Nyalandu: Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kushangilia kifo cha Rais Magufuli kilinikwaza sana

Nani aliyeshangilia hapo aliyemkimbia mwendazake akiwa hai na alipokufa karudi na waliokomaa naye aache uongo.
Ubinadamu gani mtu kapigwa risasi 20 Hadi leo hakuna kauli toka kwa mwendazake kulaani au kusema tu watatafutwa ahadi wapatikane

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
 
Nyalandu yeye asitumie nguvu kubwa sana kujustify kitendo chake cha kuhamia kurudi CCM
 
Mbowe alivunjika CCM wakiwa bungeni ikawa furaha kwao, wakamnanga sana, tundu lissu alipigwa risasi ikawa burudani kwao na matibabu akanyimwa.
Sasa huo ubinadamu mnataka utoke pande moja tu au
Uspoteze nguvu kujibu
 
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!

Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.
Walifurahia wengi na mpaka leo wanafurahia. Apache shamba huyo. Mwambie tuko MARTHA sasa. Anajipendekeza? Mbona alionekana tu kuwa hafai? Kwanza ni fisadi huyu atulie.
 
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!

Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.
Huyu jamaa brain yake ni ndogo saana aisee. Sikutegemea kama anaweza akawa low kiasi hiki! Aisee .Sidhani kama ni njaa tu lakini na uwezo mdogo wa kufikiri...
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Hata marehemu dikiteta magufuli aligaragazwa na Bernard membe ndo akatumia u dikiteta kumfukuza chama.
 
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!

Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.
Tutashangilia kifo cha muuaji yeyote kwenye ccm,tena kwa sherehe
 
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!

Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.
Kwani kabainisha walompiga risasi Lissu? My take:chadema acheni kupokea wabunge toka ccm.
 
Waitara, Silinde, Katambi waliondoka chadema na kwenda ccm kukiwa na hali gani?
Kwani hufahamu kikichotokea, ccm ina wanachama wangapi hadi vyeo wapewe kina Waitara, Silinde na Katambi wahamiaji toka Chadema?
 
Ungetafuta sababu ya kuondoka usiseme huu ujinga wako, no bora ungekaa kimya kuficha HII AKILI YAKO FINYU
 
Back
Top Bottom