Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,026
We jamaa...!!
We jamaa...!!
Haramu ni haramu tu hata mlete nyuzi 100 .. Acha kupenda vya kunyonga Waheed!
Haramu ni haramu tu hata mlete nyuzi 100 .. Acha kupenda vya kunyonga Waheed!
Si useme upo mbeya mkuu hapo horizon nilikuwa naenda Kila siku saa 1 usikuMbona ndizi hawajabonda?
Kuna mtaa fulani Horizon karibu na chuo kimoja huku niliko haya mambo yanapatikana halafu kuna pale kenye town yetu majengo kandete aiseeee😋😋
Kumbukumbu ya Torati11!View attachment 3276158hii ni nyama adim sana ila ukiipata utajilamba ila kunawatu hawaipendi kwa sababu ya bei yake ni kubwa sana
KitimotothedonHaramu ni haramu tu hata mlete nyuzi 100 .. Acha kupenda vya kunyonga Waheed!
AmitabachanNaona Leo mmeamua ni kumtupia tu mdudu aisee noma sana,
Kumbukumbu ya Torati11Haramu iko kwako tu!
Wasabato wanasema bata ni haramu, ila nyie mnakula.
Kwahiyo haramu iko kwako tu
Nilijua wenyeji lazima mng'amue hasa walisha noa vitoto vya kile chuo. Na wewe utakuwa mmojawao🤣🤣🤣🤣Si useme upo mbeya mkuu hapo horizon nilikuwa naenda Kila siku saa 1 usiku
Si useme upo mbeya mkuu hapo horizon nilikuwa naenda Kila siku saa 1 usiku
Nilijua wenyeji lazima mng'amue hasa walisha noa vitoto vya kile chuo. Na wewe utakuwa mmojawao🤣🤣🤣🤣
Mwamba kabisa. Sisi wa mlima Rungwe hutuambii kuhusu nyama ya noa
Daah, mateso haya mkuu.
Hako Kaugali ungepunguza kidogo...😀😀😀
Wee nipo Isanga ..stand ya Chunya...😀😀😀😀😀😀😀Nilijua wenyeji lazima mng'amue hasa walisha noa vitoto vya kile chuo. Na wewe utakuwa mmojawao🤣🤣🤣🤣