- Thread starter
- #61
huyu mtu kila siku ananivizia anibake, alafu anajishaua eti tumekubaliana, aniwache kabisaa mtoto wa watu.
ubakwe na ukubwa wako wote huo? acha hizo wewe, hebu sema sababu nyingine!!
huyu mtu kila siku ananivizia anibake, alafu anajishaua eti tumekubaliana, aniwache kabisaa mtoto wa watu.
Tuhamie basi piem tunong'one vizuri,hapa wanga wengi......
Lady doctor acha kuninyanyapaa.....naku mind ujue.....
umedata wewe wanaume wote wa mjini utembee na hicho kidampa?
safi safi sana! mambo yashaanza kukolea. patamu hapa Avemaria njoo uone miguno yenye mvuto!
umedata wewe wanaume wote wa mjini utembee na hicho kidampa?
Lady doctor anapenda sana kuumauma kucha na kuchora mchangani kwa kidole.
Btw Heaven on earth nshakwambia Nyani Ngabu si lolote si chochote mpaka ameze mkuyati....sos hawara yake wa kiburugwa anaitwa Mama Ashrat
Tuhamie basi piem tunong'one vizuri,hapa wanga wengi......
Sandeni una habari kuwa Lady doctor ni mke wangu halali? Kama hujui nimeshakufahamisha....afu acha ukuwadi.Nyani Ngabu Anza kumpiga mistari huyu mtoto wa kike!
Ritz we mpige mistari Fixed Point!
Bishanga we chonga na Lady doctor.
afu tuone
kidampa neno lakutohoa hili
haa mambo ya kutumia mkuyati tena ku i cock mashine kumbe simuwezi mie.......
We mzee kuna kitu kibaya unatafuta.....you'll get it soon!!!!!!!!!!
Achana na mke wangu Lady doctor.