The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,793
- 28,579
Mkuu stow away shusha vitu mpaka Nurain arudi hapa kuomba msamaha.KitimotothedonView attachment 3276241
Mkuu stow away shusha vitu mpaka Nurain arudi hapa kuomba msamaha.KitimotothedonView attachment 3276241
Ipo tele,pesa yako tuView attachment 3276158hii ni nyama adim sana ila ukiipata utajilamba ila kunawatu hawaipendi kwa sababu ya bei yake ni kubwa sana
🤣🤣Ipo tele,pesa yako tu
Utakufa vibaya wewe 🤣🤣Mbeya kwa week naweza nikala mara tatu hii kitu
Mkuu hata ashusheje bado MDUDU ATABAKI haramu duniani na akhera😂
Umejuaje kama mdudu 😂😂 tuliosoma kiuba tumeelewaMkuu hata ashusheje bado MDUDU ATABAKI haramu duniani na akhera😂
Robo kakaUtakufa vibaya wewe 🤣🤣
🤣🤣Robo kaka
ila nikiwa na wanangu hata kilo nne tunafuta na mirinda baridiii
Mtakufa vibaya nyinyi 🤣🤣ila nikiwa na wanangu hata kilo nne tunafuta na mirinda baridiii
Hii Mzumbe jombaa.. kitambo sana hapo The HorizonMbona ndizi hawajabonda?
Kuna mtaa fulani Horizon karibu na chuo kimoja huku niliko haya mambo yanapatikana halafu kuna pale kenye town yetu majengo kandete aiseeee😋😋
🤣🤣Hii Mzumbe jombaa.. kitambo sana hapo The Horizon
Kwani lazima muwamention mashekhe jamani, hiyo kitu kweli NI tamu na tunashukuru Uzi umekuwa na picha nyingi na tamu za kuburudisha ila sasa msiwataje wenzenuNdio wanavyopenda Mashekhe hivyo tena hiki kipindi wanakwambia usikaushe sana
Mkuu hivi kwa Mbeya ni wapi wanatengeneza mdudu wakurost vizuri Sana?Mbeya kwa week naweza nikala mara tatu hii kitu
Machimbo ni mengiMkuu hivi kwa Mbeya ni wapi wanatengeneza mdudu wakurost vizuri Sana?
Watu wanataka location 🤣🤣Mkuu hivi kwa Mbeya ni wapi wanatengeneza mdudu wakurost vizuri Sana?
Kilo 15k kwahiyo kilo mbili 30K maeee😂View attachment 3276158hii ni nyama adim sana ila ukiipata utajilamba ila kunawatu hawaipendi kwa sababu ya bei yake ni kubwa sana