 Thread starter #122 Heaven on earth said: Sandeni nitake rdhi tafadhari.......... Click to expand... nakutaka radhi kama haupo kweli. nahisi kama shughuli inaendelea underground nasubiria moshi wa makopa kopa ufuke nijue kitu kimetiki. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Heaven on earth said: Sandeni nitake rdhi tafadhari.......... Click to expand... nakutaka radhi kama haupo kweli. nahisi kama shughuli inaendelea underground nasubiria moshi wa makopa kopa ufuke nijue kitu kimetiki.
S Sandeni JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 666 Reaction score 298 Sep 15, 2013 Thread starter #123 chama said: Hapana ni mkulima! Click to expand... safi sana nilidhani tungekuwa pamoja katika fedhea ya 2015. kuiachia nchi hii tuliyoikula kwa miaka 52.
chama said: Hapana ni mkulima! Click to expand... safi sana nilidhani tungekuwa pamoja katika fedhea ya 2015. kuiachia nchi hii tuliyoikula kwa miaka 52.
S Sandeni JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 666 Reaction score 298 Sep 15, 2013 Thread starter #124 Heaven on earth said: sipeling era.........ko we umekuwa kuwadi siku hizi!!!!!!1baada ya ujaji kukushinda!!!!!!!1 Click to expand... kwenye ujaji nilipiga geresha tu. kuna mrembo nilimpenda pale, niliingia kumpa ushindi. kwenye top5 alikuwa #4
Heaven on earth said: sipeling era.........ko we umekuwa kuwadi siku hizi!!!!!!1baada ya ujaji kukushinda!!!!!!!1 Click to expand... kwenye ujaji nilipiga geresha tu. kuna mrembo nilimpenda pale, niliingia kumpa ushindi. kwenye top5 alikuwa #4
C chama JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 8,001 Reaction score 2,418 Sep 16, 2013 #125 Sandeni said: safi sana nilidhani tungekuwa pamoja katika fedhea ya 2015. kuiachia nchi hii tuliyoikula kwa miaka 52. Click to expand... Tafuta shughuli hilo unalolitegemea halitatokea wakulima tutairudisha CCM madarakani kama kawaida; ndio chama chetu!
Sandeni said: safi sana nilidhani tungekuwa pamoja katika fedhea ya 2015. kuiachia nchi hii tuliyoikula kwa miaka 52. Click to expand... Tafuta shughuli hilo unalolitegemea halitatokea wakulima tutairudisha CCM madarakani kama kawaida; ndio chama chetu!