Nyangumi aonekana Pwani ya Kilwa

Nyangumi aonekana Pwani ya Kilwa

Dah ange -rest in peace hollyday ingekua better sana,maana sina bajeti ya mboga dec.
 
ajabu watu wa pwani hawajui huyu ni kiumbe gani - huyo ni nyangumi. Hakuna kingine kikubwa Zaidi ya hicho majini na ardhini
 
Anaitwa kongowe kwa tanga ameshawahi kupatikana ufukwe wa kigombe na kipumbwi.
Ni samaki mkubwa sana ukisimama upande mmoja huwezi kumuona mwenzio upande wa pili, anaishi kina kirefu anapokufa ndo huelea kutolewa nchi kavu.

Wavuvi hawampendi samaki huyu hasa wanapotega nyavu zao huyu akipita anategua mitego na kuzivuruga nyavu hivyo kupoteza nyavu na samaki waliowapata kwenye mtego.

Watu huwa wanakata nyama ya samaki huyu kutengenezea mafuta wanasema ni dawa(kienyeji) ingawa kisheria ni mali ya serikali

Angetafutiwa namna ya kuhifadhiwa kwa ajili ya utalii, kuna yule mjusi mkubwa aliyechukuliwa na wajerumani kama sijakosea toka hukohuko Kilwa anawatajirisha wageni sisi tunaambulia hadithi
 
Huyu sio whale shark.whale shark ni jamii ya samaki. Ni mdogo kumlinganisha na nyangumi.

Huyu ni sperm whale.hayupo katika kundi la samaki
Mkuu kama hayupo kwenye kundi la Samaki anakua kwenye kundi gani? Nieleweshe Mkuu.
 
Mkuu kama hayupo kwenye kundi la Samaki anakua kwenye kundi gani? Nieleweshe Mkuu.
Whale "nyangumi "si samaki bali wanyama wa baharini kama vile dolphins,dugong"nguva na manate "jamii ya nguva"
Concept yake ni kama vile kuna popo angani lakini si ndege na wale flying squire nguchiro warukao lakini si ndege .
 
sperm whale albany wa.jpg

Akiwa mzima anakuwa hivyo.
 
Huyu ndie samaki mkubwa kuliko wote anaitwa whale shark ni mpole sana u can dive and swim with them!ni samaki wahamaji na huja hapa kwetu kuanzia august mpaka december kwa ajili ya kugegedana ila kuna local population pe maeneo ya mafia inayokaa abot longer.
Kwa wapenzi wa utalii wa wa ndani hasa mwezi huu nduo muafaka wanaweza kwenda kuwaona wakiwa hai .mwezi oktoba watalii huja kutoka all over the word kuja kuwao a pale mafia kiurahisi kuliko kwenda kuwaangalia SA or maeneo mengine ambapo bahari si tulivu kwa ukanda huu.
Wageni huchajiwa kama 100$ per perso nhivi ila kama local unaweza kuwapata wale local boat men wanaotoa huduma za snorkeling 40$ mnachukua boti nzima.
Na gharama za hotel zipo nyumba nice 20$ per night au unawnda guest vichochoroni chini ya hapo na si tatizo kwa kuwa mafia is one of safesty place on earth!
Taarifa muhimu sana hii kwa Sekta ya Utalii
 
Back
Top Bottom