Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,074
- 6,616
Ohooooo🤣🤣Wee nipo Isanga ..stand ya Chunya...😀😀😀😀😀😀😀
Ohooooo🤣🤣Wee nipo Isanga ..stand ya Chunya...😀😀😀😀😀😀😀
Ma-Imamu na Ma-Mufti wengi wanaipenda hii inaitwa Mdudu AmitaBachankwani nyama gani hii?
Jamaa amepondaaaa ndizi aisee..sikujua kama tamu hivi na mdudu😀😀Ohooooo🤣🤣
Usisahau ndimu na pilipiliMkuu tupo kwenye kwaresma aisee
Rost imejaa mchuzi mkuuMa-Imamu na Ma-Mufti wengi wanaipenda hii inaitwa Mdudu AmitaBachanView attachment 3276267
Hii ndio Safi kwa farujohn kama unakunywa juice! Inashuka tuu.Rost imejaa mchuzi mkuu
Mbuzi katolikikwani nyama gani hii?
Umechanganyikiwa si bure, chakula usichokila ni haramu kwako na si kwa wengine. Mimi kwangu sigara ni haramu lakini siwezi kumpangie mwingine asivute.Haramu ni haramu tu hata mlete nyuzi 100 .. Acha kupenda vya kunyonga Waheed!
Nimeshindwa kuvumilia, ngoja nikajitwalie nusu iliyonona.
Nami Nashukuru Nimekwisha Weka Oda Ya 1kg Niitafune Taratibu Huku Nikimsimanga Mohammed SalahNimeshindwa kuvumilia, ngoja nikajitwalie nusu iliyonona.
Ndio wanavyopenda Mashekhe hivyo tena hiki kipindi wanakwambia usikaushe sanaRost imejaa mchuzi mkuu
Faru JOHN atashusha mikono chiniHii ndio Safi kwa farujohn kama unakunywa juice! Inashuka tuu.
Unapomvua chupi mtoto wa watu na kumzini,unapolewa pombe,unapoongeza sifuri kwenye hesabu upate za kuhonga kote huko huoni ni dhambi au haramu kwako wewe haramu ni nyama ya nguruwe tu?Haramu ni haramu tu hata mlete nyuzi 100 .. Acha kupenda vya kunyonga Waheed!
Unatafuta ugomvi na watu,Ndio wanavyopenda Mashekhe hivyo tena hiki kipindi wanakwambia usikaushe sana
ila kunawatu hawaipendi kwa sababu ya bei yake ni kubwa sana😂😂😂View attachment 3276158hii ni nyama adim sana ila ukiipata utajilamba ila kunawatu hawaipendi kwa sababu ya bei yake ni kubwa sana
Pameanza kuchangamkaUnapomvua chupi mtoto wa watu na kumzini,unapolewa pombe,unapoongeza sifuri kwenye hesabu upate za kuhonga kote huko huoni ni dhambi au haramu kwako wewe haramu ni nyama ya nguruwe tu?
Acha unafiq!