Nyalandu: Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kushangilia kifo cha Rais Magufuli kilinikwaza sana

Hahaahaaa haa! Mbona hata huko alikokwenda, wapo wengi tu walioshangilia yaliyomsibu mzee baba?

Kama ni kuwakimbia walioshangilia limo kwenye agenda zake, basi hata huko alikokwenda akae mkao wa kuondoka.
Alafu kumbe Nyalandu alimshinda Lisu kwenye kura za kamati kuu.
 
Mbowe alivunjika CCM wakiwa bungeni ikawa furaha kwao, wakamnanga sana, tundu lissu alipigwa risasi ikawa burudani kwao na matibabu akanyimwa.
Sasa huo ubinadamu mnataka utoke pande moja tu au
Mbowe alivunjika kwa kulewa konyagi akasingizia amepigwa na wasiojulikana.

Licha ya uongo wake rais ,spika ,waziri mkuu walimpa pole.
 
Laiti mngekuwa na huo ushahidi kama mnavyoda mngeuvujisha maana Ndungai uwa anavuomuataltack mbowe ni kama wana kitu personal. Hata sasa hayuko bungeni lakini hakosi kumtaja.
 
Alafu kumbe Nyalandu alimshinda Lisu kwenye kura za kamati kuu.

Tufanye kweli alimshinda. Amekiri mwenyewe - mamluki kama alivyokuwa hakutakikana Chadema. Jitihada zote za kistaarabu zilitumika kumwondoa hatimaye kaelewa.

Akufukuzaye hakwambii toka. Mwenye macho haambiwi tazama.

Ni sherehe kubwa Chadema kuwa hatimaye asiyetakikana kaondoka.

CCM na washangilie wamepata jembe!

Hiiiiii bagosha!
 
Kifo cha marehemu dikiteta magufuli kilikuwa ni ahueni kwa taifa, moyo ni kiza kinene, lkn kwa kufupisha ukweli ni kwamba 90% ya watz tulifurahia kifo cha dikiteta.
 
Kwa hili nakubaliana na Nyalandu.

Chadema walikosa ubinadamu.
Ubinadamu kukosekana ulianzia huko lumunba kwahiyo wacheni ya wakute mimi mwenyewe nilifurahi sana kwasababu ya ukatili wake kwanini wengine wasifurahi?

Huu Ubinadamu umeumbiwa ccm tu kwamba wakifikwa ni matatizo huruma iwe kwao tu wakati nyinyi ndio waanzilishi wa haya. Mtamaliza mtama lakini kunguru hawi njiwa.
 
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!

Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.
Ni akili zake mwenyewe au ameshikiwa?
Nifikiri Nyalandu kwa ubinfsi wake ni mtu mwenye uwezo wa kujisimamia kumbe ni liability na msiba kwa wengine.
Analia lia kwenye media anataka tumsaidie nini, maana yeye binafsi hana uwezo wa kujua anachotaka ili akisimamie ila kuelekezwa au kupangiwa cha kufanya?

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Maneno yanakinzana na vitendo.
Alishindwa kurudi wakati wa mwendazake.
Hakukubaliana kwa mengi na mwendazake.

Amerudi kwa sababu mwendazake hayupo tena.
Furaha yake ni kurudi CCM, lakini furaha hiyo haiwezi kukamilika bila kutokuwepo kwa mwendazake.

Kifupi, alingojea kwa hamu yaliyotokea ili arudi. Ili kuonesha furaha yake, amerudi kabla watu hawajasahau.

So hypocrisy.
 
NYALANDU ACHA KUPAKA UBAYA UPANDE ULIOUONDOKA WALA SIO HEKIMA KUTOA VISINGIZIO LUKUKI,ZUNGUMZA TU KIUME SEMA NIMERUDI CCM BAADA YA HALI YAKE KWA SASA KUWA NA MAZINGIRA YALIYO BORA,NANI ALIYEKWAMBIA KUHAMA CHAMA NI DHAMBI?
*BE FIRMLY.
 
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!

Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.
Uyu nyalandu ndio naamini sasa ule uvumi kuwa ni mchelemchele, ndomaana mkewe wajanja wanampigia town, ni Bora angekaa kimiya, kwanza hatoaminika tena ndani ya CCM
 
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!

Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.
Nani aliyeshangilia hapo aliyemkimbia mwendazake akiwa hai na alipokufa karudi na waliokomaa naye aache uongo.
Ubinadamu gani mtu kapigwa risasi 20 Hadi leo hakuna kauli toka kwa mwendazake kulaani au kusema tu watatafutwa ahadi wapatikane

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
We sema ukweli tu kwamba ulimkimbia JIWE, kafariki unachekelea tumboni - umeamua kurudi ukale hela za bure - over.
 
Kifo cha marehemu dikiteta magufuli kilikuwa ni ahueni kwa taifa, moyo ni kiza kinene, lkn kwa kufupisha ukweli ni kwamba 90% ya watz tulifurahia kifo cha dikiteta.
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
 
Ubinadamu kukosekana ulianzia huko lumunba kwahiyo wacheni ya wakute mimi mwenyewe nilifurahi sana kwasababu ya ukatili wake kwanini wengine wasifurahi?

Huu Ubinadamu umeumbiwa ccm tu kwamba wakifikwa ni matatizo huruma iwe kwao tu wakati nyinyi ndio waanzilishi wa haya. Mtamaliza mtama lakini kunguru hawi njiwa.
chadema imebakiwa na mbunge mmoja sasa
 
NYALANDU ACHA KUPAKA UBAYA UPANDE ULIOUONDOKA WALA SIO HEKIMA KUTOA VISINGIZIO LUKUKI,ZUNGUMZA TU KIUME SEMA NIMERUDI CCM BAADA YA HALI YAKE KWA SASA KUWA NA MAZINGIRA YALIYO BORA,NANI ALIYEKWAMBIA KUHAMA CHAMA NI DHAMBI?
*BE FIRMLY.
Waitara, Silinde, Katambi waliondoka chadema na kwenda ccm kukiwa na hali gani?
 
Back
Top Bottom