Nyalandu: Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kushangilia kifo cha Rais Magufuli kilinikwaza sana

Kwa nini asikae kimya tu na yakapita? Shauri yake wakianza kufukua makaburi.


Atakuwa kwanza yeye.
 
Mbowe alivunjika CCM wakiwa bungeni ikawa furaha kwao, wakamnanga sana, tundu lissu alipigwa risasi ikawa burudani kwao na matibabu akanyimwa.

Sasa huo ubinadamu mnataka utoke pande moja tu au
ni afadhali lissu kuna hoja,ingawa sina kumbukumbu kama kuna mtu alionyesha kufurahi,bali kila mtu alikaa kimya asikemee wala kitia neno.

lakini kejeli kwa mbowe ni baada ya kudai alitekwa akaligwa sana,kumbe alienda kugoda vyombo akapiga mweleka.hapo ndipo watu wakaanza kumsuta kwa dhihaka.
 
Kimeumana
20210701_130014.jpg
 
Back
Top Bottom