Nyani Ngabu! mtongoze Heaven on earth....

Nyani Ngabu! mtongoze Heaven on earth....

sungura1980. we shida yako nini? kama hofu yako ni kukutana na mama yako au dada yako si uweke username ambayo ni verified? kuondoa utata. sidhani kama pendekezo langu linashida pamoja na matumizi ya username zetu

Kwa hiyo nikiweka username mfano John then iwe ni John kaka yake Heaven on earth,mdogo wake Mokoyo,babake mkubwa ni Kaizer na mdogo wake ni Madame B?Nadhani hiyo username itakuwa na page 2!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Sandeni kuna thread kaianzisha Bishanga inasema onyo kali kwa wanaotongoza humu JF shauri yako,jamaa kasema ameenda kwa fundi!
 
Last edited by a moderator:
sungura1980. full name yako, itakufanya utambulike kwa wepesi zaidi na utaondoa contradictions
 
Last edited by a moderator:
kuku wako mwenyewe ya nini kumwinda na manati bishanga tena wa kuchonga kwa Lady doctor wakati mambo tulishayaweka sawia longtime?
Heaven on earth huyo Nyani Ngabu asikupotezee muda sio riziki halafu na afya mgogoro.
Nawasilisha.
Bishanga mbona Lady doctor anakukana tena........

halafu bishanga kwanini niandikie mate wakati wino upo........ngoja nikaprove

mwenyewe kama kuna hiyo afya mgogoro uisemayo
 
Last edited by a moderator:
wii nae naona kakuganda kama ruba.......

hivi unaweza kusacrifse safari ya ikulu kwa ajili ya Bishanga

yaani wii ningekuwa na mimba huyu Bishanga ningemzaa...!

Wii tena nasikia ikulu itaamishwa ipelekwe sayari ya Mars kwenye maisha ya milele halafu huyu Bishanga anajitiatia kwangu ye muache!!!!
 
Last edited by a moderator:
Duh . . . mi ngoja niangalie game.
Nione nani atakubaliwa na nani atapigwa chini!
 
Back
Top Bottom